Hakika hakuna wakati Taifa limekuwa na ombwe la uongozi kama wakati huu ninavyoandika.
DP World sio neno ngeni hata kati ya watoto wadogo mtaani.
Tumeona wazi kwamba kuna kundi nyuma ya mkataba huu usio na chembe ya uzalendo, kundi hili limeangalia maslahi yao binafsi na kuuza bandari zetu bila kujali maslahi mapana ya nchi.
Mkataba mbovu umeipasua nchi kidini, kikanda na kimuungano.
Bunge la chama kimoja haliaminiki na limefumbia macho hovyo hii kwa hofu za kisiasa.
Ni wakati muafaka Chadema mkasimama kuonesha njia. Chadema ndio uongozi mbadala wa nchi yetu na sasa ndio tunahitaji msimamo wa chama hiki kuvuka mtego huu.