gesi

The GESIS – Leibniz Institute for the Social Sciences is the largest German infrastructure institute for the social sciences. It is headquartered in Mannheim, with a location in Cologne. With basic research-based services and consulting covering all levels of the scientific process, GESIS supports researchers in the social sciences. As of 2017, the president of GESIS is Christof Wolf.
GESIS is part of the Leibniz Association and receives federal and state funding.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Amina Mzee Akabidhi Mitungi 200 ya Gesi, Aungana Kushiriki Iftar na Waumini wa Dini ya Kiislam

    Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa (Mkoa wa Mjini Unguja, Zanzibar), Mhe. Amina Ali Mzee ameongoza semina ya mafunzo ya kutumia gesi kupikia na amewataka wajasiriamali kutumia nishati safi ya kupikia (gesi) ili kurahisisha shughuli zao za kujikomboa kiuchumi. "Tunaelewa lengo kuu na Dira ya...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani Aiomba Serikali Kuwapa Wananchi Ruzuku ya Gesi

    Mbunge Cherehani Aiomba Serikali Kuwapa Wananchi Ruzuku ya Gesi Mbunge wa Ushetu (CCM), Emmanuel Cherehani ameiomba Wizara ya Nishati kutoa ruzuku ya gesi kwa wananchi waishio maeneo ya vijijini, ili kusaidia utuzwaji wa mazingira na kuthibiti ukatwaji wa miti pamoja na kupunguza gharama za...
  3. figganigga

    Mambo nyeti kuzingatiwa majadiliano ya gesi

    Na Mwandishi Wetu NI miaka kadhaa imepita kutoka majadiliano ya uchakataji wa gesi nchini Tanzania yaanze. Mara kadhaa majadiliano hayo yamesitishwa kutokana na makampuni ya kimataifa ya nishati kuwa na matakwa hasi kwa maslahi ya nchi. Kila kukicha makampuni ya kimataifa ya nishati yamekuwa...
  4. Ojuolegbha

    Dkt. Mwinyi azindua fursa za uchimbaji mafuta na gesi Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inapenda kuzialika kampuni zote za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi kushiriki katika Duru ya kwanza . Rais Dkt. Mwinyi amewakikishia wawekezaji wote wa sekta ya mafuta na gesi kuwa...
  5. K

    Kama matumizi ya gesi ni nafuu kuliko mafuta kwanini vituo haviongezwi kwenye mikoa mingine?

    Juzi nilikuwa Dar na mara nyingi nilikuwa natumia usafiri wa bolt. Asilimia 90 ya magari ya bolt niliyokuwa natumia yanatumia gesi kwa ajili ya uendeshaji. Nilibahatika kumuuliza dereva mmoja juu ya matumizi ya gesi na akanieleza kuwa akijaza gesi ya Tshs. 14,000 anaitumia kwa kilomita 200...
  6. K

    Taifa Gas yafanya kampeni maalum ya kuelimisha matumizi ya gesi wakati huu wa mwezi wa Ramadhani

    Katika kuhakikisha Jamii inakuwa na uelewa mkubwa kuhusu matumizi ya nishati ya gesi Pamoja na kuunga mkono juhudi za Serikali ya Tanzania katika kuwafikishia ujumbe Wananchi wake kutumia nishati hiyo, timu ya Taifa Gas imefanya kampeni maalum wakati huu wa mwezi wa Ramadhani tarehe 19 mwezi wa...
  7. K

    Chama chetu CCM kichukue hatua za haraka

    Jana tulikuwa na Mkutano Mkuu wa Mtaa ulioitishwa na CCM kuelezea wananchi wa Mtaa ilani ya Chama Cha Ma;induzi yaani utekelezaji wa shughuli za maendeleo tangu Awamu ya sita iingie madarakani na tangu Awamu ya Tano na Sita hawajaitisha mkutano mkuu wa mtaa. Mtaa wetu una takriban watu wazima...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Wabunge: Serikali iagize magari yanayotumia mfumo wa gesi uliofungwa toka kiwandani moja kwa moja

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, imeishauri Serikali kuagiza magari yenye mfumo wa gesi ambao una gharama nafuu, hali itakayosaidia kupunguza gharama za mafuta kutokana na uwepo wa Gesi Nchini. Ushauri huo, umetolewa hii leo Machi 15, 2024 na Mwenyekiti wa kamati hiyo, David...
  9. Surveyor_1

    Tiba za nyumbani: Matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

    Habari za asubuhi wana JF, Leo nimependelea kushare nanyi baadhi ya tiba za nyumbani za matatizo ya mfumo wa umeng'enyaji chakula ambazo zinaweza kutumika kama huduma ya kwanza au tiba ya kuponya kabisa katika mazingira yetu ya nyumbani. Sitojikita kuelezea magonjwa kwa ajili ya kutorefusha...
  10. Stephano Mgendanyi

