The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
kaka umeuliza swali lako kama vile hauamini au haiwezi ikatokea mafia wakafanya vitu vyao
at a glance ccm they may be planning this to confuse chadema. Politically ccm wanaweza wakamuua (kwani wana shida gani) na wakawasingizia akina mbowe na slaa na chama kuyumba, it happened kwa chacha mkuu! Zitto swala la kuuawa halijaanza leo, ajali ya mbatia inahisiwa alikuwa anatafutwa zitto! Kwani yale maziwa ya sumu aliyokunywa mwanza enzi za chifupa si alikuwa anatafutwa yeye?
Unasema ccm huwa hawaui, kama waliweza kumuaa muasisi wa chama chao washindwe kwa zitto? Wanaopanga ni wenyewe na wanaosema ni wenyewe iki-leak ndiyo tunaanza kutafutana. Ukiwa kwenye game utajua kuwa si ajabu! Ila ukiwa kwenye keyboard na kuona wavaa suti kwenye magari ya voyoyozi basi utaona kabisa kuwa wote ni wacha mungu!
Ccm iko pabaya sana ndani na kwa medani ya kimataifa na cdm ni threat kwao, politically yes it is possible, kidini is impossible, kibinadamu is impossible, kama uko kidini na kibinadamu halikuingii akilini, kama unaamini ccm ni system, ni mafia then is possible next victim might be you!
waberoya umenikumbusha issue ya kolimba hapo ndio naona ccm haina urafiki na mtu bali ni urafiki wa kinafiki ambao it will lead you to death au politically meltdown ya huyo mtu, maana kwa sasa naona pia wanamtafuta sitta wamuweke kwenye 60 degree angle halafu wammalize kabisa