Zitto ahusishwa na Rostam Aziz - Mwana Halisi

Zitto ahusishwa na Rostam Aziz - Mwana Halisi

Status
Not open for further replies.
ni bahati mbaya hatutaikiw kutukana but this post is really low from you

I CANT BELIEVE MTU KAMA WEWE UNAPOST SUCH A THING AND THEN UNAJIITA NZALENDO

Kaka,

Uzalendo wa kuficha ukweli ni uzalendo pofu (myopic patriotism) ambayo daima nimekuwa nikiipiga vita. Uzalendo ni pamoja na kusema ama kusimamia yale wengi hawataki kuyasikia lakini unaamini wanapaswa kujua kwani watu wanapaswa kujua. Uzalendo sio kuacha reactionaries na puppets wao wanatamba na cheap propaganda zao halafu baadae tujutie wanapokuwa ndio MASIHA wa kukimbiliwa na raia wakati wote tunajua hasara yake kwa nchi. Uzalendo ni pamoja na kupambana hata kama wengi watadharau mantiki ya mapambano hayo....

By the way, kama ungenijua vizuri kukubalika ama kutokukubalika na wewe ama mwengine yeyote kwangu sio issue kwani KUSEMA UKWELI DAIMA ni hulka yangu hata kama gharama yake ni kubwa......

As long as with proof, I am convinced kuwa haya yote yana mkono wa kina Mbowe na genge lake sitanyamaza kimya wakiendesha siasa majitaka zao dhidi ya Zitto...
 
Nimeongea na Zitto anasema alikuwa akiwasiliana na Rostam kumtuliza asidai mamilioni yake aliyompa Mbowe katika uchaguzi wa 2005 na ule wa Tarime (by election) baada ya kugundua kuwa Mbowe amekuwa akidai hizo ni fedha zake na kulazimisha CHADEMA wamlipe kutoka katika ruzuku.........Inakutosha hiyo ama unahitaji nyingine.....

Hivi wewe ndie wanasema ni msaidizi wa SAS? Is this the best you can do?
You should be ashamed of yourself ... watu wanategemea much better from you na sio this crap. Unajua ZK hajakwambia kwamba haya ndo walikuwa wakiongelea, hivyo lengo lako la kupost hayo uliyoyaweka hapo puts your integrity into question.
 
Kwani walizungumza nini? Nikijua hilo naweza kumshutumu Zitto au la. Tukimhukumu bila kujua walilozungumza, tutakuwa hatumtendei haki Zitto wala Rostam.
 
Kwani walizungumza nini? Nikijua hilo naweza kumshutumu Zitto au la. Tukimhukumu bila kujua walilozungumza, tutakuwa hatumtendei haki Zitto wala Rostam.

alimbipu tu, wala hawakuongea kitu.

sema tu hawa mwanahalisi nao wanataka kuuza gazeti.
 
Labda alikuwa akimlalamikia kitendo cha Mbowe kumfadhili mgombea wa CUF Kigoma Kaskazini baada ya ile ya kumhonga Mwenyekiti wa Jimbo Kigoma Kaskazini shilingi milioni saba kupitia kwa mkewe ili amsabotage Zitto kuushindwa kufanikiwa.....

hear say.

never believed
 
Kaka,

Uzalendo wa kuficha ukweli ni uzalendo pofu (myopic patriotism) ambayo daima nimekuwa nikiipiga vita. Uzalendo ni pamoja na kusema ama kusimamia yale wengi hawataki kuyasikia lakini unaamini wanapaswa kujua kwani watu wanapaswa kujua. Uzalendo sio kuacha reactionaries na puppets wao wanatamba na cheap propaganda zao halafu baadae tujutie wanapokuwa ndio MASIHA wa kukimbiliwa na raia wakati wote tunajua hasara yake kwa nchi. Uzalendo ni pamoja na kupambana hata kama wengi watadharau mantiki ya mapambano hayo....

