Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli iachane na 2025 lengo liwe 2030

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,567
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, nakuja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", leo nazungumzia kitu kinachoitwa the Political Vision, Focus na Targets.

Moja ya matatizo makubwa ya siasa zetu ni ukosefu wa a clear vision, ya unataka nini, unataka kufika wapi, utatumia njia gani ili kufika hapo unapotaka ili lengo lako litimie.

Huu ukosefu wa a clear vision sio tatizo kwa opposition tuu pekee wa Tanzania, hata chama tawala na serikali yetu nayo sometimes inakosa a clear vision ya baadhi ya maeneo hivyo kushindwa ku focus na matokeo yake ndio maana Tanzania kama nchi mpaka leo zaidi ya miaka 60 tangu tumepata uhuru wetu toka kwa wakoloni, licha ya rasilimali lukuki lakini bado ni masikini wa kutupwa tunaoishi kwenye lindi la umasikini uliotopea kutokana na kushindwa kuwa na a clear vision na hivyo kushindwa kupanga vipaumbele vyetu. Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa!

Unapokosa a clear vision, you just can't focus, hivyo you can't hit the target. Ni sawa na kupanga safari, lazima kwanza ujue unataka kwenda wapi, na ili ufike hapo unapotaka kwenda, utatumia njia gani, usafiri gani ili ufike. Ukianza safari kwa kutembea tuu bila kujua anakwenda wapi, utumie njia gani ili ufike, huwezi kwenda popote na utaishia kutangatanga tuu njia bila kufika popote!.

Hivyo tukija kwenye siasa zetu ndio kabisa!, besides siasa za figisu, sheria mbovu za uchaguzi, Tume isiyo huru na shirikishi ya Uchaguzi na ushindani usio sawia kwenye uwanja tenge, lack of focus ni tatizo kubwa zaidi kwenye siasa zetu kuliko matatizo hayo mengine yote!.

Mikutano ya siasa imeruhusiwa, Samia atabadili sheria za uchaguzi, ataruhusu hadi wagombea binafsi, atarekebisha Tume ya Uchaguzi kwa kuunda Tume Huru na Shirikishi, ataleta katiba mpya, lakini bado ni CCM ndio itaendelea kushinda na kutawala Tanzania, kwa kipindi kirefu kijacho and probably milele!, kwasababu Tanzania hatuna any serious and credible opposition to checks out CCM!.

Watu wanamatumaini sana na Chadema, lakini amini usiamini, Chadema kwa hivi ilivyo sasa, bado ni hakuna kitu pale!, labda ibadilike, kule juu iingie mijitu bold kama Heche. Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?

Nimesema hatuna any serious and credible opposition kwasababu upinzani uliopo nchi ni upinzani myopic, una short sightedness, hauoni mbali!, hauna long distance vision ya unataka kufika wapi, hawana good vision ya kuona mbali kuwa wanataka nini kesho, wanakwenda wapi, watumie njia gani na watafikaje, hivyo kukosa a clear vision of its target, na kukosa clear focus hivyo kushindwa ku focus and eventually end up missing the target. Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ... yaani wapinzani Tanzania ni wanatangatanga tuu!.

Nakiri kuwa inspired kupandisha bandiko hili kutoka na bandiko hili CHADEMA imeshavimeza tena vyama vyote vya Upinzani, Siasa za nchi hii ngumu sana! toka kwa hoja ya mwana JF huyu
Pamoja na kwamba ACT Wazalendo wamenunua ghorofa kule kwa Mtogole

Pamoja na kwamba Halima Mdee na wenzake bado wanadunda bungeni

Pamoja na kwamba Selasini ndiye Mwenyekiti wa Nccr mageuzi

Pamoja na kwamba kuna Kikosi Kazi cha Prof Mkandalla na Zitto Kabwe

Kiukweli Chadema imevifunika vyama vyote vya Upinzani na sasa tumerudi kwenye ushindani wa CCM na Chadema kama Simba na Yanga

Tukutane Furahisha Siasa siyo Uadui
Mkuu Yohane Mbatizaji, johnthebaptist ,kwanza naunga mkono hoja, kweli Chadema ni moto wa kuotea mbali, tatizo lake haijajipanga na haijipangi! CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena! , hivyo kwenye urais, Chadema na the opposition, forget about 2025, the time is too little too late. Rais wa 2025 ni kutoka CCM!, hivyo nashauri focus ya opposition kwenye urais, should be 2030 and not 2025!.

