Zitto Kabwe: Tukemee wabakaji kusamehewa kiholela

apambane na Hali ya chama chake ndo kinakufa hivi,
kweli ni ujinga kutaka kuunga mkono, hawa wabakaji, Baada ya kuona ushahidi Mahakama zote hapa nchini, Mahakama ya Afrika Mashariki na Hata Mahakama ya Africa, zimekubali kuwa Hukumu iliyotolewa ni stahiki.

Sasa sijui Ndugu, kati ya hao watoto, sijui mmoja wao angekuwa mwanao, mdogo wako au Mpwa wako, leo ungejionaje. Mbona hatuulizii hali ya wale watoto ama leo wanajisikiaje kusikia Mbakaji aliye wahariba maisha yuko huru , tena anasherehekewa na watu kama wewe.
 
Mkuu mahakama zote zinisingizie mimi tu?unajua hii kesi imepitia mahakama ngapi?Au ushabiki wa dansi unakusumbua?Kwa hiyo hawa wazazi wameambiwa na huyo mnayemdhani wafanya hii conspiracy?

Kwanza pole maana naona umepanic, naijua hiyo kesi kuliko unavofikiria napengine nikaijua Kuliko hata wewe nakuhusu kujua mahakama ngapi kesi hii imepitia mahakamani ndiko ninakoshinda ila namimi huo ndo mtazamo wangu, nakama unafikiri kesi kupita mahakama zote na zikawa na masmuzi ya nayo fanana ndio uhalisia basi pole sana na karibu duniani hakuna linalo shindikana chini ya jua kumbuka kesi yoyote ni ushahidi,

Sijawahi kuwa shabiki wa dans ila ukinitu utabarikiwa kwakuwa utakuwa umeniongezea kitu kipya
 
Mpk sasa najiuliza umuhimu wa babu seya,kiasi kwamba alikua ajenda/ahadi ya mgombea Fulani,kwamba akishinda atamuachia huru (alibezwa sana hawa zaidi na upande wa Pili) lkn upande ule ule uliobeza ahadi ile ya mgombea yule Leo wanajivunia babu seya kuachiwa huru na mh Rais

Ukiangalia aina ya watu walio fanya kama ajenda kukamatwa kwa Babu Seya utagundua vitu vitatu

Moja : Babu Seya alionewa

Mbili : Babu Seya alionewa hivyo
ikafanywa ajenda yakum
komoa muoneaji.
Tatu : Hakuonewa walitaka kura
kutoka kwa wanamichezo
na wasanii.
 
Asee najiuliza tena kutoka na majibu yako
1..alionewa na nani?kwann aonewe
2..OK walitaka na sasa kakomolewa (muoneaji)
3.kwa kumuacha sasa itakua lengo limetimia?
Ahsante mkuu kwa kunipa mwanga nakujiuliza hayo..
 
Moja : Babu Seya alionewa wa
watu wakata kiki kupitia
matatizo yake.

Mbili : Babu Seya alionewa hivyo
ikafanywa ajenda yakum
komoa muoneaji.
Tatu : Hakuonewa walitaka kura
kutoka kwa wanamichezo
na wasanii.
 
Asee najiuliza tena kutoka na majibu yako
1..alionewa na nani?kwann aonewe
2..OK walitaka na sasa kakomolewa (muoneaji)
3.kwa kumuacha sasa itakua lengo limetimia?
Ahsante mkuu kwa kunipa mwanga nakujiuliza hayo..

Kuna wakati unaweza pigwa risasi na polisi.

Wananchi wakiuliza sababu yakupigwa wewe risasi jibu ni rahisi.
Ulikuwa unajihusisha na ugaidi vielelezo vinatolewa toka getoni kwako SMG,A47 sijui,gobole,Bomu la mkono,baruti.

Mbele ya kamera vinaoneshwa waandishi wanaandika wananchi wanabaki kutoamini.

Je kuna MTU aliwakagua askari walipokuja kukagua getoni kwako.

MKUU NAWAOGOPA WATU WASIOJULILANA YAISHEE.

YAWEZA KUWA WEWE NI MMOJA WAPO.
 
