nape

  1. A

    Nape, Polepole na Makonda watabaki kuwa Wenezi Bora Kwa miaka mingi

    Wakuu, Hivi mliwahi kushuhudia uenezi wa hao jamaa? Hao alikua akiwa sehemu akiropoka au kuongea la maana mitandao na vyombo vya habari vyote inakua ndio taarifa muhimu. Sasa mwenezi kama makala kweli yaani hata vyombo kureport habari zake wanaona uvivu tu. Hao wenezi Kwa mfano Nape...
  2. sonofobia

    Nape anatakiwa ajiuzulu nafasi ya uwaziri wa mawasiliano kwa kushindwa kumlinda Rais dhidi ya matusi

    Rais wetu mpendwa Mama Samia anaendelea kutukanwa na kudhalilishwa mtandaoni. Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea. Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya kuzuia watukanaji wa Rais either kuwakamata au kuzuia platform wanazotumia? Kama hakuna basi ata...
  3. B

    Baada ya Nape Nnauye, Makatibu Uenezi wa CCM Taifa waliofata walipwaya sana

    Hii ndio sababu ya Chama cha Mapinduzi ccm kutapatapa. Kiukweli ni kuwa ccm haina tena kitu cha kuwadanganya wananchi cha kusema inaeneza. Siasa za hadaa na ahadi za uongo zimekuwa ni zile zile kwa miongo kadhaa. Baada ya Nape Nauye na sera yake ya kujivua gamba ambayo kiasi fulani ilileta...
  4. P

    Waziri Nape, kutukosesha mtandao wa ClubHouse nchi nzima sababu ya watu wachache ndio upeo wako ulipoishia?

    Wakuu, Mtando wa ClubHouse umezuiwa kupatika nchini toka mwaka jana (2023) mwanzoni, ambapo huwezi kupata kupata huo mpakata utumie VPN. Hii ni ukiukwaji wa haki ya kujieleza na kupata kupata habari, ni kwenda kinyume na Katiba ya Tanzania inayotoa haki ya mtu kuwasiliana na kupata habari bila...
  5. chiembe

    Nape na January, sasa ndio nini kwenda kuchekea nyuma ya nyumba? Andaeni ziara za Arusha, atawapokea, atake asitake

    Ndio hivyo, madaraka koti la kuazima, nataraji ziara ya Nape na January Arusha. Thats politics. Makonda ajiandae kukaa airport akimsubiri Nape na January
  6. Miss Zomboko

    Nape: Rais Samia alinikataza kujibizana na Watu Mitandaoni

    WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan alimsihi kuacha kujibizana na watu mitandaoni na badala yake asimamie falsafa ya R4. Nape ameyasema hayo leo Machi 27, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, katika kilele cha...
  7. 1

    Kwa alichokisema Nape leo kama sio 4R za Rais Samia, tungerudi kule kule kwenye kutiana ulemavu

    Kiukweli nampongeza sana Rais Samia Suluhu Hassan, matusi anayotukanwa na watu wa Chadema huwa yananiuma sana, watu wanatukana utadhani wanatukana wahuni wenzao, heshima ya Rais iko majaribuni kwa sababu ya wahuni waliopewa nafasi ya kujieleza. Ukienda kule mtandao wa X kuna yule meya wa zamani...
  8. Nigrastratatract nerve

    January Makamba, Nape Nnauye, Mzee Kinana msishupaze shingo zenu; kubalini yaishe

    Uovu ni roho ambayo huuongoza mwili wa mwanadamu na hii roho humtesa Sana mwanadamu mpaka aombewe au akutane na shetani kwenye mazingira ambayo itabidi akatubu na kuombewa na hatimaye roho mbaya huondoka Mara moja na kubaki mtu mwema Malezi mabaya waliyopewa hawa vijana wawili Nape na Makamba...
  9. J

    Waziri Nape afanya mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Tanzania

    Waziri Nape Afanya Mazungumzo na Balozi wa Finland Tanzania Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting Ofisini kwake jijini Dar es Salaam aliyeambatana na Mkuu wa...
  10. Roving Journalist

    Waziri Nape Nnauye awateua Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Machi 21, 2024

    UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) Tarehe 21 Machi, 2024 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Nape Moses Nnauye (Mb) kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 7 (3) cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ya mwaka 2003...
  11. FRANCIS DA DON

    Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

    Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli...
  12. SYLLOGIST!

