Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Hivi kabisa na akili zako timamu CCTV huwa inakuwa juu video yoyote ya CCTV inakuwa juu au Aerial Pic au Video hiyo Ground tena ina Blur kwa nyuma kama Camera ya Nikon acheni utani
 
Watoto wameshakula lkn usiku huu na umeshapiga simu kwenu kijijini kumwambia Babako kama unampenda? Dewji’s wao wako vizuri ukoo mzima, shida ni kwako wewe!
Well said walahi
Hana bundle la kumpigia baba yake, lakini la kuitukana nchi yake mitandaoni kwa ajili ya dj anayo. Hakika dj mchaga yule kawashika pabaya ma nincompoop walahi
 
Tuna polisi wa ajabu sana
IMG_20181019_222953.jpeg
 
Watoto wameshakula lkn usiku huu na umeshapiga simu kwenu kijijini kumwambia Babako kama unampenda? Achana na Wahindi hao wao wako vizuri ukoo mzima, shida ni kwako wewe!
Ukiendelea kidogo utajuwa muuza sumu una roho kama sura ya dr Remny Ongala (RIP)
 
Bora yeye kajitoa mhanga kwa nchi kuliko wewe umejitoa mhanga kwa Muhindi ambaye kiuhalisia anakuona kama takataka tu!
 
Kwan IGP mwenywe kasemaje kuhusiana na utata uliotokana na taarifa zake alizozitoa Leo????
 
Mkuu wala
Habari zenu wakuu wa JF, leo hatimae igp sirro ameongea kuhusu MO, .Lakini nafikiri sirro anatona sisi zote watanzania ni kaa hatukuenda shule, hatuwezi kufikiria au hatuna utaalamu wowote haswa kwa mambo ya hii kitu kinaitwa(CLOSED CIRCUIT TELEVISION) kwa kifupi CCTV, nimeona ameleta picha ya gari ambayo anadai ndio ilutumika katika kumuteka ndugu yetu MO.Lakini yaonekana either sirro hana ujaja wowote kwa hii mambo ya vile cctv inafanya kazi au aliamua tu kutuona sisi watz mafala.Twende taratibu katika hio picha, hata kaa mimi sina utaalamu mkubwa wa IT,lakini mambo ya cctv, haifamu kabisa,ukiangaliaa ile picha ya ile gari itakuta vitu muhimu haziko ambazo huwemo wakati cctv inachukua picha,Kwanza kabisa kaa ile picha ilipigwa na cctv camera, basi ile gari ingekuwa na dereva ambae angekuwa anaindesa kaa kweli ilinaswa na cctv either za hoteli au cctv za nyumba jirani , lakini ukitazama ile picha itaona ile gari ilipigwa picha IKIWA IMESIMAMISWA PAHALI FULANI., pili takika picha yoyote ya cctv camera hua kuna vitu 4 muhimu, hizo ni TAREHE, SAA ILIYOPIGWA, DAKIKA ILIYPIGWA, NA MWISHO SEKUNDE ILIYOPIGA, mfano, ni huu, kaa ni leo cctv ipige picha hio picha ingeoyesa hizi, 19 october 3,45,23,,hio ni hii piga ilipgwa tarehe 19 october,mwedo wa saa 9 mchana, dakika ya 45, sekunde ya 23.HIZI NDIVYO CCTV HUFANYA KAZI., jamani angalieni hio picha sirro ametoa,Jambo la pili na la muhimu kaa ingekuwa kweli ile picha ilipigwa pale hoteli au nyumba jirani na iwe sirro hafichi lolote angetoa CCTV FOOTAGE, yaani kwa kaa dakika 1 hivi au sekunde 35 hizi, angeoyesa video ya hio tukio, na hapo tungeona kila kitu, maoni yangu ni haya, "WATU WASIOJULIKANA WANAJUA PAHALI NDUGU YETU MO ALIPO" PERIOD hakuna lingine, na hio mukutano wa habari wa kamada sirro HAS CONFIRMED THAT,pls bring back MO to his family,
Mkuu geshi ra porisi hutumia mtindio wa ubongo katika kutenda kazi zao so usishangae sana halafu wao wanafanya kazi kwa kumtii mkuu wao kichaa
 
Ukiendelea kidogo utajuwa muuza sumu una roho kama sura ya dr Remny Ongala (RIP)


Kama ni kweli roho yangu ni kama ya Remi Ongala basi nashukuru Mungu kwani sidhani kama nastahili hiyo sifa, Remi alikuwa ni mtu mzuri sana, nashukuru sana kwa hilo!

Apumzike kwa Amani Remi Ongala!
 
Yaani huyu Jamaa mtoa mada hana maarifa kabisa, yaani watu wapo seriasi kutafuta namba ya gari na rangi yake yeye yupo bize kuchunguza camera iliyopiga picha? itakusaidia nini????
 
Watoto wameshakula lkn usiku huu na umeshapiga simu kwenu kijijini kumwambia Babako kama unampenda? Achana na Wahindi hao wao wako vizuri ukoo mzima, shida ni kwako wewe!

Kwahiyo wakiwa ' Wahindi ' na ' Matajiri ' Ukoo mzima ndiyo ' watekwe ' na ' wanyanyasike ' Mkuu? Kwahiyo kumbe ' Kumpigania ' Mtu ili apate haki zake yatupasa Kwanza tuwe tumekula pamoja na Familia zetu? Hivi akina Hayati Nyerere, Kwame Nkurumah, Patrice Emelly Lumumba, Thomas Sankara na Nelson Mandela wangejali ' matumbo ' yao wangekuwa tayari kuzipigania nchi zao ili zipate Uhuru kutoka kwa ' Makoloni ' yaliyokuwa yakitunyanyasa? Kuna Watu / Members hapa Jamvini ' naturally ' ni ' Wapumbavu / Mapopoma ' sijawahi kuona na kudhania.
 
Watoto wameshakula lkn usiku huu na umeshapiga simu kwenu kijijini kumwambia Babako kama unampenda? Achana na Wahindi hao wao wako vizuri ukoo mzima, shida ni kwako wewe!
mkuu Mo ni binadamu mpaka nimujali kabisa, hivyo ndivyo ukiristo wangu unaniambia
 
Back
Top Bottom