upya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Israel inavyorudi upya Gaza kwa nguvu, ni wazi kulikuwa na njama kati yake na Marekani kuiwacha Iran ishinde ili kupata ushindi wa Gaza

    Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani. Ni kweli Israel ilikuwa na nia ya kuipiga Iran kwa nguvu kubwa na kuleta madhara zaidi lakini kwa kushauriana na Marekani na...
  2. Mganguzi

    Serikali iitishe kura ya maoni Wazanzibari waamue upya kama wanautaka muungano ili isionekane tunawalazimisha

    Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili. Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa. Kama nyumba ya zamani inaweza kuvunjwa na kujengwa mpya inayoendana na wakati, basi hata muungano kwa sasa ni jumba la kale...
  3. N

    Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

    Ndugu wana JF poleni na kazi na mihangaiko ya maisha. Mimi ni kijana wa miaka 29 mzaliwa wa Morogoro na kukulia DSM hasa maeneo ya Tandika! Nilipohitimu masomo yangu pale UDSM 2017 nilikuja Unguja mwezi wa 7 mwaka huo huo kujaribu bahati yangu, kilichonileta ni soka na alieniunganisha na hio...
  4. R

    Waziri Makamba, Ule mpango wa kuisuka UPYA Wizara ya Mambo ya nje uliishia wapi?

    Ulipoingia wizara ya nishati Kwa mara ya kwanza, ulikuwa na MIKAKATI mingi, customer care ikajitegemea, service za mitambo na njia za umeme, pesa zikalipwa na tatizo liko pale pale, software ya mabilioni ikawekwa, ununuzi wa nguzo za umeme za zege zinazovunjika zenyewe,, mitungi ya gas, bei za...
  5. demigod

    SImba SC ajipange upya kwa Msimu ujao, habari imekwisha kwa Mkapa

    Mkakati wa Al ahly kwenye hatua ya mtoano laiti kama angekutana na Yanga SC hapa Taifa kwenye hatua ya mtoano kama hii basi hii mechi ingeisha leo. Sioni Simba wanaweza kwenda Cairo kutoboa ktk fixture ya marudiano. SIONI kwakweli. Hii ni robo fainali ya 5 Simba anashindwa kwenda nusu. Game...
  6. Suley2019

    Biteko aagiza Bodi ya ETDCO ivunjwe, Menejimenti isukwe upya

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ameagiza kuvunjwa kwa Bodi ya kampuni tanzu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme (ETDCO). Ametoa maagizo hayo kufuatia wizi na utendaji mbovu wa Kampuni hiyo huku...
  7. M

    Kosa likikufunza sio kosa tena bali ni upya uliokuwa huujui

    KOSA LIKIKUFUNZA SIO KOSA TENA BALI NI UPYA ULIOKUWA HUUJUI. Sifa ya makosa ni kutoa adhabu na inaweza isiwe muda huo ulipolifanya kosa ila ni lazima litakuadhibu tu mbeleni hivyo hakuna namna unaweza kukwepa adhabu ya kosa lako. Taarifa inayopendeza ni kuwa kosa likikupa adhabu nawe ukaona...
  8. M

    KOSA LIKIKUFUNZA SIO KOSA TENA BALI NI UPYA ULIOKUWA HUUJUI

    KOSA LIKIKUFUNZA SIO KOSA TENA BALI NI UPYA ULIOKUWA HUUJUI. Sifa ya makosa ni kutoa adhabu na inaweza isiwe muda huo ulipolifanya kosa ila ni lazima litakuadhibu tu mbeleni hivyo hakuna namna unaweza kukwepa adhabu ya kosa lako. Taarifa inayopendeza ni kuwa kosa likikupa adhabu nawe ukaona...
  9. X

    Kuna haja kwa mamlaka husika kuangalia upya mikopo ya mitandaoni

    Kwa uelewa wangu mdogo ili mtu uweze kuwa mdhamini ni sharti kwanza umjue unaemdhamini na pili uridhie kuwa mdhamini. Lakini kwa siku za hivi karibuni kumetokea mchezo wa makampuni ya kutoa mikopo mitandaoni kuwasiliana na watu out of nowhere kwa madai kuwa wao ni wadhamini wa mtu fulani...
  10. hp4510

    Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya Mtandaoni (Online)'

    Hii mikopo ya online inasaidia Sana, pamoja na kwamba Riba Yao ni kubwa Sana, wakikupa elf 20 unarudisha elf 29 kwa siku Saba Shida inakuja Kwa wafanyakazi wao ambao wanadai hiyo mikopo Aisee ni kama vichaa, mkopo ukibakia siku moja Tu Yan kesho yake unatakiwa kulipa utakuta missed call zaidi...
  11. Teslarati