    Prof. Ndakidemi Agawa Majiko ya Gesi Jimboni Kwake

    MHE. PATRICK NDAKIDEMI, MBUNGE AGAWA GESI JIMBONI KWAKE. Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Mhe. Prof Patrick Ndakidemi leo tarehe 06.03.2024 aliwaalikaa Viongozi wa Matawi wa Chama cha Mapinduzi CCM(Wenyeviti wa Matawi, Makatibu wa Matawi na Wenezi wa Matawi) wote katika Jimbo la Moshi...
  11. Jaji Mfawidhi

    Patrick Ndakidemi, Mbunge agawa gesi kwa Warombo

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Mhe. Prof Patrick Ndakidemi ambaye kwa ujumla hajui siasa, hajui utendaji, huwa hana mchango Bungeni na si muongeaji , baada ya kuona mwenzake wa Moshi mjini akitoa takrima ya kawaha na mitungi ya gesi kwa wamama wa UWT sasa na yeyeye leo tarehe 06.03.2024...
  12. figganigga

    Siri nzito mikataba gesi asilia Tanzania

    Na Mwandishi Wetu NI ukweli usiopingika kwamba majadiliano ya mikataba, hasa ya mafuta, gesi, madini na maliasilia nyingine za nchi huchukua muda mrefu kukamilika. Hili ni jambo la kawaida hasa kwa Serikali ambayo ni makini na inayobeba jukumu la kulinda utajiri na maliasilia za nchi...
  13. Y

    Jiko la gesi na mtungi vinauzwa

    Hello, Nauza jiko la gesi na mtungi wake kama linavyoonekana.Havina tatizo lolote. Price: 120k Location: Rukwa
  14. Meneja Wa Makampuni

    LNG Project: Njooni tujadili unadhani kwanini mradi wa gesi ya LNG unachelewa na nini chakufanya ili utekelezwe kwa wakati

    MJADALA HURU WA KITAIFA KUHUSU MRADI WA GESI ASILIA MIMINIKA (LNG) MWAKA 2024 SEKTA NDOGO YA MAFUTA NA GESI Mabibi na mabwana, wanasiasa, wafanya biashara, wajasiliamali, wanazuoni, wataalam wa fedha, wataalam wa uchumi, wahasibu, walimu, madaktari, wataalam wa mafuta na gesi, wataalam wengine...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani: Tutumie Nishati ya Gesi Badala ya Kuni na Mkaa Ili Kulinda Mazingira

    Mbunge Cherehani: Tutumie Nishati ya Gesi Badala ya Kuni na Mkaa Ili Kulinda Mazingira Wananchi wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wametakiwa kutumia nishati ya Gesi badala ya kutumia mkaa na kuni katika shughuli za mapishi ili kutunza na kulinda mazingira. Wito huo umetolewa na Mbunge wa jimbo...
  16. Edwin Minja

    Ni jiko gani la gesi lipo imara zaidi?

    HELP ni jiko gani la gesi lililo zuri zaidi ? imara na linalotumia gesi kidogo? Thanks.
  17. MK254

    Israel yalipua mabomba ya gesi ndani ya Iran, mbwai na iwe mbwai

    Iran bingwa la maugaidi ya dini imeanza kufanyiziwa ndani kwa ndani, maslahi yake yamepigwa kote huko nje sasa inapigwa ndani na kama ina jeuri au ubavu wa kujibu basi ifanye tuone. Mabomba yamelipuliwa na kusababisha hasara kubwa, juzi kiwanda cha kemikali kilitiwa kiberiti, yaani wameshikwa...
  18. Mjanja M1

    Upungufu wa Gesi na maji ndio chanzo mgao wa umeme

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, imeweka wazi kuwa sababu ya mgao wa umeme nchini umesababishwa na upungufu wa maji na gesi. “Sababu za uzalishaji wa umeme kuwa mdogo ni pamoja na upungufu wa maji kwenye mabwawa tegemezi yakiwemo Mtera, Kidatu na Kihansi; uchakavu wa mitambo ya kuzalishia...
  19. JanguKamaJangu

    Rais Ruto awalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe kufuatia mlipuko mbaya wa gesi

    Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280. Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lilipuka kabla ya saa sita usiku siku ya Alhamisi huko Embakasi...
  20. JanguKamaJangu

    Rais Ruto awalaumu maafisa wa Serikali kwa uzembe kufuatia mlipuko mbaya wa gesi

    Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280. Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lilipuka kabla ya saa sita usiku siku ya Alhamisi huko Embakasi...
Back
Top Bottom