By the way, kama ungenijua vizuri kukubalika ama kutokukubalika na wewe ama mwengine yeyote kwangu sio issue kwani KUSEMA UKWELI DAIMA ni hulka yangu hata kama gharama yake ni kubwa......

As long as with proof, I am convinced kuwa haya yote yana mkono wa kina Mbowe na genge lake sitanyamaza kimya wakiendesha siasa majitaka zao dhidi ya Zitto...
basi wewe kumbe hujasoma msimamo wangu

Mimi ni mzalendo wa uwazi na ukweli tupu miaka yote

Ila sipendi dharau kwenye mambo ya msingi....... Ukinisoma utaona nimeshasema zaidi ya mara tatu kwamba mbowe is not the best one for chadema
 
Nimeongea na Zitto anasema alikuwa akiwasiliana na Rostam kumtuliza asidai mamilioni yake aliyompa Mbowe katika uchaguzi wa 2005 na ule wa Tarime (by election) baada ya kugundua kuwa Mbowe amekuwa akidai hizo ni fedha zake na kulazimisha CHADEMA wamlipe kutoka katika ruzuku.........Inakutosha hiyo ama unahitaji nyingine.....

If that the case both Zitto, Rostam and Mbowe have a case to answer (I know Zitto is your friend but some comments you are not helping but causing more damage)
 
basi wewe kumbe hujasoma msimamo wangu

Mimi ni mzalendo wa uwazi na ukweli tupu miaka yote

Ila sipendi dharau kwenye mambo ya msingi....... Ukinisoma utaona nimeshasema zaidi ya mara tatu kwamba mbowe is not the best one for chadema

too personal!!

the only support you'll have is you or none at all.
 
Labda alikuwa akimlalamikia kitendo cha Mbowe kumfadhili mgombea wa CUF Kigoma Kaskazini baada ya ile ya kumhonga Mwenyekiti wa Jimbo Kigoma Kaskazini shilingi milioni saba kupitia kwa mkewe ili amsabotage Zitto kuushindwa kufanikiwa.....
ha ha ha ha!
wewe ni shabiki,nimeshakuelewa.

lakin nafahamu unajua ALIONGEA NAE NINI!...kwa heshima ya chama na kwa heshima ya MBUNGE WANGU MNYIKA i will keep my mouth SHUT

bottom line zitto ana matatizo makubwa.

atumie busara yake ndogo kujiengua
 
Labda alikuwa akimlalamikia kitendo cha Mbowe kumfadhili mgombea wa CUF Kigoma Kaskazini baada ya ile ya kumhonga Mwenyekiti wa Jimbo Kigoma Kaskazini shilingi milioni saba kupitia kwa mkewe ili amsabotage Zitto kuushindwa kufanikiwa.....

Lakini wewe muda si mrefu ulitwambia umetoka kuongea na zito na akakwambia waliyoongea na RA, sudenly unaibuka na 'LABDA'
Acha unafki bana na utoto wako hapa.
 
I am convinced kuwa haya yote yana mkono wa kina Mbowe na genge lake sitanyamaza kimya wakiendesha siasa majitaka zao dhidi ya Zitto...

Unamaanisha nini ommy unaposema siasa za maji taka za kina Mbowe? Kuwa maongezi ya ZT na RA na Zoka yana baraka za Mbowe? Kumbuka wakiwa Dodoma majuzi, ZT aliongozana na Lowasa hadi ofisi za CDM na Wakamkuta Mbowe na wenzake ofisini. Zito akamtambulisha EL kwa wenzake ndipo EL akamuomba Mbowe asitishe nia yake na wenzake ya kutoka nje ya ukumbi wa bunge siku hiyo jioni Raisi atakapokuwwa anahutubia.
Mbowe akamuuliza EL: Hivi umetumwa na chama ama umekuja mwenyewe?
EL: Nimekuja mwenyewe
Mbowe: Akatikisa kichwa kisha akasema, tafadhali mlango ule pale naomba utoke.
Lowasa kwa upole akainuka akatoka na kumwacha ZT na wenzake ndani (This is according to mwanahalisi ya wiki 4 zilizopita). Sasa unaona connection ya ZT, RA, EL,JZ(Jacky ZOka) na wengine? then unasema siasa za maji taka za Mbowe zipi?
 