    Mchepuko wangu wa kidigo aliweka huu wimbo baada ya game ikabidi tufute matokeo tuanze mechi upya

    Huyu msanii anaitwa yammi mpelekeeni mauwa yake kutoka kwangu. Nilikua kwa mchepuko, baada ya game nimeenda kuoga yeye anarekebisha mambo si akaweka huu wimbo, nikawasha shazam ikaudaka unaitwa kiuno https://m.youtube.com/watch?v=TbSuWP0taQw&pp=ygUGWWFtbWkg Mtoto alikua kavaa kanga tu...
  12. Hance Mtanashati

    Divisions (Madaraja) yapangwa upya vijana wajiandae vizuri.Division one mwisho 13.

    Miaka ya hivi karibuni naona kuna mafuriko ya division one mpaka zimekosa thamani yake. Sasa huu ni wakati sahihi kwa wizara ya elimu kurekebisha madaraja. Madaraja mapya yanapaswa kuwa hivi; Division one inapaswa iwe kuanzia one ya 7 mpaka 13. Inamaana kuwa ili mtu uhesabike umepata...
  13. U

    Ewe kijana tafuta sana pesa kipindi hiki vyuma vimelegezwa Rais ajaye vyuma vitakazwa upya kwa miaka 10

    Hii nchi mambo hayajawahi kuwa rahisi ila kuna awamu huwa zina nafuu. kipindi cha Mwinyi watu walizikamata sana, kipindi cha Kikwete ilikuwa utawala sana kwa raia na hali ya sasa vyuma vilivyokazwa hapo nyuma vinamwagiliwa grisi nzito. Rais ajae hali inaweza kurudi kuwa vyuma vya kukaza kwa...
  14. Mtemi mpambalioto

    Serikali iangalie upya maternity leave badala ya miezi 3 iwe miezi 5 au 6

    Malezi ya mtoto mchanga yanahitaji uangalizi mkubwa sana wa mama yake! Nashangaa serikali mnasisitiza mtoto asipewe maji wala uji ndani ya miez 6! yaani awe anashindia maziwa ya mama tu! Nyinyi hao hao serikali mnawapa wafanyakaz wenu miez 3 tu ya materninty hamuoni tatizo kwa watoto kuwa badae...
  15. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa: Barabara ya Songea - Njombe - Makambako Kujengwa Upya

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inatarajia kuanza kujenga upya barabara ya Songea – Njombe - Makambako kwa kiwango cha lami kutokana na barabara hiyo kuwa nyembamba na muda wake kuisha. Bashungwa amesema hayo Wilayani Ludewa, mkoani Njombe wakati akizungumza na...
  16. sky soldier

    Buy it for Life: Tujuzane brand ama model za bidhaa zinazodumu kwa muda mrefu ili tuepukane na usumbufu wa kununua upya

    Uzi huu tujuzane bidhaa zenye viwango vya juu hasa kwa wale wasio na pesa za ziada za kununua upya kitu kile kile ama wanaopenda kukaa na vitu vinavyodumu. Tujadiliane brand ama model za bidhaa zenye kutumika muda mrefu bila kuchoka ama kufubaa haraka, durable vyenye uwezo mkubwa wa kuhimili...
  17. sanalii

    Paving za kituo cha mabasi kibaha kurekebishwa upya, hazina hata miaka 8 ya kutumika

    Baadhi ya maeno ya paving kwenyw kituo cha mabasi kibaha maili moja yanafanyiwa marekebisho, kituo hizi hakijazidi miaka nane tangu kigunguliwe rasmi. Kwa mujibu wa website ya kibaha mji, ujenzi uligharimu 3.3 bilions, na kilianza kutumika October 2018. Stendi Kuu Mpya Kibaha Kuanza Kutumika...
  18. P

    Nimekoma 2024 naanza upya.

    Kwa akiri zangu timamu, sitafanya ngono tena hadi hapo tapo oa. Mm na nude video ndo basi tena. Mm na approach za warembo ndo basi tena. Naamza upya kuanzia tar moja na zaliwa upya kiroho na kiimani.
  19. Joyboy

    Mambo haya yakikutokea kwenye maisha yako lazima upate furaha ya ajabu utahisi maisha yako yameanza upya

    1. Ukipata mpenzi mnaependana sana. 2. Ukipata mtoto wako wa kwanza. 3. Ukifunga ndoa. 4. Ukinunua gari lako la kwanza. 5. Ukifaulu form4 au form 6 (vilaza wenzangu watanielewa) 6. Kuhamia nyumbani mwako baada ya kuishi kweny za kupanga 7. Majibu ya kipimo kurudi HIV negative baada ya...
Back
Top Bottom