Mwanaume smart &Busy lazima use nacho hiki kifaa

Skull App

Member
Jul 7, 2018
47
56
Habari Wana JF?

Katika pita pita zangu na pilika za mtu mwusi, nimekutana na Kifaa nilichokifanyia tafiti umuhimu wake, nashauri Kila mwanaume smart na aliyekua busy lazima awe nacho, na ikibidi atembee nacho Kila anapokwenda.

Kifaa hicho si kingine Bali ni TUMMY TRIMMER.

UMUHIMU WA KIFAA HIKI.

1. Upunguza mafuta kwenye Tumbo.

2. Uondoa nyama uzembe kwenye mwili.

3. Upunguza tatizo LA nguvu za kiume.

5. Usaidia mapigo ya moyo kuwa katika Hali ya kawaida Kwa kufanya mzunguko wa damu kuzunguka kama inavyoitajika na mwili.

6. Kuchoma mafuta yasiyohitajika ndani ya mwili.

PIGA namba 0714444844 kujinyakulia Kifaa chako Kwa punguzo la Bei Tsh 30,000/= tu.
 
Attachments

  • IMG-20230824-WA0002.jpg
    IMG-20230824-WA0002.jpg
    78 KB · Views: 9
  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    26.9 KB · Views: 9
Sasa mzee babaa kwani..........?au acha tu
Anyway Ni katika harakati za mtu kupeleka tonge kinywani,
Wengine mliowaza kutoka nje ya lengo kama mimi mara ya kwanza, Waza sbb ya mtoa mada kutoa huu uzi..., utabadiri mawazo na hatimaye kusema kila la heri katika utafutaji
 
Habari Wana JF?

Katika pita pita zangu na pilika za mtu mwusi, nimekutana na Kifaa nilichokifanyia tafiti umuhimu wake, nashauri Kila mwanaume smart na aliyekua busy lazima awe nacho, na ikibidi atembee nacho Kila anapokwenda.

Kifaa hicho si kingine Bali ni TUMMY TRIMMER.

UMUHIMU WA KIFAA HIKI.

1. Upunguza mafuta kwenye Tumbo.

2. Uondoa nyama uzembe kwenye mwili.

3. Upunguza tatizo LA nguvu za kiume.

5. Usaidia mapigo ya moyo kuwa katika Hali ya kawaida Kwa kufanya mzunguko wa samurai kuzunguka kama inavyoitajika na mwili.

6. Kuchoma mafuta yasiyohitajika ndani ya mwili.

PIGA namba 0714444844 kujinyakulia Kifaa chako Kwa punguzo la Bei Tsh 30,000/= tu.
Kinauzwa bei gani
 
Upewe hela kisa tu mtu aonekane smart and Busier. Vipi na Cha kuongeza nguvu ya ubongo hauna. Mana nguvu za kiume sioni Zina faida yoyote hata ambayo naweza nikaja kuwaonyeshea wajukuu zangu Kama fahari ya ujana wangu
😂😂😂🙏
 
😳Mkuu umeoa? Wajukuu unawapataje kama nguvu za kiume Hazina maana kwako.😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom