lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,151
- 33,333
Ha ha haalakini nayeye ni mwanamke, labda kaingia cha washua sasa!!
Ha ha haalakini nayeye ni mwanamke, labda kaingia cha washua sasa!!
HahahahaLegasi inazidi kupopolewa
Kwa mujibu wa SSH ni awamu ya 5emoji1] ukiwa CCM bwana hata uwe Rais bado utakua hunaHao makomandoo wamekamatwa mwezi wa 8 mwaka 2020, ilikua Ni awamu ya ngapi hio?
Wenzetu wa visiwani wakikalia kile kiti wao ni RUKSA tu, wanaendeshwa!Ushauri angeweza kuukataa, hata sasa anweza kuifuta hio kesi muda wowote akitaka
Kwenye hili hana wa kumlaumu