bagamoyo

Bagamoyo, Tanzania, is a town founded at the end of the 18th century, though it is an extension of a much older (8th century) settlement, Kaole. It was the capital of German East Africa and was one of the most important trading ports along the East African coast along the west of the Indian Ocean. In 2011, the town had 82,578 inhabitants and is the capital of the Bagamoyo District.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Asanteni wana Kawe, wana Mapinga Bagamoyo, Watanzania na Hodi Kampala na Uganda

    Uganda niliyoiacha mwaka 2001 siyo hii ya Leo ama hakika pongezi nyingi sana ziende kwa Mheshimiwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwa haya Maendeleo. Haya wale Wabongo mlioko Kampala hasa hasa Maeneo ya Nakasero ilipo Ikulu ya Uganda Mgeni wenu GENTAMYCINE nImewasili rasmi jana namba...
  2. Ibrah Goye

    Kampuni ya uuzaji wa viwanja Bagamoyo

    Habari ndugu mtanzania mwenzangu. Tunakukaribisha sana katika uwekezaji kwenye idara ya ardhi. Sisi PMG AND ASSOCIATE COMPANY LIMITED tunajihusisha na shughuli mbalimbali kama :- 👉🏿Uuzaji wa viwanja na mashamba 👉🏿Upimaji wa ardhi 👉🏿Ubunifu na usimamizi wa majengo 👉🏿Urasimishaji Na kwa maeneo...
  3. W

    Uwekezaji Bandari ya Bagamoyo wapewe wazawa/Private sector

    Decemba mwaka 2015 nilikuwa miongoni mwa waandishi takribani saba kutoka vyombo mbalimbali nchini tulikwenda kutembelea baadhi ya sehemu za kibiashara katika Jimbo la Guangzhou Nchini China. Tulikwenda kwa hisani ya Ubalozi wa China nchini Tanzania. Ziara yetu ilituchukua siku kumi tukiwa...
  4. Aliko Musa

    Bagamoyo Real Estate Workshop Namba 1

    Bagamoyo Real Estate Workshop Namba 1 Utangulizi wa programu. Programu hii ya FURSA ZA ARDHI/MAJENGO (Real Estate Workshop) zimelenga kwenye mambo makuu matatu (3). Mambo yenyewe ni: ✓ Moja; kujenga uwezo kwa mwekezaji kutafuta taarifa, koneksheni, maarifa na uzoefu wa sehemu anapowekeza...
  5. Mad Max

    Bagamoyo Day Trip: Kwa Wakazi Wa Dar & Pwani

    Poleni kwa hustling and bustling za mjini Dar. Kuna hii "day trip" ya kwenda Bagamoyo unaweza kwenda na kujifunza vitu mbalimbali. Sio mbali sana, ni kilometa 70 kasoro kutokea Ubungo, na unaweza kwenda kwa usafiri wako (karibia masaa mawili kutokea Ubungo) au ukaenda kwa usafiri wa umma...
  6. Waibi fredy

    Nauza heka 3 zipo Bagamoyo Mkenge

    Habari za muda huu, Nauza shamba heka 3 tu zipo Bagamoyo Mkenge. Ni kama 10km kutoka Bagamoyo road. Zote kwa pamoja ni 3.7m ni mali yangu haina dalali pia linatambulika na Serikali za kijiji. WhatsApp: 0715160365 Unaweza nipigia: 0698170582
  7. GENTAMYCINE

    Nimefurahi sana kukutana na 'Makomandoo' wa Chuoni Kiharaka Mapinga Bagamoyo wakiwa Wanafanya mazoezi yao Barabarani Mbweni

    Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza. Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
  8. Nsanzagee

    Mradi wa Bandari ya Bagamoyo uliingia laana baada ya wakazi wake kudhulumiwa na EPZ

    Bagamoyo ni Bagamoyo tu na siyo Sehemu nyingine yoyote. Wazee wa Bagamoyo waliwahi kumzuia Magufuli kupitisha barabara kuu inayoelekea Tanga kutokea Dar isipite mjini kwa sababu barabara hiyo ilitakiwa kwanza, kubomolewa kwa nguzo moja hivi ya kimakumbusho ambayo pia hutumika kwa mambo ya...
  9. GENTAMYCINE

    Hiyo Sherehe yenu wana JamiiForums mnayoiandaa ole wenu msinialike na msinitumie Chopper inifuate huku Mapinga 'Chango Hela' Bagamoyo

    Yaani mkiifanya halafu GENTAMYCINE sipo au sijaalikwa itakuwa ni sawa na Timu ya Taifa ya Argentina kupangwa bila Lionel Messi au Yanga SC kupanga Kikosi chake bila ya Pacome Zouzou au Simba SC kupangwa bila ya Clatous Chama kitu ambacho hakiwezekani na kitawashangaza wengi. ANGALIZO Kabla...
  10. Poppy Hatonn

