Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka?

Mwaka ndo umeanza sasa hebu
tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka?




#rushamchongo
We've only today. Niambie Kuna tofauti gani ya Leo ama Jana ama kesho. Yaani una siku moja tu ya kuishi,kesho itaendelea kuwepo na hutoweza kuifikia na Jana imeshatoka na huwezi kwenda Jana ama go back. Yaani unayo Leo pekee basi na wala. Hakuna kinachobadilika
 
Back
Top Bottom