Zitto Nani Akuuwe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto Nani Akuuwe?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ELNIN0, Dec 23, 2010.

 1. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Wakubwa,

  Jana kwenye taarifa ya habari TBC1 nikamsikia Manumba akitamka kuhusu habari kwamba Zitto kutishiwa kuuawa, mimi sikubaliani kabisa kwamba hivi nani amuue zitto? kwa lipi hasa?

  Binafsi naona watu wanataka kuzidi kumpandisha chati kwa sababu zao binafsi, Tanzania hatuna utamaduni wa kuuwana, walikuwapo viongozi waadilifu sana na hayakuwapata haya iweje leo wewe zitto watu wakutoe roho kwa lipi hasa?

  Sababu imetangazwa si jambo la kubeza tena, tujadili tuone kweli hivi kuna njama za kumtoa roho au propadanda za kisiasa tu?

  Sisi watanzania tuna matatizo yetu na wala hili za Zitto naona halina umuhimu kwa sasa haya magazeti yanalikuza tu bila sababu ya msingi,hebu tumalize hili la umeme na katiba yetu tafadhali.
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Akina Zoka hao, wameona kumetulia, wanalianzisha tena, mwenyewe zito kagoma kuongea na vyombo vya habari, kwani kila atakaloongea linakuwa ni uchochozi........, kaa kimya kama mkapa
   
 3. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Huyo mamumba mbona hajazungumzia la mbuge wa CCm Mvomero? tena liliandikwa na gazeti la CCM?
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Israeli malaika mtoa roho
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  Kaka umeuliza swali lako kama vile hauamini au haiwezi ikatokea mafia wakafanya vitu vyao

  At a glance CCM they may be planning this to confuse chadema. Politically CCM wanaweza wakamuua (kwani wana shida gani) na wakawasingizia akina Mbowe na Slaa na chama kuyumba, it happened kwa chacha mkuu! Zitto swala la kuuawa halijaanza leo, ajali ya Mbatia inahisiwa alikuwa anatafutwa Zitto! Kwani yale maziwa ya sumu aliyokunywa mwanza enzi za Chifupa si alikuwa anatafutwa yeye?

  Unasema CCM huwa hawaui, kama waliweza kumuaa muasisi wa chama chao washindwe kwa Zitto? wanaopanga ni wenyewe na wanaosema ni wenyewe iki-leak ndiyo tunaanza kutafutana. Ukiwa kwenye game utajua kuwa si ajabu! ila ukiwa kwenye keyboard na kuona wavaa suti kwenye magari ya voyoyozi basi utaona kabisa kuwa wote ni wacha Mungu!

  CCM iko pabaya sana ndani na kwa medani ya kimataifa na CDM ni threat kwao, politically YES it is possible, kidini is impossible, kibinadamu is impossible, kama uko kidini na kibinadamu halikuingii akilini, kama unaamini CCM ni system, ni mafia then is possible next victim might be YOU!
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  tishio la kuuwawa kwa raia halitakiwi kupuuzwa na hasa kama Zitto ameweza kuthibitisha vitisho hivyo,kama vile sms, kupigiwa simu, kuandikiwa email, kuandikiwa barua nk.
   
 7. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wakuadi hao hawapendi kuiona CDM ikiwa imetulia maana wanajua 2015 ni mwaka wao sasa wanafanya kila hila ili kusiwe na maelewano chadema...Tumeshawasoma hawatafanikiwa hata kidogo....Bora Muheshimiwa Zitto ulinyamaza Kimya....Kwa mtazamo wangu sioni kwamba Zitto ana kitu chochote kinachoweza kumfanya auwawe...Kwa lipi?? Na kwa faida ya nani?...Na huyu muuaji nani? Ili afungwe kama muhaini!!!!!!!!!! hii ni hatari sana kushabikia hizi kauli....Kama kunawatu wauaji wanajulikana kwa nini wasikamatwe na kushtakiwa????????????? Tafadhali nyote ambao hampendi amani ya nchi nendeni kaburini wenyewe..MSHINDWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
   
 8. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  its posible, nawanaotaka kumuua ni hao hao rafiki zake akina zoka na kikwete.
   
