Zitto Kabwe: Sitagombea tena Uongozi ndani ya ACT WAZALENDO, najikita kwenye Ubunge. Malengo yangu ni kuwa Rais wa Tanzania

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,865
35,874
Akiongea na redio hiyo ya kimataifa jana mchana, mwanasiasa huyo amefunguka:

Kwamba:

1. Ameamua kunga'atuka kwa mujibu wa katiba akikiacha chama kikiwa katika hali bora zaidi kuliko wakati wowote.
2. Hatarejea kwenye uongozi wa chama hicho kama katiba inavyotaka, kwani muda wake umekwisha; bali atasalia kuwa mwanachama.
3. Anayo imani kubwa na waliochukua hatamu za uongozi na kuwa hana shaka, chama kipo katika mikono salama.
4. Mzee Duni kujitoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi, hakukuwa na shinikizo lolote.
5. Malalamiko yao kwenye "serikali yao ya nusu mkate Zanzibar" karidhika na alipofikia na yaliyopo ya nini kitafuata.
6. Kuwa anapanga kurejea bungeni agombee 2025.
7. Chama kikimhitaji kwa ushauri au kushiriki vikao yuko radhi.
8. Anazo ndoto za urais wakati wake ukifika, na hasa 2030 na huko mbele lakini si 2025.
9. Anaamini kwenye siasa za kuleta mabadiliko; kuwa hizo ziko bungeni.
10. Anatambua mbunge aliyepo Kigoma ni aliyetangazwa tu, lakini siyo aliyeshinda.
11. Kuhusu uchaguzi 2025 kuwa huru na haki; anaamini mazingira yatakuwa bora zaidi 2025, kwani 2020 yalikuwa mabaya mno na kuwa heri tungerejea hata kwa yaliyokuwa 2015.
12. Mabadiliko yaliyopo sasa kuwa hakuna kupita bila kupingwa, wenyeviti na makamu watapatikana tokea kwenye mchakato wenye usaili wa waombaji, nk yanatia moyo.
13. Kuhusu madai ya u CCM B wake; hajawahi kuwa CCM, amekuwa upinzani muda wote, hajawahi kuunga mkono juhudi. Hata hivyo anatambua siasa zake ni tofauti na za wengine, ambalo hilo ni suala binafsi.

Maneno kuntu kabisa kutoka kwake Zitto Zuberi Kabwe.

Kwa hakika kama asemavyo Prof. Lwaitama adui yetu ni mmoja:

Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM
 
Hivi kung'atuka Kwake mbona imekuw hoja ya kila siku au ndiyo mafanikio ya chama ?

Hata ukitoka uongozini chama chenyewe kinafanya kazi Tunduru-Kigoma mjini-Magomeni na Pemba tu. Kina life circle ya Mende.

Akihojiwa na redio za kimataifa anyamaze?

Hivi kung'atuka kwake kwanini kumekuwa mwiba mno kwa wengine?

Kwani hamkupenda ang'atuke?
 
Hakujawa mwiba kwa mtu yoyote sema yeye imekuwa ndiyo hoja ya kila siku as if kung'atuka ndiyo mafanikio ya chama chake.

Chama chenyewe kinaishi kwa life circle ya mende hata aking'atuka ni afadhali ili chama chake kipate watu wa maana watakaokifanya kiwe cha kitaifa
 
Akiongea na redio hiyo ya kimataifa jana mchana, mwanasiasa huyo amefunguka:

View attachment 2933149

Kwamba:

1. Ameamua kunga'atuka kwa mujibu wa katiba akikiacha chama kikiwa katika hali bora zaidi kuliko wakati wowote.

2. Hatarejea kwenye uongozi wa chama hicho kama katiba inavyotaka, kwani muda wake umekwisha; bali atasalia kuwa mwanachama.

