Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Tatizo kubwa la watanzania hasa vijana wako obsessed na negativism. Wengi wetu tuna PHD za kuponda na hatupendiEvidence zote ambazo wanazo kwa kipindi hiki ni classified na kwa sasa wanatoa to sitrep za ujumla bila kuathiri uchunguzi unaendelea.
Ushauri wangu ni uleule tuachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake. Hivi mbona familia ya ndugu yetu huyo aliyetekwa nyara hawalalami kama tunavyofanya sisi? Wao wanapata briefing tofauti na yetu na hawawezi kuweka wazi baadhi ya taarifa wanazopewa na polisi kwa sababu za usalama wa mtoto wao.
Naomba urekebishe hapo kwa Watanzania Maana kiu kweli wa Mwenye Enzi Mungu unao wataja hapo ni wapinzani uchwara wa chadrama na huyo mwenye chama cha flush walahi
 
Drama tu hizi. mtu anakwenda kuteka mtu maarufu kama yule anaweka namba za gari za kweli?! Ujinga huu wawalishe wenzao Lumumba not the rest of the Tanzania mass, those with independent thinking!
Halafu wanatumia gari hilo hilo moja mpaka wanavuka mipaka ya nchi ..............!!?

Hapo Border kama tu watu wanashindwa kuvusha msokoto wa Bangi ........ wamewezaje kumvusha Mo...........!!?
 
Hivi akija kuachiwa atasema alikua wapi?

Yeye kama billionaire ataendelea kuishi vipi nchini na maadui zake?

Ataweza kutunza siri za hawa watekaji miaka yote?.

Sioni mwanga kwa ndugu yetu kurudi akiwa mzima.
Waarabu na wahindi wana visasi sana yan ila kwa hili wamekosea sanaa watalipa tu
 
Halafu zinapiga picha mbele zinazunguka nyuma zinapiga halafu zinaenda ubavuni zinapiga, hii ni CCTV ya aina yake ilibakiza kufunua boneti ipige picha ya injini.
Hahahahaha utafikiri gari za Be Foward. Na chini kuna Jeki nadhani labda watekaji walipata breakdown mahali. 😂😂😂😂😂😂🙆🙆🙆 hii nchi ni raha sana aisee.
 
It need more mind setup... Hiyo gari inaonekana imeoshwa soon sasa sijui aliyoiosha ni mpiga picha au watekaji.

Haaaaaahaaaa...
 
Sirro na Makonda wana vipaji sawa sema tu Sirro ana angalao kahuruma fulani hivi!
Kama ni jani wote wanapiga....kujipendekeza ndio wenyewe....na waongo wa kupindukia!
 
Kweli zito anajidhalilisha sana.
Yote hayo kujitia hamnazo ni ili tuu nyumbu wamuunge mkono. Si awaombe tuu msamaha arudi alipolelewa!!!?
Ameshindwa kufikiria tuu kwa haraka haraka kuwa kuna uwezekano wa polisi kuwa wamepewa taarifa na wenzao kuwa gari ilionekana mara ya mwisho kawe!!?
Kwa hiyo ikapigwa picha halafu akatuma bila kutoa taarifa ikamatwe
 
Zitto kazi yako na umairi wako ni kwenye Siasa na uchumi...sasa ili tuendelee na mjadala vizuri. Ningependa u'declare' interest zako katika masuala ya elimu ya Usalama wa raia na uzoefu pia katika masuala ya uchunguzi wa matukio ya utekaji na mengine kama hayo.

Hii accusation dhidi ya IGP Sirro kutoka kwako ina hitaji back up ya kutosha.
 
Hivi kama mtu ana guts za kuvamia kituo cha redio na kufanya yake na bila kushughulikiwa na vyombo vya sheria , unafikiri ni nini kinaweza kuwazuia kufanya umafia wa kumteka Dewj , there is no limit to what these murderers are capable of .......Mungu mwenyewe ataamua
 
Wamemuona ana crack kirahisi kuliko wao soo wamemuweka nyuma asiongee sasa hivi.
Kwani mkuu wa mkoa mpaka ss ametoa tamko gani kumuhusu moooo, maana siku ya tukio alikuwa wa kwanza kuonekana kwenye viunga vya hotel ya calcium.
 
Walisema hatuitaji msaada kwann wamewaita interpol?
Unaelewa maana Interpol na jinsi ya utendaji kazi wa Interpol au umecomment tu?!!! By the way Sirro hajasema wameita interpol, Bali wamewasiliana na wenzao wa Interpol kufanya ufutiliaji na kuwakamata wahalifu.

Interpol ni mfumo wa ushirikiano wa polisi kimataifa, polisi wa nchi moja hawezi kumkamata mhalifu aliye vuka mpaka na kuingia nchi nyingine, hivyo inabidi kuwasiliana na polisi wa nchi hiyo jirani ili waweze kumkamata huyo muhalifu.
 
Nimejizuia sana. Acha niseme, maana nisiposema ntaumwa. Kamanda Sirro anajua alipo @moodewji. IGP na Polisi wanataja njia ambayo gari ya watekaji imepita mpaka Kawe, CCTV zilikuwa zinafuata gari ile? Polisi wanaitesa sana familia ya MO na Watanzania.

Mpaka SAS hakuna uchunguz wowote walioufanya.kama wamefanya uchunguzi kwanin siro anatoa taarifa hewa ?? Na cha kushangaza anahojiwa na wanahabari but hana majibu!! Yaani no research no evidence.polis wanachokifanya ni kukamata an innocent people na kuzuia watu wasiongelee swala LA kutekwa kwa mo.sas tuseme kwamba huu ndio uchunguz wao .
 
Back
Top Bottom