Kufurah ni haki yako.....lakini ukisema haiwezekani familia nzima kuwa wabakaji sinzani umetumia logic gani!?
Mie kwa upande wangu nimefurah kutoka babu seya haiwezekan familia nzima ikawa wabakaji
 
Kuna wakati unaweza pigwa risasi na polisi.

Wananchi wakiuliza sababu yakupigwa wewe risasi jibu ni rahisi.
Ulikuwa unajihusisha na ugaidi vielelezo vinatolewa toka getoni kwako SMG,A47 sijui,gobole,Bomu la mkono,baruti.

Mbele ya kamera vinaoneshwa waandishi wanaandika wananchi wanabaki kutoamini.

Je kuna MTU aliwakagua askari walipokuja kukagua getoni kwako.

MKUU NAWAOGOPA WATU WASIOJULILANA YAISHEE.

YAWEZA KUWA WEWE NI MMOJA WAPO.
Hahaha..nakuelewa ujue mkuu,sasa kwnn afanyiwe hujuma kubwa km hy?yy nani mpk aundiwe kitu km hiki ambacho hukumu yake ni km alipotezwa ,Ok ni ktk kujiuliza tu,but mie wakaida tu km kutojulikana basi ki JF JF ,km forums inavyopenda
 
Rais John Pombe Magufuli alisema, serikali yake haitaruhusu mwanafunzi yeyote atakayepata mimba kwa sababu yeyote ile kuendelea na masomo, na shule yeyote itakayomruhusu mwalimu mkuu wake ajihesabu hana kazi, lakini wakati huo huo anamsamehe mbakaji aliyesababisha mwanafunzi huyo kupata mimba.

Rationale iko wapi.

Je, huu ndio uzalendo unaohubiriwa?
 
Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameonekana kutofurahishwa na uamuzi wa Rais Magufuli kusamehe wafungwa ambao ni wanamuziki mashuhuri, Nguza Viking (Babu Seya) na mwanaye 'Papii Kocha'.

Tangu utangazwe msamaha huo, Zitto amekuwa akiandika na kutoa kauli zinazoonesha kupingana na jambo hilo licha ya Rais kuwa na mamlaka kikatiba kumsamehe mfungwa yeyote akiona inafaa..

Miongoni mwa kauli zake huko Twitter;

"I have read judgement that convicted Babu Seya and son. And judgements at the high court appeal, appeal at court of appeal and petition at African Court. I am appalled by decision to pardon convicted rapists. Devastated by statements to congratulate such a decision" ZZk.

"Waliozomea na kuzodoa ahadi ile walikuwa sahihi. Wanaomzomea Rais kwa kutoa msamaha wapo sahihi pia. Hakuna sababu kuzodoana. Tukemee wabakaji kusamehewa kiholela" ZZK.
Zitto wewe huna dhambi?!!!
 
Naungana na ZZk,nimefadhaika sana,Nyie mnao shangilia kama mna watoto,imagine leo mtoto wako atoke shule akuambie amebakwa na mwalimu utafanyaje?je akiwa amelawitiwa?afu mwalimu asifanywe kitu?

...ebu weka vizuri, sema mtoto amebakwa na familia ya mwalimu, yaani mwalimu awe na watoto wa kiume wote wakiwa pamoja waanze kubaka mtoto au watoto! Hata Sodoma na Gomora hakukuwa na scenario ya hivo!
 
Hivi hawa akina babu sea ni walikana uraia wao?au? Tunashangilia wa Congo waliobaka watoto wetu kuachiwa huru
 
Hiyo tabia yenu ya kufwata nyumanya kama fisi ndio inawaponza?! Hivi hamuwezagi jianzishia jambo lenu? Mpaka msubiri jambo aanzishe Mag ndio muanze kulijadili? Ina maana gani hiii kwenu?
Kukosoa ni lazima wewe, pia kujadili ni lazima; Mungu anakosolewa sembuse huyo mungu wenu?
 
Sheria inampa mamlaka Rais kama amejiliZisha kwamba Viza Viking Na papii kocha wanastahiri ndio mamlaka ya Rais Zitto nakuheshimu mchango wako ktk Taifa hhili hayo ndio mamlaka ya Rais wa Jamhuri wa nchi yetu Tanzania kwa hiyo afanyeje avunje katiba.FIKIRIô
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom