Nawashauri hasa wanasiasa na waislamu, tusishinde kwenye maofisi ya vyama tu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni muda wa kusoma Quran mwezi huu wa Ramadhani.
Tujifunze walikuwepo wengi lakini hivi sasa imekua history. Maisha baada ya kufa ndio maisha kuliko haya ya duniani.
Pia...
Salaam, Shalom!!
DINI kubwa mbili duniani, zimejikuta zikiwa katika mfungo Kwa pamoja, waislamu na wakatoliki,
Mtwara katika uchaguzi wa madiwani, limetokea tukio la kukamatwa kura fake,
Swali LANGU, Hawa wanaoiba kura kipindi hiki wanazo dini?
Au wana dini ila Hawajafunga?
Nauliza tena...
Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote.
Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo
Ramadhan inakutanisha waislam wengi...
Morng Africa. Mimi ninyimbo zangu bora kabisa ni hizi
1) Moyo wangu umekuambia
2) Nalisema nitayakili maasi yangu kwa bwana
3) Fahari yetu ni msalaba
4) Ikatoka damu ikatoka maji pia
5) Mama pale msalabani
6) Utambi mchafu wa moshi mzito
7) Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu
Je, wewe zako zipi
Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa.
Sasa nikawa najiuliza hivi huu mwezi si Waislam na Wakristo funga imetukuta sote kwa pamoja...
Ibada ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku.
Nichukue fursa hii kutoa Rai na kuomba mabaharia wote na kauli mbiu zetu tugutuke kuelekea kwenye crisis ya upatikanaji wa mbususu.
Tuchukue sample zetu kadhaaa walau nne na kuweka fungu la pesa kwa ajili ya kuwasitiri na kuwatunza kama...
Wanabodi,
Hii ni Makala ya Kwa Maslahi ya Taifa NIpashe ya leo.
Safu ya Kwa Maslahi ya Taifa, inazungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii, kwa vile sasa tumeingia kipindi cha Kwaresma, mfungo wa siku 40 kwa ndugu zetu Wakristo na mfungo wa mwezi...
Imekuwa kawaida kipindi cha Mfungo wa ramadhani viongozi wa serikali, taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kufuturisha.
Sasa basi ili kuondoa dhana ya upendeleo au double standard ni vyema basi katika kipindi hiki cha Mfungo wa Kwaresma basi futari ikaandaliwa pia na taasisi hizo.
Ni...
Mungu uwajalie Watumishi wako wanaokesha na kuomba kwa ajili ya Taifa Hili
Naelewa KKKT kimara kuna mfungo unaendelea
BCIC kwa Askofu Gamanywa kuna mfungo wa siku 70 unaendelea
Kwa Mtume Mwamposa kadhalika kuna mfungo unaendelea
Na katika makanisa mbalimbali ambayo sijayataja
Basi ninaomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.