Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,372
Ameandika hivi kupitia twitter:
Tumekusanya matokeo ya uchaguzi katika vituo vyote 336 vya kupigia kura Jimbo la Muhambwe. Kura zetu, 41% ya kura zote, haziwezi kutupa Ushindi. Uchaguzi uliendeshwa vizuri. Kasoro kadhaa zilizojitokeza zisingebadili matokeo. Tunatumia uchaguzi huu kama Mafunzo kujiimarisha zaidi hivi kupitia Twitter:
Tweet nyingine hii:
Nawapongeza CCM kwa ushindi wa halali kabisa Jimbo la Muhambwe.Kila la Kheri kwa Mbunge mpya. Tutakutana Uchaguzi unaofuata tukiwa Imara zaidi.Nampongeza Msimamizi wa Uchaguzi wa Muhambwe na OCD wa Kibondo kwa kufanya kazi kwa weledi. Ninalaani matukio ya kuumiza Watu yaliyotokea