Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,911
Hahahahahaha CCM.Mmh!! Kwa mara kwanza mfia chama kuja kitofauti ila hongera mkuu [emoji122][emoji122]
Hahahahahaha CCM.Mmh!! Kwa mara kwanza mfia chama kuja kitofauti ila hongera mkuu [emoji122][emoji122]
zito pambana n hali ya chama chako kinakufa....uanishia kupiga makelele yasiyo na faidaMbunge wa Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameonekana kutofurahishwa na uamuzi wa Rais Magufuli kusamehe wafungwa ambao ni wanamuziki mashuhuri, Nguza Viking (Babu Seya) na mwanaye 'Papii Kocha'.
Tangu utangazwe msamaha huo, Zitto amekuwa akiandika na kutoa kauli zinazoonesha kupingana na jambo hilo licha ya Rais kuwa na mamlaka kikatiba kumsamehe mfungwa yeyote akiona inafaa..
Miongoni mwa kauli zake huko Twitter;
"I have read judgement that convicted Babu Seya and son. And judgements at the high court appeal, appeal at court of appeal and petition at African Court. I am appalled by decision to pardon convicted rapists. Devastated by statements to congratulate such a decision" ZZk.
"Waliozomea na kuzodoa ahadi ile walikuwa sahihi. Wanaomzomea Rais kwa kutoa msamaha wapo sahihi pia. Hakuna sababu kuzodoana. Tukemee wabakaji kusamehewa kiholela" ZZK.
Umekoment vizuri.......ila najaribu kutafuta comment yako katika Uzi wa tarehe 11/01/2017 uliopostiwa na technically wenye kichwa "he babu seya haweI kusamehewa?''Kwani huyo Zito yeye aliwaona kipindi wanabaka, inawezekanaje familia nzima wawe wabakaji, ina maana familia yote wanafanana tabia na hakuna hata mwenye busara.
Yeye apambane na hali ya chama chake na aache kudandia matukio.
Kwahiyo Mkuu ww itakuwa ni kushika tu??Kabisa sioni haja ya kutongoza na kuingia gharama
Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameonekana kutofurahishwa na uamuzi wa Rais Magufuli kusamehe wafungwa ambao ni wanamuziki mashuhuri, Nguza Viking (Babu Seya) na mwanaye 'Papii Kocha'.
Tangu utangazwe msamaha huo, Zitto amekuwa akiandika na kutoa kauli zinazoonesha kupingana na jambo hilo licha ya Rais kuwa na mamlaka kikatiba kumsamehe mfungwa yeyote akiona inafaa..
Miongoni mwa kauli zake huko Twitter;
"I have read judgement that convicted Babu Seya and son. And judgements at the high court appeal, appeal at court of appeal and petition at African Court. I am appalled by decision to pardon convicted rapists. Devastated by statements to congratulate such a decision" ZZk.
"Waliozomea na kuzodoa ahadi ile walikuwa sahihi. Wanaomzomea Rais kwa kutoa msamaha wapo sahihi pia. Hakuna sababu kuzodoana. Tukemee wabakaji kusamehewa kiholela" ZZK.
Tatizo analopata Zito ni kuwa, wale walokuwa wa karibu wake walikuwa mapandikizi chama cha majuha. Ushauri walokuwa wakimpa kumbe ulikuwa uchochezi. Kagombanishwa na wenzie katika mapambano, walokuwa wapambe wake walikuwa nuksi tupu na sasa karibu wote wesharudia magamba yao.Siwezi kumwamini Zito wa sasa.Zito alikuwa zamani.
JPM hakubakwa na hao kina babu seya, hiyo samehe 7*70 hai apply, laiti kama wale waathiriwa wangesema tumewasamehe hapo sawa. There is no place for sex predators and pedophiles in the society, they belong behind bars.Samehe mara 7 -70...mwisho wa siku muhukumu wa kweli ni Mungu mwenyewe.
Ukiniuliza adhabu ya mbakaji iweje ningekwambia na yeye abakwe lakini sheria ikaweka adhabu ya kifungo.
Achana nae huyu ana wenge la kupukutishwa mti wake ACT wazalendo. Anaweweseka na Magu kisa viongozi wote act wako CCM leo. Ngoja 2020 akose ubunge utaona atakavyogeuka.Anajuaje kama kweli alibaka au ni rapists?
Halafu hili swala la kubakwa na kulawitiwa tena watoto wengine class 1. Najaribu kuwaza kwamba ikiwa MTU mzima hawezi kuhimili the first time, hivi mtoto si anakufa kabisa? Kweli maumbile Yale yaweze kuhimli MTU mzima halafu azoee kabisa? Najaribu tu kuwaza huko kubakwa na kulawitiwa. Ingekuwa kunajisiwa hapo ningeweza sema inawezekana. Sijui lakini ILA omba sana wewe mwanaume yasikukute haya maana ni mazito mno. Mimi nshawahi kusingiziwa na vibinti kuwa nilivitaka kimapenzi kisa vilinikosea. Vilinidhalilisha sana na kidogo yanipate yakunipata maana watu walishalishikikila kidedea lakini Mungu alisimama upande wangu.Miaka 14 waliyokaa jela kama kuna watoto waliobakwa sasa watakuwa wamezidi miaka 18. Kama ni hivyo je haitakuwa jambo jema sasa wajitokeze watuambie kama kweli au magumashi? Maana sijawahi kumwona hata mmoja ambaye amejitokeza kusema Babu Seya na wanawe walimbaka. Maana huu ni wakati muafaka tuwaone ili tuwe na cha kuzungumza, vinginevyo kesi ilikuwa fake.
Yaani wajitokeze waseme ni KWELI TULIFIRrWA?? SAHAU.