Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

Hiki kikundi kipo chini ya kikwete.Zitto Kabwe,Diallo,Vicky Kamata.Yaan wamepanga kufanya hivyo.Ndio Maana utaona hata Amos Makalla ,ni mkuu wa,Mkoa .Ni level ya chini sana kulinganisha na Urais.Eti naye anamlaumu Rais Magufuli.Bagonza anatudanganya kuwa kikwete hayupo kwenye ushauri wa SSH.Lakini yanayotokea ni dhahiri yanaanzia kwa Kikwete. Na pia huyu SSH inaonekana yupo kuonyesha kuwa Magufuli hakuwa sawa.Yeye ndio bora.Lakin wakati utatoa majibu,na wanafiki wote wataumbuka.Kwani wanachofanya ni upuuzi mtupu.
Tupe ushahidi kuwa wapo chini ya Kikwete mpuuzi wewe! Hujisikii raha bila kumtaja kikwete mwehu wa chato wewe
 
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Unakuwaga kajinga sana kama unamung'unya misasati.Waache waongee walivyoumia watoe sumu.******** was a fool as well!
 
We jamaa ulikuwa unamponda Sana Magufuli Ila sasa hivi umekuwa mpiga debe wake mkubwa ..

Aiseh watanzania sijui unafiki tumeutoa wapi?

Kabebwa na wakabila wenzake! Achana nae mpuuzi tu huyo
 
Hata wamseme vibaya vipi, Yeye ni Yeye na keishaumaliza mwendo. Yupo huko anawasubiri na kama inawezekana, awashughulikie tena!!!!!
Mtu akipewa adhabu ya kifo huambiwa iwe fundisho kwako na wenye tabia kama yako. Lengo hasa ni wenye tabia kama zake. Magufuli anasemwa kwaajili ya wenye tabia kama zake.
 
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Bro kama Magufuli yuko mbinguni sisi hofu yetu ni nini? Si kapumzika huko? Kwani anapata shida gani kama si sisi wenye shida?
 
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Bwashee huyo jamaa hayuko mbinguni, wala hata viunga vya mbinguni. Yuko jehanam anaungua na moto mkali sana kutokana na roho yake mbaya na roho za watu kadhaa alizozitoa!
 
Back
Top Bottom