dawasa

  1. Bani Israel

    Je! kuna Bifu kati ya staff wa tanesco na dawasa?

    leo nimeshuhudia sijui ni bifu au tuseme ni kituko gari ya tanesco yenye wafanyakazi ilipokutana na ya dawasa kwenye foleni Mwenge basi yakaanza matani dawasa wanaitwa chura nao wanawaita wa tanesco popo yakaanza matusi sasa 🤣🤣🤣
  2. Pfizer

    DAWASA bado wanasubiri wakabidhiwe Mradi wa Maji Kiluvya NSSF

    Mradi wa Maji Kiluvya NSSF Eneo la Kiluvya NSSF kwa sasa kuna mradi unaoendelea kutekelezwa na Shirika la hifadhi ya Mifuko ya Jamii (NSSF) kwa ajili ya wateja ambao waliuziwa viwanja katika eneo hilo. Mradi huo umehusisha ulazaji wa bomba kubwa la inch 8 kutoka kwenye bomba kubwa la inchi 30...
  3. P

    DAWASA: Maji yatapatikana umeme ukirejea

    DAWASA imewatangazia umma Mikoa ya Dar es salaam na Pwani kuwa kumekuwa na ukosefu wa huduma ya maji kutokana na hitilafu katika mfumo wa gridi ya Taifa. Maeneo yanayoathirika ni Wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa Maji Ruvu Juu, Mtambo wa Maji Ruvu Chini, Mtambo wa Maji Wami, Mtambo wa maji...
  4. Lycaon pictus

    Siku ya maji duniani. Ujenzi wa lile bwawa la vidunda la kumaliza shida ya maji Dar umefikia wapi?

    Leo ikiwa siku ya maji duniani. Lile bwawa walilisema litamaliza shida ya maji Dar na Pwani ujenzi wake umefikia wapi?
  5. Roving Journalist

    Kamati ya Bunge yatembelea ujenzi wa jengo jipya la DAWASA Yetu lililogharimu shilingi bilioni 48.9

    KAMATI YA BUNGE YAFANYA UKAGUZI JENGO LA DAWASA YETU Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji na Mitaji ya Umma imekagua na kufurahishwa na maendeleo ya Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mamlaka ya Maji Safi na Majitaka Dar Es Salaam (DAWASA) katika eneo la Ubungo Maji Mkoani Dar es Salaam...
  6. maroon7

    KERO DAWASA kuna rushwa kwenye ufungaji wa maji

    Wanabodi (Kwa sauti ya Paskali Mayalla), Nasikitika sana kuleta kero yangu kwa hawa DAWASA ambao wameamua kutufanyia uhuni sisi wateja wao wapya. Binafsi nililipia kuunganishiwa maji tangu October 2023 ila tukaambiwa kuna upungufu wa vifaa tusubiri. Tukasubiri hadi mwaka ukaisha tunaambiwa...
  7. Pdidy

    KERO DAWASA maji ya makazi mapya Mbezi Beach yana udongo mwezi sasa, nini shida?

    Nimejaribu kuwasiliana kiofisi nikahisi kuna marekebisho yanafanywa, sasa naona imekuwa kero. Wananchi wa makazi mapya Mbezi Beach wanateseka na maji ya udongo mwezi sasa. Kila bomba ukichota ndoo imejaa udongo, kutumia maji ni mpaka usubiri yatulie uchuje. Mnatupeleka wapi maana hatujui...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Ni mimi tu au? Maji ya DAWASA ukinywa bila ya kuchemsha yanaumiza tumbo

    Habari za Majukumu! Tangu mwaka huu uanze haya maji ya DAWASA nikiyanywa tumbo linaniuma. Zamani nilikuwa nakunywa ya kuchemsha yaani bila kuchemsha maji sinywi labda ninunue. Mwaka jana nikajaribu kunywa maji ya bomba (DAWASA) bila kuchemsha nikaona hayana shida. Ni mpaka mwaka huu Januari...
  9. BARD AI

    KERO Maji ya DAWASA yana harufu na ladha ya Dawa kali sana, ni salama kweli?

    DAWASA tunawashukuru sana kwa kuanza kurejesha huduma ya Maji baada ya kukatika kwa muda mrefu huku mkieleza chanzo ilikuwa kurekebisha mitambo ya machujio ya tope. Lakini sasa kuna jipya, maji yenu yanakuja harufu kali sana ya Dawa za kutibu maji kiasi kwamba hata ladha ya maji imepotea. Sasa...
  10. Suley2019

    Waziri Aweso aigaza DAWASA kuboresha miundombinu ya uzalishaji maji ya Ruvu Chini na Ruvu Juu

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha inafanya maboresho kwenye mitambo ya uzalishaji maji ya Ruvu Chini na Ruvu Juu hususani pampu za kusukuma maji ili kuwezesha huduma ya maji iweze kupatikana kwa ufasaha na kwa...
  11. BARD AI