Politics is a science of politics, political science, therefore it follows scientific theories za postulates and proofs, hivyo kwa political dynamism ya siasa zetu, kwa sasa hapa tulipo hadi 2025, bado hatuna chama chochote kingine cha siasa cha kuitikisha CCM kwenye urais!.

Kwa vile uchaguzi Mkuu mwingine ni 2025, baada ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya siasa, naona vyama uchwala vinakurupuka kwa mikutano ya hadhara to focus on uchaguzi wa 2025 only, that is lack of clear focus na clear vision, hivyo they are myopic!.

2025 is a bit too close, too near, hivyo vyama viko too little time too late to do a worthwhile thing!. The focus kwenye urais should be 2030!. 2025 they should focus on ubunge zaidi, simaanishi wasisimamishe mgombea urais, wasimamishe mgombea urais kwa lengo la kuvuna tuu kura za viti maalum, lakini sio ushindi wa urais!. Rais wa 2025 ni kutoka CCM and CCM only!.

Nimeona Chadema wanakwenda kuanzia Kanda ya Ziwa, hii ni Kanda determinant ya nani anakuwa rais wa Tanzania, hivyo hata chaguo la JPM kuwa mgombea wa CCM ile 2015 was not bahati nasibu na wala sio JPM aliingia kwa ku beep!. It was a premeditated move na ni mimi niliisema humu ile 2014 Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Kwa vile JPM alitoka Kanda ya Ziwa, then PM kutoka pengine popote was possible, lakini kwa 2025, kwa vile rais sio kutokea Kanda determinant ya Ziwa, then piga ua galagaza the next PM ni lazima atoke Kanda ya Ziwa!. Kubali kataa!.

Sasa uchaguzi wa rais wa 2030 ndio fursa nyingine kwa opposition, kama ile fursa ya 2015 ambayo Chadema walikuwa nayo, but for being myopic na lack of focus, they missed the target Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...

