Nape na Chalamila mna la kujifunza katika kipindi hiki kifupi

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,087
5,079
Nape alijitokeza na kutishia wote waliouliza kuhusu alipo Makamu wa Rais. Kwa kipindi kifupi alipigwa spana Tweeter za kutosha.

Hazikuwa spana kavu bali na vifungu vya sheria na katiba na kidogo wakampekua hata mambo yake mengine. Ametulia!

Chalamila alijivika Uamiri Jeshi (kwa cheo cha Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya mkoa (neno ulinzi limeondolewa).

Alichokutana nacho leo kafanya usafi na wajumbe.

Hii nchi ni yetu sote tusimamie zaidi katika sheria na katiba kuliko Uchama.
 
Aliyemteua Chalamila, anaemsikiliza na kumtilia maanani Chalamila wote wana hitilafu katika uelewa na akili zao.

Chalamila ni debe tupu kuliko madebe matupu yote ya CCM. Jamaa ni pumbavu la mwisho kabisa.

Kuhusu swali lako, nina akiba ya Mil kama 100 kwenye mikeka ya kubeti, ukitiki huo basi mambo yatakuwa muswano
 
Nape alijitokeza na kutishia wote waliouliza kuhusu alipo makamu wa Rais.Kwa kipindi kifupi alipigwa spana Tweeter za kutosha.hazikuwa spana kavu bali na vifungu vya sheria na katiba na kidogo wakampekua hata mambo yake mengine.Ametulia!
Chalamila alijivika U Amiri Jeshi (kwa cheo cha Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya mkoa (neno ulinzi limeondolewa).Alichokutana nacho leo kafanya usafi na wajumbe.
Hii nchi ni yetu sote tusimamie zaidi katika sheria na katiba kuliko U chama.
Rais Samia tayari ameingia katika Kitabu Cha KUMBUKUMBU, Marais wa kiume wote waliogopa maandamano, mama amedhihirisha ni mlezi. Aliyepita alisema uchaguzi ukiisha basi hakuna mikutano mpaka miaka 5 ipite, mama mlezi ameruhusu. Aliyepita alisema mwanafunzi anayezaa akiwa shule asirudi shuleni, Mama mlezi ameruhusu. Aliyepita alisema mkurugenzi ambaye eneo lake atachaguliwa mpinzani Hana kazi, hili Sasa mama mlezi aruhusu sanduku la kura lichague aliyechaguliwa na Wananchi, siyo achague yeye kama aliyepita. HONGERA sana mama mlezi, waliyoshindwa wanaume,wewe umeweza.
 
Nape alijitokeza na kutishia wote waliouliza kuhusu alipo Makamu wa Rais. Kwa kipindi kifupi alipigwa spana Tweeter za kutosha.

Hazikuwa spana kavu bali na vifungu vya sheria na katiba na kidogo wakampekua hata mambo yake mengine. Ametulia!

Chalamila alijivika Uamiri Jeshi (kwa cheo cha Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya mkoa (neno ulinzi limeondolewa).

Alichokutana nacho leo kafanya usafi na wajumbe.

Hii nchi ni yetu sote tusimamie zaidi katika sheria na katiba kuliko Uchama.
umenena
 
Back
Top Bottom