cheti

  1. Ncha Kali

    Cheti cha Ndoa kingetolewa baada ya miaka mitatu ungechukua?

    Kingekuwa kinatolewa baada ya miaka mitatu ya ndoa, ungekifuatilia?
  2. H

    KIDATO CHA NNE KULIPIA CHETI NI SAHIHI?

    Wadau Eid Mubarak, Niende kwenye mada nina mtoto wa mdogo wangu ambaye nimekuwa nikimsuport katika elimu yake ya Sekondari. Huyu binti anasoma shule moja SIJUI niite ya serikali au ya kijamii, ni shule zile amabazo zilijengwa mahususi kwa ajili ya jamii za kifugaji ili kuisaidia ukuaji wa elimu...
  3. James_patrick_

    Msaada: Kuna namna naweza kupata kopi ya cheti cha kuzaliwa online?

    Habari, nipo Wizara ya Mambo ya Ndani hapa kuna jambo nafatilia wameniomba cheti cha kuzaliwa. Sina kwa hapa ila wameniomba hata copy tu au picha yake. Je, kwa mwenye kujua kuna tovuti naweza kuingia nikapata au ndio nijiondokee tu kinyonge kabisa?
  4. Pleasepast

    Mzazi mwenzangu anadai atabadili cheti cha mtoto cha kuzaliwa atoe jina langu kwa kuwa ananichukia

    Habarini za usiku wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nahitaji msaada wa Mawazo chanya iko hivi kuna mwanamke nilipata naye mtoto lakini kwa bahati mbaya sana tukaja kutengana na sasa kila mtu anaishi kivyake yeye yupo na mtoto. Kuna wakati mzazi mwenzangu anapata hasira za...
  5. T

    Je somo moja la faa kumkosesha mtu cheti cha ualimu hata kama sio somo la kufundishia?

    Mimi kama mdau wa jamii forum nimeona hoja na kero nyingi zikipatiwa ufumbuzi mbali mbali hivyo naomba kuwasilisha hoja yangu ya msingi hapa! Ni kuhusu wizara ya elimu hapa nchini ninaomba waliangalie hili kwa umakini! Mimi ni miongoni mwa watu waliohitimu mafunzo ya ualimu katika chuo cha...
  6. Mama Edina

    Ndugu zangu, nilifuatilia cheti cha kuzaliwa Edina kule Rita Dar es Salaam na sasa nimechoka

    Katika kufanya marekebisho ya cheti cha Edina bint yenu, si nikapeleka kila kitu Rita.? Kwanza mchezo ulianza mwaka 2018, nimepigwa tarehe style ya kirudishwa wiki wiki. Piga ni wiki ya ngapi tangu 2018? Basi ndivyo ninavyofanyiwa hadi leo hii. Naelewa kuwa mkono mtupu haulambwi. Inatakiwa...
  7. fareed uziel

    Msaada: Jinsi ya kupata cheti cha kuzaliwa cha mama

    Habari, Kijana wenu nahitaji msaada wa haraka wa kupata cheti cha kuzaliwa cha mama, mama ukazaliwa 1962 ocean road. Je, nawezaje kukipata kupitia Rita kwa njia ya haraka? Mwenye msaada anisaidie.
  8. Yofav

    Msaada: Nahitaji kujifunza udereva na kupata cheti pamoja na leseni kwa ujumla

    Habari wakuu, Kama heading inavyoeleza hapo juu, Naomba kwa mwenye experience na masuala haya ya mafuzo ya udereva yanavyokwenda anishauri ni Driving school gani niende ili kupata elimu ya mafunzo ya kuendesha Magari japo haya mdogo kwanza lakini muhimu nijipatie cheti... Ningeomba kujua pia...
  9. philanthropistx1

    Kuitwa Aptitude Test TCB

    Nimeitwa aptitude test wakati sina cheti cha shahada inayohitajika. Naomba ushauri.
  10. Restless Hustler

    Mama yangu ana miaka 70. Je, anaweza kupata cheti cha kuzaliwa?

