vicky kamata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    Kesi ya Vicky Kamata imetufumbua macho, kumbe Dkt. Likwelile alikuwa akimiliki mali za bilioni 4

    Chenge aliwahi kusema bilioni moja ni vijisenti mkamjia juu,mama tibaijuka akasema ni hela ya mboga tu mkapaza sauti,sasa hukumu iliyosomwa wiki hii katika kesi ya mirathi inayohusu Dkt. likwelile imeonyesha alikuwa akimiliki mali za bilioni 4. Aliwahi kuwa katibu mkuu hazina kwa kipindi kifupi...
  2. Pfizer

    Vicky Kamata amewashika Pabaya, tunaomba mumpatie majibu sasa

    Kuna watu wanajikakamua kuongea kutokana na mihemko au kutokana Makasiriko tu. Vicky Kamata anatetea haki yake. Watanzania Tujifunze kubishana kwa hoja. Haja, wale wote wanaohisi wapo sahihi na Vicky hayupo sahihi, yunaomba majibu Yenu.
  3. O

    mahakama yatupilia mbali kesi ya madai ya vicky Kamata

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mahakama-yakataa-vick-kamata-kumiliki-mali-za-sh4-bilioni-yasema-hakuwa-mke-halali-wa-likwelile--4374992 msinichoshe nisiwachoshe!fungua link hyo credit!Mwananchi
  4. Pfizer

    Watu wanaomlaumu Vicky Kamata, wanadhani Magufuli alipomtumbua Dkt Servacius Likwelile alimuacha na hela. Bila kujua alilelewa na Vicky

    Katika Uongozi wa Awwmu ya tano, 13 Agosti 2016 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli alimtengua Dkt Servacius Likwelile, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(sera) nafasi yake ikachukuliwa na Doto James. 19 Machi 2016 Vicky Kamata alifunga ndoa na Likwelile. Watu...
  5. Nobunaga

    Vicky Kamata: Sikumkuta Dr. Likwelile na Assets zozote za maana, hata swimming pool tu ameikuta kwangu.

    Hii ngoma bado mbichiii. Vicky Kamata kumbe yuko serious sana na hii mirathi ya Dr. Likwelile. Baada ya hukumu ya mahakama kutoka na kutomtambua yeye kama mke halali, kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika haya: "Post ya Muda mfupi. Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki...
  6. JanguKamaJangu

    Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

    Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao. Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine...
  7. Nobunaga

    Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

    Vicky Kamata ameungukia pua kwenye kesi ya mirathi ya aliyekuwa mume(danga) wake Dr. Servacius Beda Likwelile. Mahakama imesema ndoa hiyo haikuwa halali kwa sababu Dr. Likwelile alikuwa ameoa hapo mwanzo na hajawahi kutalikiana na mke wake. Hivyo ndoa ya Vicky Kamata haikuwa halali na hivyo...
  8. pantheraleo

    Vicky Kamata: Royal Tour inaenda kubadilisha akili ya Wanawake wajitegemee, Waache kutegemea kila kitu Wanaume

    Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake laki moja Vicky Kamata amesema Royal tour inaenda kubadilisha akili ya Wanakwake wajitegemee waache kuwa Ombamba. ameyasema hayo Wakati alipokutana na Wanahabari jijini Dar tarehe 20 Mei 2022 kuelezea Madhumuni ya Taasisi ya Wanawake laki moja ambayo ni kupinga...
  9. pantheraleo

    Dar: Vicky Kamata atoa Msaada kwa Shule ya Sekondari Mbwenitete, iliyopo Jimbo la Kawe, Wadau Waombwa kuendelea kusaidia

    Salaam Wakuu, Alfonce Peter Swai, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Serikali ya Mbwenitete iliyopo Mbweni, Kawe Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar Es Salaam, ameomba Wadau wa Elimu kusaidia Shule kwani ina Ufaulu Mzuri pamoja na Changamoto zilizopo. Amesema Komputa ni Somo lipo kwenye Mtaala...
  10. J

    Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

    Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa. Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli. Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
  11. S

    Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

    Amesema kiongozi wa awamu ya tano (jiwe) alikuwa mtu katili sana kiasi cha kumfanya apate taabu sana. Amewasihi watanzania kuishi kwa kutenda mema maana duniani tunapita. Jiwe alilewa madaraka. Amemaliza kwa kusema pamoja na kufuta andiko lake la kumshutumu jiwe ni kweli jiwe aliniumiza sana...
Back
Top Bottom