Take your time to read this and connect the dots.....
itafahamika tu! we endelea kutokwa na povu mfa maji
Mwenzio bado anayaota yale Mapinduzi ya DARUSO ya 2002/3
And you expect kutokuwa na malumbano katika hoja zenu?
Take your time to read this and connect the dots.....
Ukiwa rafiki na Ridhwan umekuwa rafiki wa Kikwete!!! Huwezi kuwa adui wa JK ukawa rafiki wa Ridhwan, JK si tu anampenda Ridhwan kama motto, bali kama mwanaCCM mwenzie aliye tayari kulinda interest zao.
It is very strange that the same individual can riducule Mwanahalisi! Nimechoka kabisa.
Na ukiwa rafiki wa Zoka? Na ukiwa rafiki wa RA?
Kama vile nakuona unavyohangaika kubonyeza key board kumjibia Zitto pole sana Ommy ungekuwa unalima wakati huu mijasho ingekujaa mwili mzima lakini kifupi, you are fighting a losing battle sonner than later Zitto will be walking out of the gate end of the story, take my words.Kipi kisichobebeka, Kuwa alipokea milioni 100 mwaka 2005 na nginginezo wakati wa by elections za Tarime? Ama kuwa alikuwa akilobby kwa JK ili ateuliwe Ubunge? Ama kumpa fedha mgombea wa CUF Kigoma Kasakazini....yapo mengi ya kusema with facts available lakini inategemea wewe upo tayari kusikia yapi........
Move ya wabunge wa CDM kutokuwa na imani naye inamsumbua sana kichwa, nafikiri ni challenge yake ya kwanza ngumu tangu aanze movement ya kisiasa - utawaongozaje watu bungeni ambao wameshatangaza kutokuwa na imani na wewe? na je utakiongozaje chama ambacho hadharani umetamka kukiuka misimamo yake?.
Mwanahilisi ameandika na itabakia kuwa kumbukumbu na kama sikosei mwandishi atakuwa kataja jina. Omar nae anasema ni spin, kwanini Omar usionyeshe kwa ushahidi? Kuwa Mbowe alichukua pesa kwa RA kwa minajili ya shuguli za chama? au minutes za kuwa Dr. Slaa kafanya hayo? Mbona unaenda kulekule kwa udaku na majungu kama upo smart na mkweli?
Dr. Slaa umeshawi sema huna cha kuficha katika life style yako..... Hapa vipi? Jukwaani fisadi, chini ya kapeti eti unakula kwa Rostam? Dr. Usiondoke hapa bila kukata kiu. Omar ikibidi aende kwenye tume ya wale wazee maana sio kwa memba ya CDM. Ameyatoa wapi? tunaweza tukaziba matundu.
Alhaji ANS
Hili ndilo tatizo lako Mkuu
Brother you seem to know a lot more than everyone...... so unless your arguments are based kwenye msingi wa facts am afraid its all make believe.... and most of the issues are your own opinions.... How do you know walivote huku hawajui ngoma wanayoicheza......Interesting point u have raised. Moja Zitto hasumbuliwi na hiyo kura kwani wengi walipiga hawajajua bado ngoma wanayoicheza.
Nakubali hili ni tatizo kwa upande wangu lakini n tatizo la kulazimishwa kwani sio mimi ninayeanzisha hizi siasa na kama wenzako wanachukulia ukimya kama weakness then inabidi uwape dozi yao wanayoielewa.....
Nakubali hili ni tatizo kwa upande wangu lakini n tatizo la kulazimishwa kwani sio mimi ninayeanzisha hizi siasa na kama wenzako wanachukulia ukimya kama weakness then inabidi uwape dozi yao wanayoielewa.....