    Barua ya Wazi kwa Dkt. Dorothy Gwajima na Nape Nnauye

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.@ Dk Dorothy Gwajima Na... Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Mhe. Nape Moses Nnauye. Wasalaam, Poleni kwa kazi. Ninakuandikieni barua hii ili kuwajulisha na suala linaloleta wasiwasi mkubwa ambalo...
  13. P

    Waziri Nape aruhusu magazeti kuendelea kusomwa kwa mbwembwe. Mpaka matamko yanakinzana huwa hakuna mawasiliano ndani ya wizara?

    Nimeona mjadala wa “Kusoma magazeti”. Nimeelekeza TCRA kuruhusu UBUNIFU kwenye tasnia ya Habari. Staili ya usomaji we magazeti imeongeza MVUTO kwenye usomaji huo, ni jambo linapaswa KUTIWA MOYO badala ya kuzuiwa. Waandishi endeleeni na ubunifu kwenye kusoma magazeti. Maelekezo mengine yeyote...
  14. Erythrocyte

    Nape Nnauye afika Karimjee kuaga Mwili wa Lowassa

    Shughuli hii inafanyika muda huu Karimjee , Mh Nape ambaye ni Waziri wa Habari ameongoza kundi la Mawaziri kuingia eneo la tukio. Watu ni wengi sana na bado wanaendelea kumiminika Mwili wa Lowassa ukitoka Lugalo
  15. R

    Familia ya Lowassa huyu jamaa mfukuzeni huyu ni Nape hakuna siasa ya namna hii

    Msikilize alivyokosa utu alivyommwagia Marehemu Lowasa matusi na kejeli Mfukuzeni kwenye msiba , hizi siyo siasa hata kidogo https://twitter.com/lifeofmshaba/status/1756595193858388476?t=spL6CAk93UF-2fZdeXA9Sg&s=03
  16. R

    Lowassa aliwezaje kumvumilia Nape bila kumtamkia jambo hadi anafariki? Nape aliwezaje kutokuomba radhi hadi Lowassa amefariki?

    Nape aliweza kwenda Ikulu kumwomba radhi Magufuli kwa lengo la kupata madaraka. Lakini alishindwa kwenda kumwomba radhi Lowassa baada ya kumdhalilisha na kumtakia kifo kwenye mkutano wa adhara 2015. Alitamka maneno ambayo katika hali ya kawaida huwezi kusema yametoka kinywani kwa mwanadamu...
  17. Analogia Malenga

    Nape Nnauye: Hatujazuia mahojiano ya Tundu Lissu, Wasafi FM

    Serikali imeona kupitia vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kuhusu taarifa za Wasafi FM kuzuia mahojiano kati ya Makamu Mwenyekiti, wa CHADEMA na kutoa taarifa kuwa maamuzi hayo yametokana na maelekezo kutoka juu. Tangu kuingia kwa Serikali ya Awamu ya Sita kazini, jambo la...
  18. Mjanja M1

    Nape: Wanasiasa wote wapewe nafasi sawa kwenye vyombo vya Habari

    Waziri wa habari, mawasiliano na teknolojia ya habari Mhe. Nape Nnauye, amevitaka vyombo vya Habari nchini kutoa nafasi sawa kwa wanasiasa wote bila ya ubaguzi. “Vyombo vyote vya habari wapeni uwanja sawa wanasiasa watimize majukumu yao. Mtu akisemwa, wa upande wa pili apewe nafasi ya...
  19. S

    Kama Makonda ana uthubutu, ajaribu kumpigia Nape simu akiwa jukwaani

    Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine. Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea. Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi...
Back
Top Bottom