    DC wa Bagamoyo akifungia kituo cha kulea watoto

    Zamani,wakati wa Awamu ya Kwanza vijana wa Kiislamu walimshambulia Mama Sophia Kawawa,wanamwambia ajihadhari. Mama Sophia Kawawa alikuwa amesema dini ya Kiislamu inawaonea wanawake. Wale vijana walikua wanaitetea dini. Sijui ilivyokuwa,yale mambo yalitokea zamani sana. Wale vijana sijui...
  11. Makamura

    Gari ya bia yaanguka Kilege Bagamoyo

    Haina maelezo mengi, angalia video
  12. 6 Pack

    Ukiambiwa kuna viwanja vya bure uchague tu sehemu ya kujenga na kuishi kati ya Vikindu, Kibaha, Chanika na Bagamoyo, utachagua kujenga wapi?

    Niaje waungwana, Kama swali linavojieleza hapo juu, ukiambiwa uchague sehemu moja tu ya kujenga kwa ajili ya makazi kati ya Chanika, Kibaha, Vikindu na Bagamoyo ila kiwanja unapewa bure. Ndugu muungwana hebu tuambie utachagua kujenga na kuishi wapi? Na kwanini?
  13. B

    Ziara ya Paul Makonda yaingia shubiri Bagamoyo na kuibua mapungufu ya Serikali ya CCM

    19 January 2024 Bagamoyo, Pwani PAUL MAKONDA AKUTANA NA UGUMU ULIOPITILIZA UNAOSHINDWA KUPATIWA UFUMBUZI NA MFUMO WA UTAWALA WA SERIKALI YA CCM https://m.youtube.com/watch?v=om38fxu03Yc Katibu wa uenezi, itikadi na mafunzo wa CCM Bw. Paul Makando leo hakuamini macho yake kuona jinsi ya mfumo...
  14. hydroxo

    Plot4Sale Shamba linauzwa Bagamoyo

    Shamba lipo Zinga kwa Mtoro kilomita moja na nusu kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo(Bagamoyo road). Shamba lina ukubwa wa heka sita na nusu(6.5). Linafaa kwa matumizi ya kilimo, kujenga kiwanda, kujenga shule,kujenga godowns Shamba halina migogoro na document zote muhimu zipo. Bei ni...
  15. Minjingu Jingu

    Hotel/Lodge Bagamoyo msimu huu wa Sikukuu chini ya 100,000 kwa siku

    Nahitaji iwe na options ya vitanda double, iwe ufukweni au isiwe mbali na ufukwe. Iwe sehemu tulivu ya kuvutia. Gharama yake isizidi tsh 100,000. Maana sisi wengine si matajiri, ninataka kukaa hapo siku 7 tu nipumzike na mke na watoto wa 4. Naombeni msaada wenu.
  16. Kindeena

    Daraja kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo limefungwa

    Daraja la Mto Mpiji ambalo lipo mpakani na linalounganisha Wilaya ya Bagamoyo na Mkoa wa Dar es salaam limefungwa kutumiwa na Waendesha magari na vyombo vingine vya usafiri baada ya sehemu ya daraja hilo kutitia na kupelekea uwepo wa shimo kubwa ambalo linahatarisha usalama wa Watu. Kwa sasa...
  17. Minjingu Jingu

    Hotel nzuri za bei Rafiki Bagamoyo

    Wadau sijawahi enda Bwagamoyo ila mwaka huu nimeona badala ya kwenda ku enjoy Dubai niende Bagamoyo nikakae hata week 2 Hotel flan hivi ufukweni maana mfukoni kume shake kidogo. Naomba mnisaidie majina ya Hotels nzuri za bei ya Taifa changa. Iwe kuanzia 50,000 mpaka 70,000. Ufukweni. Chumba...
  18. Mhaya

    Kwanini miji yenye Waswahili wengi mfano Bagamoyo huwa iko nyuma kimaendeleo?

    Nimebahatika kufika Bagamoyo safi na salama kabisa, shukran za dhati ziende kwa Mungu Mkuu. Mji wa Bagamoyo ni mji mzuri sana kimandhari, ukitizama mji wenyewe huko kando kando ya bahari ya Hindi. Nimefika Bagamoyo kwanza ni mji umepoa sana, sio mji wenye harakati kwa sisi wachakarikaji, nahisi...
  19. Jugado

    Natafuta lodge au hoteli nzuri ya kukaa na familia Bagamoyo kwa wiki moja

    Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo. Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi. Asante. NB. Ikiwa Dar iwe sehemu isiyo na makelele.
  20. Mhaya

    Wapi nitapata daladala za kufika Bagamoyo haraka kati ya Chalinze na Mlandizi?

    Kwenu wana JamiiForums, naomba kujua ni route hipi ya haraka na rahisi kupata daladala za kwenda Bagamoyo, kati ya Chalinze to Bagamoyo au Mlandizi to Bagamoyo. Na nauli ikoje kutoka hayo maeneo kwenda Bagamoyo. Natanguliza shukran za dhati.
Back
Top Bottom