The thinker27
Senior Member
- Sep 15, 2023
- 123
- 131
UDOM nimeona wameijumuisha kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha hili la nne la udahili ..hivyo basi hh ni ni fursa adhimu kwa ndugu zetu ambao bado hawajapata chuo na pia wenye ndoto za kusomea ufamasia kuweza kujaribu nafasi .mungu awatangulie .Naomba kuwasilisha