Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Wacha kupoteza nguvu nyingi kwa kutetea uzembeKwahiyo JPM "alipewa" adhabu ya kifo? Na nani? He, unajua Mme wa Vicky Kamata nae aliishafariki? Naye "alipewa" adhabu ya kifo? Na nani?
Wacha kupoteza nguvu nyingi kwa kutetea uzembeKwahiyo JPM "alipewa" adhabu ya kifo? Na nani? He, unajua Mme wa Vicky Kamata nae aliishafariki? Naye "alipewa" adhabu ya kifo? Na nani?
Tena chawa mwenye mimba!Hao ndiyo tunawaitga CHAWA.
Umemaliza kazi mkuuTena chawa mwenye mimba!
Kwani wamesema nini? Hebu tupeni hapa maana si wote tuko Jamhuri kama za Twitter na InstagramHii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Dah! Umemjibu vema sana. Kwani huyu mtu alipokua anatesa watu mbona wao walikua wanapiga kelele za kushangilia?Comrade tulia watu wamwage nyongo zao.
Pia wafuasi wake tulieni dawa iwaingie.
Huwezi kujibu hoja nzito ndio maana mmeshindwa hata kumsaidia Gaidi Mbowe. Sasa anasubiri kitanzi tu! Ninyi bakini kushughulikiwa kushughulikiwa utafikiri mamaako hashughulikiwi!Naona umezoea kushughulikiwa
Hujaona kuwa huo ni mfano au unajifanya kichaa makusudi?!Kwahiyo JPM "alipewa" adhabu ya kifo? Na nani? He, unajua Mme wa Vicky Kamata nae aliishafariki? Naye "alipewa" adhabu ya kifo? Na nani?
Gaidi ni mwana ccm mwenzenu Hamza na wewe unalijua ukiwa kama msaidizi wake.Huwezi kujibu hoja nzito ndio maana mmeshindwa hata kumsaidia Gaidi Mbowe. Sasa anasubiri kitanzi tu! Ninyi bakini kushughulikiwa kushughulikiwa utafikiri mamaako hashughulikiwi!
Watanzania wengi washampuuza.Zitto hajawahi kuwa na hoja kuntu.Huyo ni ndumilakuwili tu na mchumia tumbo.Ni wa kupuuzwa tu.
Dah!Akisoma hii sentensi atahuzunika sana.Watanzania wengi washampuuza.
Tangu aungane na madhalimu alishakuwa mtoto aso rizikiWatanzania wengi washampuuza.
Yule hanaga aibuDah!Akisoma hii sentensi atahuzunika sana.
Hafai maana kwake yeye kipaumbele ni kushibisha tumbo lakeTangu aungane na madhalimu alishakuwa mtoto aso riziki
Atatishia kukuloga.Yule jamaa aisee!😂😂😂😂Yule hanaga aibu
Kabisa mkuuHafai maana kwake yeye kipaumbele ni kushibisha tumbo lake
Atawaroga warozi wenzakeAtatishia kukuloga.Yule jamaa aisee!
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Hivi,walisema kwamba naye aligombea shoga.Ni kweli?Atawaroga warozi wenzake
Wanaamini ipo kule kule rubondoHivi kuna mbingu ya CCM?