3. Anayo imani kubwa na waliochukua hatamu za uongozi na kuwa hana shaka, chama kipo katika mikono salama.

4. Mzee Duni kujitoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi, hakukuwa na shinikizo lolote.

5. Malalamiko yao kwenye "serikali yao ya nusu mkate Zanzibar" karidhika na alipofikia na yaliyopo ya nini kitafuata.

6. Kuwa anapanga kurejea bungeni agombee 2025.

7. Chama kikimhitaji kwa ushauri au kushiriki vikao yuko radhi.

8. Anazo ndoto za urais wakati wake ukifika, na hasa 2030 na huko mbele lakini si 2025.

9. Anaamini kwenye siasa za kuleta mabadiliko; kuwa hizo ziko bungeni.

10. Anatambua mbunge aliyepo Kigoma ni aliyetangazwa tu, lakini siyo aliyeshinda.

11. Kuhusu uchaguzi 2025 kuwa huru na haki; anaamini mazingira yatakuwa bora zaidi 2025, kwani 2020 yalikuwa mabaya mno na kuwa heri tungerejea hata kwa yaliyokuwa 2015.

12. Mabadiliko yaliyopo sasa kuwa hakuna kupita bila kupingwa, wenyeviti na makamu watapatikana tokea kwenye mchakato wenye usaili wa waombaji, nk yanatia moyo.

13. Kuhusu madai ya u CCM B wake; hajawahi kuwa CCM, amekuwa upinzani muda wote, hajawahi kuunga mkono juhudi. Hata hivyo anatambua siasa zake ni tofauti na za wengine, ambalo hilo ni suala binafsi.

Maneno kuntu kabisa kutoka kwake Zitto Zuberi Kabwe.

Kwa hakika kama asemavyo Prof. Lwaitama adui yetu ni mmoja:

Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM
Hongera kwako Mkuu uliyeandika hii thread, hongera sana Mkuu.
 
Akihojiwa na redio za kimataifa anyamaze?

Hivi kung'atuka kwake kwanini kumekuwa mwiba mno kwa wengine?

Kwani hamkupenda ang'atuke?

Kwanza ni uwongo kuwa ameng'atuka. Yeye amemaliza muda wake wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya ACT.

Watu wengi wana akili ndogo. Wanakuza jambo dogo lionekane la ajabu!

Nyerere alinga'atuka. Mwinyi, Mkapa na Kikwete walimaliza muda wao kwa mujibu wa katiba, na wala halikuwahi kuwa jambo la ajabu kiasi cha kuongelea kila siku.

Huwezi kusema kuwa Mwinyi, Mkapa au Kikwete waling'atuka. Labda kama hujui Kiswahili wala maana ya neno kung'atuka.

Umewahi kumsikia Kikwete akisema kuwa aling'atuka? Halafu ikawa hadithi ya kila siku? Kama katiba ya ACT ina muda maalum wa kiongozi kuwa kwenye nafasi fulani, kuna nini cha ajabu?
 
Akiongea na redio hiyo ya kimataifa jana mchana, mwanasiasa huyo amefunguka:

View attachment 2933149

Kwamba:

1. Ameamua kunga'atuka kwa mujibu wa katiba akikiacha chama kikiwa katika hali bora zaidi kuliko wakati wowote.

2. Hatarejea kwenye uongozi wa chama hicho kama katiba inavyotaka, kwani muda wake umekwisha; bali atasalia kuwa mwanachama.

3. Anayo imani kubwa na waliochukua hatamu za uongozi na kuwa hana shaka, chama kipo katika mikono salama.

4. Mzee Duni kujitoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi, hakukuwa na shinikizo lolote.

5. Malalamiko yao kwenye "serikali yao ya nusu mkate Zanzibar" karidhika na alipofikia na yaliyopo ya nini kitafuata.

6. Kuwa anapanga kurejea bungeni agombee 2025.

7. Chama kikimhitaji kwa ushauri au kushiriki vikao yuko radhi.

8. Anazo ndoto za urais wakati wake ukifika, na hasa 2030 na huko mbele lakini si 2025.

9. Anaamini kwenye siasa za kuleta mabadiliko; kuwa hizo ziko bungeni.

10. Anatambua mbunge aliyepo Kigoma ni aliyetangazwa tu, lakini siyo aliyeshinda.

11. Kuhusu uchaguzi 2025 kuwa huru na haki; anaamini mazingira yatakuwa bora zaidi 2025, kwani 2020 yalikuwa mabaya mno na kuwa heri tungerejea hata kwa yaliyokuwa 2015.