Fursa ya 2030 kwa opposition, mimi niliizungumza toka February 2018 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika! Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika! 12 years before.
The the opposition wetu, will they be ready to take up the challenge
Paskali.
Update
Mchango very objective
Hunaga jipya bro, vinginevyo ungeanzisha chama upate hiyo nafasi.
Mkuu Tindo , kwanza ni kweli sina jipya kwasababu in reality, there is nothing new under the sun!, hivyo jipya litoke wapi?. Nianzishe chama cha nini wakati Tanzania kwa chama kweli cha siasa ambacho ni chama as chama, tunacho kimoja tuu!, the one and only!, humo ndimo nami nilimo!.
Ww ni motivational speaker fulani ambaye huna achievement yoyote unayoweza kuonyesha.
Mimi sio motivational speaker, mimi ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila ni kweli sina any achievement yoyote ya Kuonekanika ninayoweza kuonyesha, ila kalamu yangu ina ncha kali! baadhi ya maswali yangu, hoja zangu na maandishi yana waingia yawachoma na wana badilika ila watu hawaoni!, mimi ninayeandika na kushuhudia maandishi yangu yakileta mabadiliko chanya ni faraja tosha kwangu!. Kama utapata muda pitia hizi baadhi ya kauli umba zangu uone zilivyoleta matokeo chanya "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia ambayo japo hayaonekaniki kwa macho lakini matokeo yake yanaonekana.
Mtu mjinga tu ndio anaweza kufuata ushauri wako.
Ushauri wangu huwa ni ushauri wa bure, unamaanisha ni mtu mjinga tuu anayeweza kufuata ushauri wangu, hii inamaansha ushauri wangu ni wa kijinga!, then, angalia ushauri wangu hapa niliishauri nini CCM na Chadema CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! angalia nani alifuata ushauri wangu na akapata nini, na nani alipuuza na matokeo yake, sasa hapo nani mjinga?.
Ww ni mmoja ya waliowaingiza mkenge CDM wamchukue Lowassa, yule Mzee tapeli wa kisiasa.,
Hili la Lowassa naomba usinikumbushe litaniumiza kwasababu nili invest sana kwenye ushauri wa bure na matokeo nikuyakumbuka naumia mpaka kesho,
  1. Licha ya kumsupport Lowassa nilitoa angalizo hili Elections 2015 - Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni...
  2. Mchakato wa CCM ulipoanza, nikapenyeshewa hii Elections 2015 - Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!
  3. Na kweli Lowassa alichinjiwa baharini, baada ya kuchinjwa kwanza nilishauri Elections 2015 - Ushauri wa Bure Kwa Lowassa: Kwa Vile ni Magufuli, Kubali Matokeo, Vunja Kambi, Jisalimishe!
  4. Kisha nikauliza Elections 2015 - Kukatwa kwa Lowassa, ni mwisho wa ile safari, au ni mwanzo wa Safari Halisi ya Matumaini? hivyo hapa ukisema niliwaingiza mkenge Chadema, hapa you would be right. I was very genuine when writing that ila it's very unfortunately Mungu aliisha panga.
  5. Baada ya uchaguzi nimewashauri ENL, CHADEMA na UKAWA, Tuyakubali Matokeo!, Tushukuru Kwa Yote!, Life Goes On!.
  6. Hivyo uamuzi wa Chadema kumchukua Lowassa was the best of the best kwa wakati huo Chadema had no one compared!. Hata 2025 Chadema has no one kushindana na mgombea wa CCM, hivyo rais wa 2025 ni mgombea wa CCM!.
Huu ushauri unaowapa wapinzani ungeutumia ww
Kuna baadhi ya ushauri mzuri nimewapa wapinzani, wakaufuata na ukawasaidia sana!.
Mfano
  1. Lissu ni mdogo wangu, nimemtangulia vidato pale Ilboru, ni mimi ndiye niliye mshauri Lissu agombee Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli! na labda hata zile pyu pyu ni ili kuzuia asigombee!.
  2. Akiwa ubelgiji Lissu aligoma kurudi bila kuhaikishiwa usalama wake na Siro, ni mimi tena niliye mshauri Lissu arudi Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home! lisu akapokea ushauri akakubali kurudi
  3. Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!. ushauri huu umefutwa wamewasilisha hoja mezani, wamesikilizwa sasa nao wanalamba asali!
  4. Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe! Chadema walifuata ushauri huu na kuepusha shari
  5. Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA inakaribia kufa, hii ndio njia yenu pekee ya kujinasua Chadema imefuata ushauri huu
  6. Ushauri wa Bure: Ukijikwaa ukaanguka, usiangalie tu pale ulipoangukia, bali angalia pale ulipojikwaa ushauri huu sasa unafatwa
  7. CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao Chadema wamekubali matokeo sasa wana survive
  8. ENL, CHADEMA na UKAWA, Tuyakubali Matokeo!, Tushukuru Kwa Yote!, Life Goes On!. ushauri huu ulifuatwa
  9. Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto? ushauri huu unafuatwa sasa Chadema sio Chadema susa susa au Chadema zira zira, sasa ni Chadema kazi kazi huku kazi iendelee
  10. Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...! ilikuwa Chadema wachukue nchi, kwa kupuuza ushauri huu, Chadema inaendelea kupiga mark time!.
P
 
2025 ushindi kwa wapinzani uko wazi sana wakiweka nguvu kidogo ila sio kwa CHADEMA hii ya mbowe .Tundu lissu akisimama yeye na Pm Majaliwa wakipata support kutoka kwa kina Heche , Bashiru ushindi uhakika .
 
Kuiondoa CCM madarakani kwa hii nchi ambayo viongozi wa upinzani kila leo wapo mjengoni kupiga picha na Mheshimiwa siyo rahisi.

Pengine kije kizazi kingine cha wapinzani ila hiki cha akina Mbowe hakiwezi kuiondoa CCM.

By the way tuko bize na Eliona Kimaro hukooo
 
Mwaka 2016 mpaka 2020 Tanzania iligubikwa na makelele ya Tundu Lisu aloyejiona yeye tu ndiyo mwenye haki ya kumshauri rais wa nchi wa wakati huo na ni lazima ushauri wake ufuatwe!
Hata hivyo hayati Magufuli alisimama imara na kupuuza makelele yote ya wakala wa mabeberu Tundu Lisu.

Kama hayati raisi Magufuli asingekuwa imara na akasikiliza makelele ya Lisu, haya hapa yangetokea Tanzania.

