Zitto aandika barua CHADEMA kuomba msamaha

Zitto aandika barua CHADEMA kuomba msamaha

Status
Not open for further replies.
Zitto sio mwepesi kama kama ufikiriavyo labda wao ndo wamuombe msamaha,after all huu ni uzushi mods uondoen haraka
 
Wakuu kuna tetesi zimenifikia jioni hii toka kwa mtu wa karibu na Mh.Zitto,kuwa aliyekuwa Kamanda kabla ya kupokonywa vyeo,ameandika barua nzito kwnda kwa katibu wake akiomba msamaha.Mtonyaji huyo nikamuuliza kuhusu tetesi kuwa Zitto anajiandaa kufanya mikutano kinyume na zuio la chama,mtonyaji alijibu kifupi ni kipi alichowahi kufanya ZZK kikafika mwisho na kufanikiwa.Mods msituzibe midomo kuhusu ZZK

Zitto hawezi cheza ngoma ya kihafidhina kamwe...povu tu limekutoka mkuu
 
Kwa wana historia jamani, hebu tukumbusheni kauli mbiu ya kivita ya Shaka Zulu
 
Zitto hawezi kuomba msamaha hana hulka ya kujishusha ni mfano wa watu wanaodhani wako sahihi wakati wote.

Zito akiomba msamaha mimi nitanunua bendera za matawi yote ya chadema dar, hiyo ni kama kuotesha mchicha jangwani
 
Wakuu kuna tetesi zimenifikia jioni hii toka kwa mtu wa karibu na Mh.Zitto,kuwa aliyekuwa Kamanda kabla ya kupokonywa vyeo,ameandika barua nzito kwnda kwa katibu wake akiomba msamaha.Mtonyaji huyo nikamuuliza kuhusu tetesi kuwa Zitto anajiandaa kufanya mikutano kinyume na zuio la chama,mtonyaji alijibu kifupi ni kipi alichowahi kufanya ZZK kikafika mwisho na kufanikiwa.Mods msituzibe midomo kuhusu ZZK

Hapo sawa, akiomba Msamaha na Kukiri Makosa yake, somehow Makamanda 2naweza Kumwelewa Kuwa yawezekana Kajitambua Upuuzi wake wa Miaka Kadhaa, ni Maoni yangu tu lakini. NIPO MWANZA MJINI.
 
Zitto hawezi kuomba msamaha hana hulka ya kujishusha ni mfano wa watu wanaodhani wako sahihi wakati wote.

Ur right na hii tabia uenda ilitengenezwa katika makuzi yake ya toka utotoni .na tabia hii uwapata sana watoto waliolelewa na mzaza moja haswa wa upande mwanamke huwaga na kiburi sana.any way ingawa sijui kama alilelewe hivyo.ni swala la kuchunguza
 
hahahahahahahaha sixgatessssssssssssssss. sijawahi kuona mwanaume wa ajabu kama huyu jamaa. eti natoa masaha ishirini na nne nini nini sijui kisipofanyika nafanya nini ni nini hahahahahahahah
 
Kama atakuwa amefanya hivyo atakuwa amekosea sana na ndiyo maana inabaki kuwa tetesi!!

Ahsante kwa taarifa.
 
hahahahahahahaha sixgatessssssssssssssss. sijawahi kuona mwanaume wa ajabu kama huyu jamaa. eti natoa masaha ishirini na nne nini nini sijui kisipofanyika nafanya nini ni nini hahahahahahahah
Ndugu yangu sangara zamani tuliamini na ndivyo ilivyokuwa wachawi walikuwa wazee tu sikuhizi hata vijana usishangae sana
 
Namwomba Msando Albert aje hapa athibitishe au ZZK, au mpambe anayeaminika kutumwa na ZZK. Zaidi ya hapo kwasababu ZZK ana ID yake MoDs verify au futa huu uzi.
 
Kweli Maccm hamuwezi kuzibwa midomo. Mmeona nyota yenu imefifia mnaanza kuiwasha tena. Mnafikiri kuwa CDM tuna shida na mtu? Kwetu Chama kwanza mtu kesho.
ZZK hajanyimwa kuandika barua, aende hata TBCCM akapewe kipindi kule cha kujielezea, hatuna shida naye. Ajiunge upya hatuna shida naye, lakini, hapati ushirika tena humu. Hakuna kiongozi wa kubishana naye. Amemwona Shibuda? Nani anahangaika na ubunge wake? Tupa kuleeee.
ZZK is no longer an issue to us

Alikuwa ana-test kina cha mto kakuta makamanda wako bize na kanda zao hawana habari naye.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom