Huu yamkini ni ushahidi tosha kuwa ile kesi jamaa walibambikwa tu,wakuu wanajua na walikuwa kimya maana yamkini aliyembambika alikuwa mkuu mwenzao,wamekuwa wanaumia mioyoni,maana km kweli alitenda unyama ule kwa watoto aisee alipaswa siyo kufungwa ni kunyongwa,mnasameheje mbakaji,anachoongea zitto wenye akili ndogo hawawezi kujua anamaanisha mini,hilo ni dongo kwa double standard ya matendo ya serikali na ni kuwaambia waache udhalimu,unauaminisha umma kuwa jamaa mbakaji sugu unamfunga halafu unakuja kumuachia mbakaji