Kwa scenario yao kina Papii, Mtoto labda wewe umkumbushe!Naungana na ZZk,nimefadhaika sana,Nyie mnao shangilia kama mna watoto,imagine leo mtoto wako atoke shule akuambie amebakwa na mwalimu utafanyaje?je akiwa amelawitiwa?afu mwalimu asifanywe kitu?
Kama hajafuga mbwa ajiangalie yeye mwenyewe.Huyu zito nae hii tabia ya kupinga kila kitu cha mkulu inabidi nae akemewe.
Hivi wewe umezaliwa lini? Hujui Magufuli ni rais? Hujui kila neno na tendo lake lina impact kwa nchi na wananchi? Hujui kwamva yeye km rais anafuatiliwa kila siku kwa sababu maneno na matendo yake yana athari za moja kwa moja kwa kila mtanzania na kwa sera za nchi. Magufuli is not a private person, ni taasisi! Kumbe ulitaka tumjadili nani? Pumbavu! Kwanza yeye ndiye anaatract attention ya kujadiliwa kwa kupenda kwake kutafuta kiki zisizokuwa na msingi!Hiyo tabia yenu ya kufwata nyumanya kama fisi ndio inawaponza?! Hivi hamuwezagi jianzishia jambo lenu? Mpaka msubiri jambo aanzishe Mag ndio muanze kulijadili? Ina maana gani hiii kwenu?
hivi mkuu umeishia darasa la ngapi? sio kwa mwandiko huu utafikiri upo facebookZitto nawe ucha ungew mwenyewe haupo clean unamakosa kibao tu,wanadam wamebwa kusamehe,kafie mbele huko
upo sahihi lakini jee huyo mtoto atakuwa amelawitiwa na familia nzima kuanzia baba mpaka watotoNaungana na ZZk,nimefadhaika sana,Nyie mnao shangilia kama mna watoto,imagine leo mtoto wako atoke shule akuambie amebakwa na mwalimu utafanyaje?je akiwa amelawitiwa?afu mwalimu asifanywe kitu?
Sio familia nzimaMie kwa upande wangu nimefurah kutoka babu seya haiwezekan familia nzima ikawa wabakaji
Mkuu, umeandika ukiwa umelewa au..?? Kwani hujui Magu ndio raia namba 1..?? Kwani hujui CHOCHOTE anachofanya Magu ni story..?? Hata akitokea akaja.mba na watu wakasikia, tayari ni story..!!!Hiyo tabia yenu ya kufwata nyumanya kama fisi ndio inawaponza?! Hivi hamuwezagi jianzishia jambo lenu? Mpaka msubiri jambo aanzishe Mag ndio muanze kulijadili? Ina maana gani hiii kwenu?
Usifurahie tu kutolewa, chukia mfumo wetu wa utoaji haki, ni mfumo mbovu haijawahi kutokea, yaani yeyote bongo mwenye hela zake ana uwezo wa kukupoteza kabisa akiamua! Hii kesi inadhihirisha wanyonge wanavyofanyiwaga, hebu fikiria watu kama akina nguza wanafanyiwa hivi, je watu wakawaida inakuaje na ukute hawezi hata kutafuta wakili kama lissu au kibatala, hizi mahakama zetu ni miyeyusho sana, zinafanya kazi kwa mashinikizo ya wakubwa, nyambafu sana hii, mahakama zetu zinachangia sana kuvuruga amani yetu, kila baada ya muda ni huzuni, flani kahukumiwa, flani kaachiwa, hivi hawa ni grupu la watu au ni taasisi ya umma!? Ngoja tusubiri ya lulu8)Mie kwa upande wangu nimefurah kutoka babu seya haiwezekan familia nzima ikawa wabakaji
Tabia hurithiwa. Baba mbakaji watoto wana uwezekano wa kurithi tabia hizo by 90% this run in family like diabetes etc.Kwani huyo Zito yeye aliwaona kipindi wanabaka, inawezekanaje familia nzima wawe wabakaji, ina maana familia yote wanafanana tabia na hakuna hata mwenye busara.
Yeye apambane na hali ya chama chake na aache kudandia matukio.
hivi mkuu umeishia darasa la ngapi? sio kwa mwandiko huu utafikiri upo facebook
[emoji1] [emoji1] kabisa na wamekuwa kama kivuli mkuu.Hiyo tabia yenu ya kufwata nyumanya kama fisi ndio inawaponza?! Hivi hamuwezagi jianzishia jambo lenu? Mpaka msubiri jambo aanzishe Mag ndio muanze kulijadili? Ina maana gani hiii kwenu?
Mmh!! Kwa mara kwanza mfia chama kuja kitofauti ila hongera mkuu [emoji122][emoji122]Kwa hili Zitto ametokota sana.
Yaani wajitokeze waseme ni KWELI TULIFIRrWA?? SAHAU.Miaka 14 waliyokaa jela kama kuna watoto waliobakwa sasa watakuwa wamezidi miaka 18. Kama ni hivyo je haitakuwa jambo jema sasa wajitokeze watuambie kama kweli au magumashi? Maana sijawahi kumwona hata mmoja ambaye amejitokeza kusema Babu Seya na wanawe walimbaka. Maana huu ni wakati muafaka tuwaone ili tuwe na cha kuzungumza, vinginevyo kesi ilikuwa fake.