    DAWASA: Matengenezo ya Mtambo wa Ruvu Chini yanakamilika leo, Tatizo la Maji litakwisha

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Kiula Kingu amesema matengenezo ya moja ya chujio la kuhifadhia maji katika mtambo wa kuzalisha maji Ruvu chini yatakamilika leo ambapo tatizo la maji lililodumu kwa saa 36 katika baadhi ya maeneo ya Dar es salaam na Pwani litakwisha na Watu watapata maji safi...
  12. BARD AI

    Maeneo 38 kukosa huduma ya Maji kwa zaidi ya Saa 36 jijini Dar, kutokana na maboresho ya kuondoa tope kwenye Mtambo wa kuzalisha maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetangaza upungufu wa Huduma ya Maji kwa Wateja wanaohudumiwa na mtambo Ruvu Chini, kuanzia Machi 5 hadi Machi 7, 2024 Kwa mujibu wa taarifa ya DAWASA upungufu huo unatokana na maboresho ya msingi yanayofanywa katika mtambo huo...
  13. B

    DAWASA tupeni majibu kama mmeanzisha mgao wa maji huku Kimara Bonyokwa

    Asante kwa kuturudishia umeme, asante kwa kuchukua maji. Kazi iendelee mpaka tunyooke. Kwa kifupi wananchi hatutakiwi kuwa na amani hata kidogo. Siku kadhaa nyuma tulikuwa tunalia suala zima la mgao wa umeme, lakini naona sasa hivi angalau kuna nafuu. Lakini sasa, limekuja suala la maji, kwa...
  14. H

    DAWASA: Kunduchi/Bahari Beach Je kuna mgao?

    Kwa muda sasa pamekuwepo na shida ya maji. DAWASA hamjatoa taarifa yoyote. Inaelekea huu mradi imewashinda kuendesha. Ingependeza sana kama mnaweza kutoa taarifa nini tatizo. Mna mkataba na wenye magari ya maji?
  15. Roving Journalist

    DAWASA yawapa uhakika wa huduma ya Maji wakazi wa Bonyokwa na Kisukuru

    Mradi wa kuboresha huduma ya maji Bonyokwa uliofikia asilimia 70 ya utekelezaji wake huku ukihusisha ujenzi wa bomba kubwa na kufunga pampu ya kusukuma maji (Booster pump) unatajwa kwenda kujibu changamoto za kihuduma katika maeneo hayo. Kukamilika kwa kazi hii kutasaidia kuongeza upatikanaji...
  16. BARD AI

    DAWASA: Changamoto ya Umeme Mdogo imesababisha baadhi ya maeneo ya Dar kukosa Maji, maboresho yanaendelea

    Mamlaka ya Majisafi na Uhifadhi wa Mazingira (DAWASA), imesema inaendelea kufanya maboresho katika maeneo yenye Changamoto ya kukosa Maji katika Jiji la Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na maeneo ya Segerea. Taarifa iliyotolewa na Everlasting Lyaro ambaye ni Afisa wa Mamlaka hiyo aliyezungumza na...
  17. Black Butterfly

    DAWASA Mitaa ya Tabata Segerea kuna shida gani, Mbona hatupati Maji wiki ya tatu sasa?

    Kuna mambo nchi hii yanachosha sana jamani, hebu fikiria Wiki tatu unakosa Maji ambayo unayalipia kila mwezi, ni utaratibu gani huu? Leo naomba kuwauliza Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuna shida gani katika jiji hili, mbona matatizo ya maji hayaishi? Mvua ziwepo zisiwepo...
  18. B

    KERO TANESCO na DAWASA mpaka mchukue roho zetu wakazi wa Mbezi Beach ndio mfurahi?

    Salaam kwenu wana JF, TANESCO na DAWASA mnatutaka nini wakazi wa Mbezi Beach? Umeme mnakata maji maji mmekata mnataka tuishije sisi? Mnaona raha watu tunavyosononeka na kutukana kila siku kwa hii dhulma mnatufanyia? Yaani hili fukuto ndani kukaa mateso nje huwezi kukaa mbu zikufanye chakula...
  19. L

    Hivi DAWASA haina msimamiz?

    Kuna mgao wa Maji sugu unaendelea katika Jiji la Dar es Salaam. DAWASA walikuwa wamekata Maji kwa muda wa majuma matatu bila kutoa taarifa. Wananchi walipoanza kuhoji, sasa hivi wamakuja na mtindo wa kufungua Maji kwa muda mfupi halafu yanakatika. Kwa mtindo huu hata kupata Maji ya kuhifadhi...
  20. K

    Dar: Maeneo ya Segerea hadi Kinyerezi hakuna Maji

    Mkuu Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa. Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji yafunguliwe upande wenu. Maeneo ya Kanga Kinyerezi maji hayatoki wiki ya 3. Mheshimiwa unahujumiwa tunaomba...
Back
Top Bottom