1. Tanzania tusingekuwa na bwawa la kufua umeme ambalo ni moja ya mabwawa makubwa barani Afrika. Urefu wa bwawa la Nyerere ni km100 yani sawa na urefu wa kutoka Dar mpaka Chalinze.
Tundu Lisu kwa kutumiwa na mbabeberu kwa ahadi ya kumlisha yeye na familia yake pamoja na kumpa hifadhi Ubelgiji alipinga sana ujenzi wa bwawa hili kwa kisingizio kwamba litasababisha uharibifu wa mazingira na mvua hazitanyesha tena Tanzania!. Leo mwaka 2023 bwawa linajazwa maji na Tanzania imegubikwa na mafuriko kila sehemu kwani mvua zinanyesha sana kinyume na utabiri wa Tundu Lisu.

2. Tanzania isingekuwa na ujenzi wa SGR .
Tundu Lisu alipinga sana ujenzi wa reli hii ya umeme na yenye kasi zaidi Afrika yote.

3. Serikali isingehamia Dodoma.
Tundu Lisu na Mbowe walipinga sana serikali kuhamia Dodoma wakisema huko ni kutesa watumishi na kwamba serikali ibaki tu Dares salaam kwa ndoto za mwl Nyerere zimepotwa na wakati. Hayati Magufuli aliziba masikio na leo serikali yote ipo Dodoma.

4. Kampuni ya madini ya Acacia ingekuwepo.
Licha ya kwamba Lisu amesoma kwa kodi za watanzania lakini aligeuka kuwa mwanasheria wa Acacia na akasema ataisaidia kutushitaki MIGA ,kama tukiendelea kuwadai hela za wizi wa makinikia. Hayati Magufuli aliendelea mbele hadi kampuni ya Acacia ikafutwa na kuzaliwa kampuni mpya ya Twiga ambayo watanzania wapo kwenye management na Tanzania yakafunguliwa masoko ya madini kila sehemu, na watanzania wakanufaika na madini yao.

5. Kenya na India zingeendelea kuongoza kwenye uuzaji wa madini ya Tanzanite .
Kutokana na ukweli madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania tu. Hayati Magufuli alichukua hatua kali sana za kudhibiti madini ya Tanzanite ikiwemo kujenga ukuta wa kuzunguka mgodi huo, hatua hizo zilipingwa mno na Lisu na akaita ni udikteta mkubwa kufanya hivyo
 
Hunaga jipya bro, vinginevyo ungeanzisha chama upate hiyo nafasi. Ww ni motivational speaker fulani ambaye huna achievement yoyote unayoweza kuonyesha. Mtu mjinga tu ndio anaweza kufuata ushauri wako. Ww ni mmoja ya waliowaingiza mkenge CDM wamchukue Lowassa, yule Mzee tapeli wa kisiasa

Huu ushauri unaowapa wapinzani ungeutumia ww na waandishi wenzako wa habari, ili mpambane na sheria mbaya za vyombo vya habari.
 
Msanii unasema Chadema wajaribu 2030, kwamba 2025 it's too late for them, unajua kucheza kama Pele, simply unataka Chadema wamuache mama, ili mama nae "akuzingatie" wewe...

Kama unavyosema Samia ataleta Katiba Mpya, Tume Huru, kabla ya 2025, una hakika? umeitoa wapi hii confidence.. naona sasa unataka nikuite chawa!..

Ajabu unasema Chadema haijajipanga, kwani CCM wao wamejipanga kwenye lipi? mbona kila wakati wana mbinu zile zile haramu zinazowapeleka ikulu wakati wa election?

Naamini hawa huwa huwaoni kwasababu ulishatangaza kujiunga nao, wewe sasa kazi yako ni kutupa mawe upande wa pili, huku ukitafuta sababu nyepesi za kuwaliwaza, kama Heche akiwa mwenyekiti Chadema itaenda ikulu.!!
 
Pascal Mayalla I don't think especially when considering your supposed wisdom you would advice the opposition to wait until 2030. I always see conflict between what you know and what you believe. Even if there's a reason to discourage the opposition from contesting in the next polls, that's mainly for your personal motives and not for the good of the people.
 
