Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Usikariri,kuna taa za security nyingi tu ambazo huwa zinasense motion na kuwaka!Taa hizo na CCTV ni vitu viwili tofauti!Vinaweza kufungwa vyote au kimoja!So usiseme hizo taa ni CCTV,bali taa!Yawezekana ulipopita kuna hizo taa na pia kuna CCTV kamera!So chukua hiyo elimu kidogo kuondoa ujinga!
Acha ujuaji wa kijinga, nimekuambia Mwisho nkajua ni CCTV,na mara ya kwanza nilikua najua tu zinasense motion lkn siku nilipochunguza nkaona camera. Ujuaji wako peleka FB
 
Tatizo kubwa la watanzania hasa vijana wako obsessed na negativism. Wengi wetu tuna PHD za kuponda na hatupendiEvidence zote ambazo wanazo kwa kipindi hiki ni classified na kwa sasa wanatoa to sitrep za ujumla bila kuathiri uchunguzi unaendelea.
Ushauri wangu ni uleule tuachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake. Hivi mbona familia ya ndugu yetu huyo aliyetekwa nyara hawalalami kama tunavyofanya sisi? Wao wanapata briefing tofauti na yetu na hawawezi kuweka wazi baadhi ya taarifa wanazopewa na polisi kwa sababu za usalama wa mtoto wao.
Hujajua kama malalamiko ya familia ya Mo ni makubwa kiasi gani?
Malalamiko ya familia ya Mo ukiyathaminisha kwa thamani ya sasa ya soko ni tsh. Billioni moja
Haya yetu wala hayana bei
 
Hapa ni taaluma moja imehama kufanya kazi ya taaluma nyingine na imefeli vibaya. Polisi hawezi kuwa mtengeneza muvi, kudanganya kamera ni kazi ngumu lazima uwe professional ktk hiyo fani.
 
Kama unajua aliyemteka MO ni nani si uwe muwazi na kuieleza familia yake?
kwa nini unataka kusaka kiki ili ukamatwe kusaidia uchunguzi?
Inaonekana uko well informed kuliko polisi sasa kwa nini huiambii jamii au ndugu wa Mo waliotangaza dau la bilioni 1?
Nashauri familia ya MO imuombe zitto kuwaelekeza alipo au pengine imuongezee dau ili afunguke.
 
Acha ujuaji wa kijinga, nimekuambia Mwisho nkajua ni CCTV,na mara ya kwanza nilikua najua tu zinasense motion lkn siku nilipochunguza nkaona camera. Ujuaji wako peleka FB
Pata elimu bure kabisa,hizo ulizoona zinawaka ni taa na si CCTV(Closed circuit Television)!
Ulipochunguza uliona CCTV,ila ungrchunguza zaidi ungeona mwanga unapotokea na si kwenye hizo CCTV!

Ngoja nikupe na mfano,ni kama zile camera unazobandika flash light!Huwezi ukaona mwanga ndio useme ni camera!Geuza hata simu yako,angalia kuna sehemu ya camera na sehemu ya tochi inayosaidia kumulika!
With that said,ulipokuwa ukisogea na taa kuwaka,hizo zilikuwa taa tu za kawaida,ulipochunguza zaidi ukagundua pia pamoja na taa,kuna CCTV pia!!!!

Kama hujaelewa,naacha ualimu!!!!
 
Kama unajua aliyemteka MO ni nani si uwe muwazi na kuieleza familia yake?
kwa nini unataka kusaka kiki ili ukamatwe kusaidia uchunguzi?
Inaonekana uko well informed kuliko polisi sasa kwa nini huiambii jamii au ndugu wa Mo waliotangaza dau la bilioni 1?
Mlisema Roma Mkatoliki atapatikana jumapili na akapatikana, do we have to crack our heads in this saga? what else do you need?
 
Awaambie mara ngapi?
FB_IMG_1539955515395.jpg
 
Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania

Angalia Hashtag ya Zitto
 
Back
Top Bottom