    Mama hajawahi kuwa na cheti Cha kuzaliwa kutokana na utamaduni wa kabila letu kutozingatia masuala ya documents. Sasa naomba kuuliza, je anaweza kukipata sasa? Nilikuwa nafuatilia passport nikapeleka affidavit baala ya cheti chake cha kuzaliwa lakini afisa uhamiaji wakaikataa. Msaada wa mawazo...
  11. M

    Nahitaji kubadili tarehe ya kuzaliwa katika cheti cha kuzaliwa

    Habari za wakati huu wakuu, Naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
  12. M

    Msaada: Nahitaji kubadili tarehe ya kuzaliwa katika cheti cha kuzaliwa

    Habari za wakati huu wakuu naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
  13. M

    Je system ya RITA in tatizo?

    Hivi karibuni nimesajili vyeti vya kuzaliwa online na baada siku 14 unapata tangu siku uliyosajili na kulipia. Nina siku 24 tangu nmelipia system inaonyesha status ya cheti kwamba APPROVED IMna ilitakiwa iwe CERTIFICATE ISSUED SWALI LANGU: je system inasumbua au kuna tatizo?? Je nikienda rita...
  14. D

    Msaada: Nimepoteza cheti cha form six

    Habari ndugu zangu,wakubwa shikamoo! Nimepotelewa na cheti changu cha FORM SIX , Jumatano ya tarehe 13/12/2023 maeneo ya POSTA mjini MBEYA. Jina : DEBORA CHARLES MIHO Shule niliomaliza form six : PANDAHILL SECONDARY SCHOOL Namba ya simu : VODA: 0752321681 AIRTEL : 0695600497 Tafadhari atakae...
  15. B

    Benki ya CRDB yapata Cheti cha Viwango vya Kimataifa cha Usimamizi wa Huduma za TEHAMA ISO 20000-1:2018

    Dar es Salaam 11 Desemba 2023 – Benki ya CRDB leo imekabidhiwa cheti cha viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA cha ISO 20000-1:2018 kilichotolewa na Shirika la Viwango la Uingereza (BSI). Cheti hicho kimekabidhiwa katika hafla fupi iliyofanyika Makao Makuu ya Benki yaliyopo barabara ya Ali...
  16. Roving Journalist

    Atakayeuza Antibiotic bila cheti cha Daktari kupelekwa Mahakamani

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa onyo kali kwa wafamasi na wamiliki wa maduka ya dawa waotoa dawa bila kuangalia cheti cha daktari kwa kuwa kufanya hivyo ni kuendeleza tatizo la usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa na kuhatarisha afya za watu. Waziri Ummy amesema hayo wakati akifunga...
  17. A43

    Nawezaje kupata mkopo wa Tsh. Milion 1 na laki 2 kwa dhamana ya vyeti vyangu?

    Ndg nawezaje kupata mkopo wa tsh Milion 1 na laki 2 tu, kwa dhamana ya vyeti vyangu? 1.Cha form 4 2.Cheti cha kuzaliwa 3.Leseni ya udereva iliyo ndani ya muda 4.Cheti cha diploma chuo cha biashara CBE 5.Cheti cha degree chuo cha uhasibu TIA Vyote ni Original kabisa, na ni vyakwangu...
  18. Jovinnydinho

    Upotevu wa cheti cha NIT

    Naitwa Hussein issa nzomkunda nliibiwa begi lenye vyeti vyote ila Hivo vingine nilishapata utaratibu wa kuvipata isipokua cha NIT tu. Kwa anaejua utaratibu wa kufuata anisaidie tafadhali
  19. Jovinnydinho

    Naomba utaratibu wa kupata cheti kingine cha NIT, nilichokuwa nacho kimepotea

    Naitwa Hussein Issa Nzomkunda nliibiwa begi lenye vyeti vyote ila hivo vingine nilishapata utaratibu wa kuvipata isipokua cha NIT tu. Kwa anaejua utaratibu wa kufuata anisaidie tafadhali.
Back
Top Bottom