Pascal Mayalla I don't think especially when considering your supposed wisdom you would advice the opposition to wait until 2030. I always see conflict between what you know and what you believe. Even if there's a reason to discourage the opposition from contesting in the next polls, that's mainly for your personal motives and not for the good of the people.
Mkuu fazili , sijamaanisha Chadema wasigombee urais 2025 no!, vision na focus iwe kwenye ubunge na sio urais!. Mfano 2025 mgombea urais wa Chadema atakuwa ni Freeman Mbowe (for a very good reason), mgombea. Mwenza ni Salum Mwalimu Lissu, Lema, Wenje, Bulaya, wakayagomboe majimbo waliopoteza kwa figusu, japo Samia sio mtu wa figusu, lakini ukiisha zoea vya kunyonga, vya kuchinja huviwezi, hivyo kuna figisu fulani ni CCM kama chama, kitamlazimisha Samia aziridhie atake asitake kwasababu https://www.jamiiforums.com/threads...ishindwa-ndio-itakufa-jumla-itakubali.777548/ hivyo opposition ijikite kwenye kukomboa majimbo, Zitto, Mnyika, Sugu and the like warudi Bungeni.
Kwa urais it's too little too late!.
P
 
Mkuu fazili , sijamaanisha Chadema wasigombee urais 2025 no!, vision na focus iwe kwenye ubunge na sio urais!. Mfano 2025 mgombea urais wa Chadema atakuwa ni Freeman Mbowe (for a very good reason), mgombea. Mwenza ni Salum Mwalimu Lissu, Lema, Wenje, Bulaya, wakayagomboe majimbo waliopoteza kwa figusu, japo Samia sio mtu wa figusu, lakini ukiisha zoea vya kunyonga, vya kuchinja huviwezi, hivyo kuna figisu fulani ni CCM kama chama, kitamlazimisha Samia aziridhie atake asitake kwasababu https://www.jamiiforums.com/threads...ishindwa-ndio-itakufa-jumla-itakubali.777548/ hivyo opposition ijikite kwenye kukomboa majimbo, Zitto, Mnyika, Sugu and the like warudi Bungeni.
Kwa urais it's too little too late!.
P
Narudia tena mkuu , 2025 tunakwenda kuchukua hii nchi ...kizuri ni kuwa hata chadema, TISS, polisi na ccm hawataamini kitakacho tokea kwenye huo ushindi . .. itakuwa kama ndoto vile , kumbe ndo ukweli wenyewe... Hiyo 2030 ni zubaisha bwege tu mkuu ...hakuna kipindi rahisi kuichukua hii nchi kama 2025 ...kwn ccm bado wako kwenye ulevi wa kimadaraka na wasijue mambo yamebadilika ...

Huku chadema ikiingia kwa nguvu kubwa ambayo haipata tokea tangia mfumo wa vyama vingi urejee 1992 ... Kile kimbunga Cha 2015 kinakwenda kujirudia 2025 ..ila safari hii itakuwa tofauti kidogo, kwn 2015 chadema ilijiamini mnoo kuwa inachukua nchi bila kikwazo chochote ... 2025 ccm wataingia na mazoea Yale yale kuwa ushindi ni lazima kumbe zilonga mbali na zitendwa mbali...2025 goli liko wazi kweli kweli.. tushindwe wenyewe tu
 
Hivi nani kawambia 2025 Pana Uchaguzi?

Nani ana HAKIKA Katiba mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA itakamilika b4 2025?

Nani ana HAKIKA SHERIA za uchaguzi zinaweza badilishwa kuruhusu matokeo ya Urais kuhojiwa mahakamani?

Nani ana HAKIKA utafanyika uchaguzi ikiwa CHADEMA na vyama kinzani vitaungana na kugomea Uchaguzi Kwa kutobadilika SHERIA kandamizi za uchaguzi na kupata uungwaji mkono Kutoka wananchi na mataifa ya magharibi?

Tufikiri pia nje ya Box, huu ni msimu mpya na majira mapya 2023.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, nakuja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", leo nazungumzia kitu kinachoitwa the Political Vision, Focus na Targets.