 9. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Waberoya!
  Zitto's mouthpiece! :embarrassed::embarrassed::embarrassed:
   
 10. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  KIRAKA nakubaliana na wewe umeleta hoja ya ukweli! Si sisi aim wanaweza kumuua wakasema ni CDM kweli........................
   
 11. M

  Mkorosai Member

  #11
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...............Well said Mkuu!!
  Kama Kachero wetu Mkuu amethibitisha njama za kumuua Zitto halafu asiwakamate hao wanaopanga kumuua, basi vyombo vya serikali vitakuwa ndivyo vinapanga kumuua ili kuidhofisha CHADEMA na kuleta mikanganyiko ndani ya chama hicho. Kuweni makini wanachadema, hawa CCM bado wanatafuta nafasi ya kuua na kupata nani wa kumsingizia! Jihadharini na huyo Israel anayetaka kuwamaliza.

  Manumba anatakiwa achukue hatua awakamate hao wanaopanga kuua vinginevyo damu ya Zitto au kiongozi yeyote wa CHADEMA itakuwa juu yake yeye, Zoka, Saidi Mwema na Kikwete!
   
 12. Double X

  Double X Senior Member

  #12
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watz hatuna desturi za kuuwana, kama ingekuwepo kuna viongozi kibao wameshamess-up wangekuwa wameshatolewa roho zao siku nyingi ndio iwe wewe zito??? madudu unayoyafanya hayana athari yoyote zaidi ya wewe mwenyewe kujidhalilisha. majuzi hapa umeumwa tumbo la kawaida tuu unaanza kudai umewekewa sumu, nani akuuwe na kwa lipi hasa???hakuna anaekuwazia kukuuwa hata kidogo, acha propaganda bwana, umeshalikoroga unatafuta sehemu ya kujishikili, endelea na kina zoka na RA hakuna mwenye shuguli na wewe bwana.
   
 13. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  YES YOU ARE RIGHT MZEE

  Zitto knows too much already, na bahati mbaya mambo yameshaharibika katikati ya safari ya kufanya kazi zao kwahiyo safari kuendlea haiwezekani na kuendelea kumbeba ni mzigo ambao hauna manufaa kw ahao marafiki.. so u can understand how the next victim he is...

  HATE THE GAME...NOT A PLAYER ZITTO!
   
 14. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  nakubaliana na nyie kwamba CCM ni mafia, lakini hawahitaji kumuua zitto eti kuisambaratisha CHADEMA, wakitaka wanaweza kuisambaratisha kwa njia nyingine - na si kweli wakimuua Zitto eti ndiyo tiketi ya kuiua CHADEMA - Never!!

  Unaweza kumtoa roho kiongozi yeyote wa juu kabisa wa CHADEMA ila kukiua CHAMA kwa njia hiyo hakuna. Bado nasisitiza Kanumba na magazeti wanampaisha Zitto bila sababu, hakuna kumwonea huruma yeye amalize na matatizo yake ndani ya chama chake aliyoyakoroga mwenyewe.
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  sometimes you speak like a real smart boy
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  Dear wakimuua leo hii Zito, story za Dowans, radar,takukuru, hata katiba..,mahakama ya kadhi...., Tanzania-Iran affair......zitazikwa
  who knows?
   
 17. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hafu huyo mamnumba si ndo yule alienda kwenye mzozo wa wafuas wa ccm na cdm maswa?

  mbona ana-deal na ishu ndogondogo sana?

  kwani description ya kazi yake ni gani?
   
 18. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #18
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  you too sometimes you understand like sincere boy
   
 19. Mwenzetu

  Mwenzetu JF-Expert Member

  #19
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 500
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  ..............Nakubaliana nawe Mbu Sugu, ni wakati muafaka wa jeshi la polisi kuwajibika sasa. Swala la kutishiwa kifo si mchezo jamani
   
 20. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #20
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwahiyo unataka tuamini kwamba zitto ndiye ameshikilia mijadala ya dowans, radar, takukuru na katiba?

  Hata kama unajivika joho la msemaji wa zitto huo ni uwongo uliokomaa na kutafuta kumjaza misifa ya kijinga rafiki yako na kuwahadaa watu.

  Tafuta jingine, kwani hata hivyo zitto kafanya nini cha maana zaidi ya kuitetea dowans? kamanda punguza mahaba kwa zitto, unapaofuka hivi hivi.
   
Loading...