kipindi hiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makamura

    Kipindi hiki cha Mvua Fanya Haya Kujilinda na Ajali za Vyombo vya Moto Barabarani

    Habari wana jukuwaa. Ni matumaini yangu unaendelea salama wewe kama mdau! Leo niwape Tips kadhaa zitakazokusaidia Kujiupusha na Ajali unapoendesha chombo cha Moto Barabarani. Ajali nyingi zinaweza kutokea kipindi cha mvua nyingi kwasababu ya uoni hafifu wa madereva na vyombo vingine hivyo...
  2. Kibiriti ngoma

    Inakuwaje halmashauri ya Kilwa kipindi hiki cha midterm wanafunzi wanatakiwa waende shuleni

    Habari wadau, Shule nyingi za sekondari zimefungwa hapa nchini, ila wilaya ya kilwa inaendelea kufundisha wanafunzi kuanzia kidato cha 2 na 4, lakini kwa hili hii wanafunzi na walimu wanatakiwa kufika shuleni, kwa mazingira haya zile siku za masomo zilizowekwa kisheria na wizara zinakuwa...
  3. M

    Ujumbe kwa viongozi na watu wote kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani

    Nawashauri hasa wanasiasa na waislamu, tusishinde kwenye maofisi ya vyama tu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni muda wa kusoma Quran mwezi huu wa Ramadhani. Tujifunze walikuwepo wengi lakini hivi sasa imekua history. Maisha baada ya kufa ndio maisha kuliko haya ya duniani. Pia...
  4. Chawa wa lumumbashi

    Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

    Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Sylvia Sigula: Serikali Imejipanga Vipi Kuzuia Maafa Katika Kipindi Hiki cha Mvua

    Mbunge Sylvia Sigula: Serikali Imejipanga Vipi Kuzuia Maafa Katika Kipindi Hiki cha Mvua Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari ili kuepuka maafa yanayoweza kutokea kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu...
  6. Execute

    Kipindi hiki cha mgao mishahara ya Tanesco inatoka wapi?

    Umeme upo kidogo na hivyo makusanyo ni kidogo. Ukiweka gharama za uendeshaji wa mitambo na miundombinu ni dhahiri fedha inayobaki ni kidogo. Swali langu ni je wanaendelea kulipwa? Kama ni ndio, fedha zinatolewa wapi kulipa hao wasioleta tija? Waziri na wizara nzima ya nishati wanalipwa kutoka...
  7. U

    Ewe kijana tafuta sana pesa kipindi hiki vyuma vimelegezwa Rais ajaye vyuma vitakazwa upya kwa miaka 10

    Hii nchi mambo hayajawahi kuwa rahisi ila kuna awamu huwa zina nafuu. kipindi cha Mwinyi watu walizikamata sana, kipindi cha Kikwete ilikuwa utawala sana kwa raia na hali ya sasa vyuma vilivyokazwa hapo nyuma vinamwagiliwa grisi nzito. Rais ajae hali inaweza kurudi kuwa vyuma vya kukaza kwa...
  8. M

    Nape na Chalamila mna la kujifunza katika kipindi hiki kifupi

    Nape alijitokeza na kutishia wote waliouliza kuhusu alipo Makamu wa Rais. Kwa kipindi kifupi alipigwa spana Tweeter za kutosha. Hazikuwa spana kavu bali na vifungu vya sheria na katiba na kidogo wakampekua hata mambo yake mengine. Ametulia! Chalamila alijivika Uamiri Jeshi (kwa cheo cha...
  9. kavulata

    Simba msitafute kocha mpya kipindi hiki, mtakurupuka tena.