Moja ya matatizo makubwa ya siasa zetu ni ukosefu wa clear vision, na hii sio kwa opposition tuu pekee wa Tanzania, hata chama tawala na serikali yetu nayo sometimes inakosa vision ndio maana Tanzania kama nchi tunashindwa kuwa na clear vision na hivyo kushindwa kupanga vipaumbele vyetu. https://www.jamiiforums.com/threads...-aibu-na-hatari-kupikia-kuni-na-mkaa.1966529/

Hivyo tukija kwenye siasa zetu ndio kabisa!, besides siasa za figisu, sheria mbovu za uchaguzi, Tume isiyo Shirikishi ya Uchaguzi na ushindani usio sawa kwenye uwanja tenge, lack of focus ni tatizo kubwa zaidi kwenye siasa zetu kuliko matatizo hayo mengine yote.

Mikutano ya siasa imeruhusiwa, Samia atabadili sheria za uchaguzi, ataruhusu hadi wagombea binafsi, atarekebisha Tume ya Uchaguzi kwa kuunda Tume Huru na Shirikishi, ataleta katiba mpya, lakini bado ni CCM ndio itaendelea kushinda na kutawala Tanzania, kwa kipindi kirefu kijacho and probably milele.

Kwasababu bado hatuna any serious and credible opposition to checks out CCM!. Watu wanamatumaini sana na Chadema, lakini amini usiamini, Chadema kwa hivi ilivyo, ni hakuna kitu pale!, labda ibadilike, kule juu iingie mijitu bold kama Heche. https://www.jamiiforums.com/threads...us-credible-mature-enough-opposition.1249668/

Nimesema hatuna any serious and credible opposition kwasababu upinzani uliopo ni myopic, una short distance vision ya siasa za leo, hawana good vision ya kuona mbali kuwa wanataka nini kesho, wanakwenda wapi na watafikaje, hivyo kukosa a clear vision of its target, na kukosa clear focus hivyo kushindwa ku focus and eventually end up missing the target. https://www.jamiiforums.com/threads...he-target-adui-mkubwa-sio-ccm-bali-ni.310532/

Nakiri kuwa inspired kupandisha bandiko hili https://www.jamiiforums.com/threads...za-nchi-hii-ngumu-sana.2057792/#post-45011402 toka kwa hoja ya mwana JF huyu

Naunga mkono hoja, kweli Chadema ni moto wa kuotea mbali, tatizo lake haijajipanga na haijipangi. https://www.jamiiforums.com/threads...angi-na-hamtajipanga-2015-ni-ccm-tena.624364/ Forget about 2025, the time is too little too late. The focus should be 2030.

Politics is a science of politics, political science, therefore it follows scientific theories and proofs, hivyo kwa political dynamics ya siasa zetu, kwa sasa hapa tulipo hadi 2025, bado hatuna chama chochote kingine cha siasa cha kuitikisha CCM kwenye urais.

Kwa vile uchaguzi Mkuu mwingine ni 2025, baada ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya siasa, naona vyama uchwala vinakurupuka kwa mikutano ya hadhara to focus on uchaguzi wa 2025 only, that is lack of clear focus na clear vision, hivyo they are myopic.

2025 is a bit too close, too near, hivyo vyama vina too little time too late to do a worthwhile thing!. The focus kwenye urais should be 2030!. 2025 they should focus on ubunge only.

Nimeona Chadema wanakwenda kuanzia Kanda ya Ziwa, hii ni Kanda determinant ya nani anakuwa rais wa Tanzania, hivyo chaguo la JPM kuwa mgombea wa CCM ile 2015 was not bahati nasibu na wala sio JPM aliingia kwa ku beep!. It was a premeditated move na ni mimi niliisema humu ile 2014.

Kwa vile JPM alitoka Kanda ya Ziwa, then PM kutoka pengine popote was possible, lakini kwa 2025, kwa vile rais sio kutokea Kanda determinant ya Ziwa, then piga ua galagaza the next PM ni lazima atoke Kanda ya Ziwa!. Kubali kataa!.

Sasa uchaguzi wa rais wa 2030 ndio fursa nyingine kwa opposition, kama ile fursa ya 2015 ambayo Chadema walikuwa nayo, but for being myopic na lack of focus, they missed the target.

Fursa ya 2030 kwa opposition, mimi niliizungumza toka February 2018 https://www.jamiiforums.com/threads...ga-karibu-wote-watakuwa-wamemalizika.1401652/ https://www.jamiiforums.com/threads...ga-karibu-wote-watakuwa-wamemalizika.1401652/ 12 years before.
The the opposition wetu, will they be ready to take up the challenge
Paskali.
Muda wa Kampeni bado.
 
Back
Top Bottom