12. Mabadiliko yaliyopo sasa kuwa hakuna kupita bila kupingwa, wenyeviti na makamu watapatikana tokea kwenye mchakato wenye usaili wa waombaji, nk yanatia moyo.

13. Kuhusu madai ya u CCM B wake; hajawahi kuwa CCM, amekuwa upinzani muda wote, hajawahi kuunga mkono juhudi. Hata hivyo anatambua siasa zake ni tofauti na za wengine, ambalo hilo ni suala binafsi.

Maneno kuntu kabisa kutoka kwake Zitto Zuberi Kabwe.

Kwa hakika kama asemavyo Prof. Lwaitama adui yetu ni mmoja:

Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM
Pandikizi katika ubora wake
 
this man know politics 🐒
 
Hakujawa mwiba kwa mtu yoyote sema yeye imekuwa ndiyo hoja ya kila siku as if kung'atuka ndiyo mafanikio ya chama chake.

Chama chenyewe kinaishi kwa life circle ya mende hata aking'atuka ni afadhali ili chama chake kipate watu wa maana watakaokifanya kiwe cha kitaifa

Kwanza hawa watu ni wajinga wa Kiswahili. Kiongozi anayemaliza muda wake wa uongozi kikatiba, hang'atuki bali amemaliza kipindi chake cha uongozi. Hawa watu wamejaa unafiki.

Nyerere kuachia uongozi ilikuwa issue ya kuongelewa sana kwa sababu aling'atuka. Mwinyi kuachia uongozi ilikuwa kawaida, kwa sababu alimaliza kipindi chake cha uongozi kikatiba.
 
Kwanza ni uwongo kuwa ameng'atuka. Yeye amemaliza muda wake wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya ACT.

Watu wengi wana akili ndogo. Wanakuza jambo dogo lionekane la ajabu!

Nyerere alinga'atuka. Mwinyi, Mkapa na Kikwete walimaliza ata katiba wala siyo jambo la ajabu kiasi kwamba iwe ni jambo la kuongelea kila siku.

Huwezi kusema kuwa Mwinyi, Mkapa au Kikwete waling'atuka. Labda kama hujui Kiswahili wala maana ya neno kung'atuka.

Umewahi kumsikia Kikwete akisema kuwa aling'atuka? Halafu ikawa hadithi ya kila siku? Kama katiba ya ACT ina muda maalum wa kiongozi kuwa kwenye nafasi fulani, kuna nini cha ajabu?
Zitto amepoteza mwelekeo kung'atuka ndiyo mafanikio yake.
 
Kwanza hawa watu ni wajinga wa Kiswahili. Kiongozi anayemaliza muda wake wa uongozi kikatiba, hang'atuki bali amemaliza kioindi chake cha uongozi. Hawa watu wamejaa unafiki.

Nyerere kuachia uongozi ilikuwa issue ya kuongelewa sana kwa sababu aling'atuka. Mwinyi kuachia uongozi ilikuwa kawaida, kwa sababu alimaliza kipindi chake cha uongozi kikatiba.
Yes na hawakuigeuza kuwa hoja ya kila siku atueleze mafanikio ya chama chake badala ya kelele za kung'atuka.

Zitto anatabia ya kuanzisha vihoja vya kijinga kijinga kwenye hoja muhimu za kitaifa.

Wananchi wanahangaika na mgao wa umeme na ukosefu wa sukari lenyewe linaleta hoja ya kung'atuka.

Wanasiasa aina ya Zitto ni wa hovyo sana
 
Back
Top Bottom