hili swala nizito, lazima kuna kitu kinaendelea, nafikiri RA simtu wa kupiga simu kwa ZK kumjulia hali au kinyume chake. Yule bwana akiestablish communication ya namna hiyo na ZK/mtu yeyote awaye lazima kuna jambo anataka. Chadema tuwe makin kuchambua pumba na mchele, kuna watu wako tayari at any cost kuizika chadema na sisi hatukubari kamwe. ZK na wenzake wakati wao wa uovu wao kuwekwa hadharani umewadia na wataondoka kwa haibu kubwa vichwa chini wakapalilie miti ya mawese, nyambafu!!!!!
 
Duuu yaani jamaa ana hii kitu????

images

Msaada tutani, huyu kijana ukiacha kazi ya ubunge ana biashara gani halali inayompatia kipato cha ziada? kama jibu ni hakuna, BASI BILA KUTAFUNA MANENO ZITTO INABIDI AONGEZWE KWENYE LIST OF SHAME :hungry:
 
Actually I can do better than this...see you soon

Better do that brother..... for your few comments here you have done zitto and chadema dis-service..... You have done more damage and your comments have helped no one apart from increasing the length of the thread
 
If that the case both Zitto, Rostam and Mbowe have a case to answer (I know Zitto is your friend but some comments you are not helping but causing more damage)

Yaelekea ile tactic yao ya kumuumiza Zitto halafu kumfunga mdomo asijilinde wala kurudisha mashambulizi umeikubali sana.....Well, nilijaribu kuvumilia hapo mwanzo lakini sasa I am convinced kuwa Zitto anapambana na watu wasiojua nini maana ya UTU na kunyamaza kimya sio dawa....Kwake, kwao wala kwa chama chake....
 
Lakini wewe muda si mrefu ulitwambia umetoka kuongea na zito na akakwambia waliyoongea na RA, sudenly unaibuka na 'LABDA'
Acha unafki bana na utoto wako hapa.

Zitto naona ana genge lake naye. Kama ambavyo wanadai Mbowe ana genge lake.

Labda sasa ni wakati muafaka kwa Zitto na genge lake kuanzisha Chadema B.

Maana hata CCM wana CCM B yao.

Wasiwasi wangu ni kwamba Zito ni maarufu Kigoma tu.

Na umaarufu wa Chadema hautokani na uwepo wa Zito.
 
@Weberoy
You are realy Great thinker.

sio hawa wengine. Ndio hatuwezi kuishi kwa matanaio na akili za watu wengine. Kwakuwa mwanahalisi kasema tena tukubali tu! Hatuna haja ya kutumia akilizetu ndio wanavyotaka, wafuasi wa CDM kama wamerogwa vile. Kesho Mwanahalisi akisema Dk Slaa alitumwa na kanisa mtasemaje? Ndio inaonekana akili zao zinaendeshwa na mwanahalisi.
 
Yaelekea ile tactic yao ya kumuumiza Zitto halafu kumfunga mdomo asijilinde wala kurudisha mashambulizi umeikubali sana.....Well, nilijaribu kuvumilia hapo mwanzo lakini sasa I am convinced kuwa Zitto anapambana na watu wasiojua nini maana ya UTU na kunyamaza kimya sio dawa....Kwake, kwao wala kwa chama chake....

Zito hana chama.

acha kupotosha umma.
 
Kwa kuzingatia msimamo (unpopular) aliouonesha Zitto kwenye suala la Dowans (tunayoaminishwa ni ya RA)...hivi hizi 'revelations' za kuwapo kwa uhusiano kati ya Zitto na RA inawezekana kwa namna yoyote kuwa na uhusiano wowote na Dowans?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom