Zitto Kabwe: Tukemee wabakaji kusamehewa kiholela

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,055
Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameonekana kutofurahishwa na uamuzi wa Rais Magufuli kusamehe wafungwa ambao ni wanamuziki mashuhuri, Nguza Viking (Babu Seya) na mwanaye 'Papii Kocha'.

Tangu utangazwe msamaha huo, Zitto amekuwa akiandika na kutoa kauli zinazoonesha kupingana na jambo hilo licha ya Rais kuwa na mamlaka kikatiba kumsamehe mfungwa yeyote akiona inafaa..

Miongoni mwa kauli zake huko Twitter;

"I have read judgement that convicted Babu Seya and son. And judgements at the high court appeal, appeal at court of appeal and petition at African Court. I am appalled by decision to pardon convicted rapists. Devastated by statements to congratulate such a decision" ZZk.

"Waliozomea na kuzodoa ahadi ile walikuwa sahihi. Wanaomzomea Rais kwa kutoa msamaha wapo sahihi pia. Hakuna sababu kuzodoana. Tukemee wabakaji kusamehewa kiholela" ZZK.
 
Huyu Zito huwa ana uchu wa madaraka sana.
kipindi mkuu ana ziara kigoma huyu jamaa alikuwa akimuunga mkono ili tu ateuliwe kuwa waziri wa nishati.
Tangu waziri ateuliwa, huyu zitto kageuka tena kumpinga Rais.
hana jipya ni mpuuzi tu kama walivyo UVCCM na Humph P
 
Haya mambo magumu sana, Upande wa familia za waathirika yaani kwa watoto na ndugu, Upande wa siasa na uhalisia, Pengine kuna mambo nyuma ya pazia, Lakini muda ni wakati ukweli utaonekana ,"tusubiri ukweli "
LIFE GO ZONE.
 
Back
Top Bottom