    Hakuna kocha mzuri asiyekuwa na timu ya kuifundisha, na hakuna timu bora inaweza kuachana na kocha na mchezaji bora katikati ya msimu labda kwa dau kubwa la kufa mtu. Simba haina fedha ya kubwa ya kuzinyanganya timu bara wachezaji na makocha wao bora kabla ya mwisho wa msimu. Hamna haja ya...
  10. Newbies

    John Bocco ndiye anayeweza kuwabeba Simba kipindi hiki kigumu

    Mchezaji mwenye magoli mengi tangu kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania, mchezaji mwenye hamasa na utulivu, mchezaji mwenye kipaji cha uongozi Papa's John Bocco ndiye anayeweza kuwatoa Simba kwa wakati huu Mgumu wanaopitia wamuamini kila mchezo mpaka hapo Mambo yatakapokaa sawa.
  11. sky soldier

    Kipindi hiki cha mvua hakikisha unampa pesa mara tatu zaidi ya ulivyozoea, ushindani umekuwa mkali sana

    Soko la Joto la body to body limeongezeka vibaya mno, sio suala la one night stand ama show time kwa sasa, ni suala la kupata uhakika wa joto kila siku, na hapa kwa mahesabu ya bajeti watu wameona wawe na mtu moja kuliko kubadili badili (wahasibu na wachumi tunazita economies of scale for bulk...
  12. nyabhera

    DRC: Yalipuka mapigano makali kati ya waasi wa M23 dhidi ya Wazalendo

    Tangu tarehe 01.10.2023 kumekuwapo na vuguvugu la muungano wa vijana wapiganaji kuvamia ngome za waasi wa M23. Vijana hawa wanaojiita wazalendo ni mchanganyiko wa vikundi vidogo vidogo vya waasi na wanamgambo nje jeshi la nchi. Wengi ni vikundi maarufu kama Mayi Mayi na Nyatura. Wazalendo...
  13. K

    Ushauri: Kwako Waziri wa Nishati, Tumia mkakati huu kama mpango wa dharula kipindi hiki cha uhaba wa mafuta

    Kwa kuwa Waziri wa Nishati umepewa na jukumu la kuratibu shughuli za serikali ukiwa kama Naibu Waziri mkuu, ninaamini jukumu hilo limekuja kipindi sahihi na linaweza kukusaidia katika majukumu yako kama Waziri wa nishati hususani kipindi hiki cha uhaba wa mafuta. Kwanza ninakushauri, katika...
  14. MSAGA SUMU

    Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

    Niko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi. Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao. Mchakato wa kuwapata hao...
  15. B

    Katibu Idara ya Ccm uenezi imepwaya sana kipindi hiki cha DPW. Enzi za kina Nape na Makonda walifanya vyema sana.

    Ndugu zangu kipindi hiki cha Mgogoro wa DPW na Serikali ya ccm kilikuwa ni muhimu sana kwa Katibu Uenezi CCM taida kuonesha makeke yake. Kiukweli ccm na idara hii imepwaya sana. Tunajua Uzalendo ndani ya ccm kila siku unapungua je ndio sababu hii Idara muhimu kukalia mambo nyeti hivi? Au mgao...
  16. F

    Sasa Chadema mtuongoze vyema kipindi hiki. Watanzania tunahitaji mwongozo wenu tumevurugwa

    Hakika hakuna wakati Taifa limekuwa na ombwe la uongozi kama wakati huu ninavyoandika. DP World sio neno ngeni hata kati ya watoto wadogo mtaani. Tumeona wazi kwamba kuna kundi nyuma ya mkataba huu usio na chembe ya uzalendo, kundi hili limeangalia maslahi yao binafsi na kuuza bandari zetu...
  17. Elly official

    Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu

    Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara. Jambo hili limenisikitisha sana...
  18. B

    Dar: Mnaotumia Soko la Buguruni kipindi hiki cha mvua mnaionaje hali?

    Mara kwa mara nimekuwa mtumiaji wa Soko la Buguruni lililopo Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam, lakini kiukweli, hali sio nzuri hasa kipindi cha mvua. Kwanza wafanyabiashara wanapanga bidhaa zao mpaka Kituo cha Daladala hali inayowafanya wapita njia na abiria kupata wakati mgumu. Pia...
  19. ThisisDenis

    Kipindi hiki cha sikukuu kimekua na ajali nyingi sana, Naomba tuwe makini barabarani.

    Naomba suala hili nilielekeze kwa wasafiri, wasafirishwa na wasimimizi wa miundombinu yoye ya usafiri, Ikiwezekana kupunguza hizi ajali dereva tax, bus, bodaboda wapimwe kiwango cha ulevi kama kitakua kimezidi kiwango basi wasiendelee na safari au kusitisha kabisa safari. Askari wamekua...
Back
Top Bottom