mij
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 1,993
- 2,127
Nakama hawakubakwa ni busara wakamuombe babu seya msamaha tena kupitia vyombo vya habari
Sawa kabisa mkuu.
Nakama hawakubakwa ni busara wakamuombe babu seya msamaha tena kupitia vyombo vya habari
Kwani huyo Zito yeye aliwaona kipindi wanabaka, inawezekanaje familia nzima wawe wabakaji, ina maana familia yote wanafanana tabia na hakuna hata mwenye busara.
Yeye apambane na hali ya chama chake na aache kudandia matukio.
Angetumia Katiba ile ile kwa Vyama vya Siasa kufanya Mikutano ya hadhara na maandamano ya amani.
Hilo neno ni hekimaHaya mambo magumu sana, Upande wa familia za waathirika yaani kwa watoto na ndugu, Upande wa siasa na uhalisia, Pengine kuna mambo nyuma ya pazia, Lakini muda ni wakati ukweli utaonekana ,"tusubiri ukweli "
Mbona kuna waliohukumiwa kunyongwa na waliokutwa na kesi ya mauaji huwaongelei. Kwani waliosamehewa ni wafungwa wawili tu?Ni Tanzania pekee A convicted paedophile anatukuzwa na kufanywa mtaji wa kisiasa.
Hawa jamaa sijui wakoje. Walizungusha mikono mwezi mzima ili Lowasa awe rais na aweze kutekeleza ahadi yake ya kuwaachia akina Babu Seya. Leo Magufuli kawaachia imekuwa nongwa tena, ha ha ha.Jaribuni kuanzisha mada zenu mnatuchosha. Kwa maneno kama yenu ya kimbeya mnahitaji mikutano gani tena. Hoja hamna. Humu mna ukumbi mkubwa matusi tu na kudandia hoja so ingekuwa mikutano. Afu by the way Mbona wabunge ruksa. Mkapange ya kwenu
Rais hakuwafikiria waathirika yaani kwa watoto na ndugu waliokuwa majeruhi na ulawiti huu. Tena ni watanzania na wataathirika kisaikolojia kwa maisha yao yote! Na inawezekana walimpigia kura ya kumfanya awe rais. Kaona ni bora awachie watu wawili wabakaji waliokutwa na hatia na mahakama zote. Tena wakongo warudi mtaani sababu ni wapiga magita na wamesifia! Uamuzi mbaya sana na siyo wa haki!
Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameonekana kutofurahishwa na uamuzi wa Rais Magufuli kusamehe wafungwa ambao ni wanamuziki mashuhuri, Nguza Viking (Babu Seya) na mwanaye 'Papii Kocha'.
Tangu utangazwe msamaha huo, Zitto amekuwa akiandika na kutoa kauli zinazoonesha kupingana na jambo hilo licha ya Rais kuwa na mamlaka kikatiba kumsamehe mfungwa yeyote akiona inafaa..
Miongoni mwa kauli zake huko Twitter;
"I have read judgement that convicted Babu Seya and son. And judgements at the high court appeal, appeal at court of appeal and petition at African Court. I am appalled by decision to pardon convicted rapists. Devastated by statements to congratulate such a decision" ZZk.
"Waliozomea na kuzodoa ahadi ile walikuwa sahihi. Wanaomzomea Rais kwa kutoa msamaha wapo sahihi pia. Hakuna sababu kuzodoana. Tukemee wabakaji kusamehewa kiholela" ZZK.
haya umesikika kiongozi mkuu, mwenyekiti, katibu mkuu, mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na fedha, katibu wa itikadi na uenezi na mwanachama pekee wa EISITII-WazalendoMbunge wa Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameonekana kutofurahishwa na uamuzi wa Rais Magufuli kusamehe wafungwa ambao ni wanamuziki mashuhuri, Nguza Viking (Babu Seya) na mwanaye 'Papii Kocha'.