Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Kwani wamesema nini? Hebu tupeni hapa maana si wote tuko Jamhuri kama za Twitter na Instagram
 
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.

Hivi kuna mbingu ya CCM?
 
Back
Top Bottom