Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,224
Kile kilikua chuma kwerikweri,,,Hayati Magufuli niseme ana mkosi yaani haipiti siku bila waja kumuandika vibaya why yeye peke yake na Si hayati Mkapa na wengineo
Kile kilikua chuma kwerikweri,,,Hayati Magufuli niseme ana mkosi yaani haipiti siku bila waja kumuandika vibaya why yeye peke yake na Si hayati Mkapa na wengineo
Si kweli yuko chato kaburiniMbinguni kwa Baba!
Ukiwa "kiongozi" ndani ya CCM hii,automatically huwezi kwenda mbinguni.Nani kampeleka mbinguni?CCM hii haipeleki watu mbinguni.
Inategemea ntu na ntu,, king David aliua wangapi?,, Lakini hadi yesu aliitwa mwana wa daudHuyo hana cha kupumzika,kuna damu zisizo na hatia zinamlilia Mungu Muumba wa vyote na matokeo yake adhabu anaibeba yeye Shaitwan wa Chattle land...aliua,alilawiti watu,alitesa watu na kuwatendea ubaya mwingi sana!
NDIO MUNGU ALIVYOKUAMBIA HIVYO, KUWA KADINALI ANAMAFUTA YA KWENDA MBINGUNI moja kwa moja yenye msamaha wa dhambi. Tujifariji tuUkipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.
Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!
Huyo katili unayemuomba aje ndio hatamaliza hata mwezi baada ya kuapishwa, atamfuata mwendazake! Unafikili Mungu anavumilia ukatili kwa watu wake..........Fighting with dead body.
Marehemu kama alikuwa katili kwa pumbavu kama hizi yuko sawa kabisa na Mungu amrehemu huko aliko na tunaomba sana aje katili zaidi yake apambane na hizi Pumbavu/ RIP Nzilakende Mwamba wa Chato Pumzika kwa amani Chuma.
Ukisikia Rais anasema, urais ni kazi ngumu, hamaanishi kwamba huwa anashika sululu na kuchimba mitaro,,, inamanisha ukishapewa mikoba ya urais, unakuwa na mamlaka ambayo maamuzi utakayotoa, yanaweza kumaanisha life or death kwa baadhi ya watu,Hata nyerere mwenyewe aliwashughulikia ipasavyo wale wote waliomkosoa wazi wazi wengine walipotezwa,wengine walifungiwa wasitoke kwenye wilaya au kata zao wengine walikimbilia nje ya nchi kabisa.
Kabisa...wakiwa uraiani wanauliza tunaishijeishije mbn mambo rofauti 😂Nje ya mshahara hawana ujanja wa kuishi hawa
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Comrade tulia watu wamwage nyongo zao.
Pia wafuasi wake tulieni dawa iwaingie.
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Welofa kweli,unafikiri Mungu ni athumani???Fighting with dead body.
Marehemu kama alikuwa katili kwa pumbavu kama hizi yuko sawa kabisa na Mungu amrehemu huko aliko na tunaomba sana aje katili zaidi yake apambane na hizi Pumbavu/ RIP Nzilakende Mwamba wa Chato Pumzika kwa amani Chuma.
Itoshe kusema maneno ya Mze Ally Hassani Mwinyi kwamba maisha ya hapa duniani ni hadisi tu hivyo isingependeza ukaondoka na aibu ya mainzi yakikufuata bali iwe hadisi mzuri. Mwache magu avune alichokipandaInaonekana njia rahisi ya kupata kick ni kukomaa na Hayati...
motoni ndio wapi ewe maskini wa akili mwili na roho...
Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
Jamani shetani tangu lini akamiliki mbingu! au naota???Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Jidanganye utende dhambi na kuwaumiza watu ukitegemea mafuta utashangazwa na ukali wa moto utakaokukabili. Tutende mema na haki hizo issue za mafuta ni taratibu za wanadamu.Ukipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.
Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!
Kufa tutakufa ila
Kufa tutakufa ila tufe tukiacha tabasamu duniani. Wewe unadhani ndugu zake Benn Saanane na wengine mpaka leo wanaishi vipi?