Zitto aandika barua CHADEMA kuomba msamaha

Zitto aandika barua CHADEMA kuomba msamaha

Status
Not open for further replies.
Mimi ni mmoja wa watu waliotaka Zito afukuzwe, lkn kama ameomba msamahani basi arudishwe kundini. Hapa Busara za Dr Slaa na historia yake ya upadre lazima ipimwe. Mtu akitubu anasemehewa hata km dhambi zake ni kubwa
 
Hahahahaha
bavicha mnajidanganya sana.
Zitto aombe msamaha kwa kosa gani?

Wakuomba msamaha ni mbowe kwa kula pesa za mafisadi na kuuza jimbo.
 
mimi ni mmoja wa watu waliotaka zito afukuzwe, lkn kama ameomba msamahani basi arudishwe kundini. Hapa busara za dr slaa na historia yake ya upadre lazima ipimwe. Mtu akitubu anasemehewa hata km dhambi zake ni kubwa

hahahaha hizi ni ndoto.
 
Leo mbona mapema sana?. April mosi bado miezi 2!.
Aombe msamaha kwa kosa gani?.
Pasco

mkuu P,anaweza kuwa amepima mzuka wa baraza kuu akajua itakula kwake.akapima pia fomesheni ya cdm,akakuta ni 4 4 2,M4C-OPD inaweza inaweza kuwa imemkatisha tamaa
 
Hizi tabia za kujitungia hadithi, haraka haraka mna-cast nameless characters wanaobeba dhima zenye lengo la kubrudisha jamvi lakini hazina hata chembe ya ukweli kila kukicha zinazidi. Hii ni alama ya obsession, ambayo inawasumbua vijana wengi wa chadema.

Mkuu tunashukuru kwa hekaya yako hii, Zitto sio mwepesi hivi, we ve pledge for allegiance kuwa vita iliyopo ni ya kudai haki, vita dhidi ya wanademocrasia na wahafidhina, itabakia hivyo.

Vifaranga kaeni at the back, then watch our move mna muda mfupi katika limelight, but our political future is soo bright.
 
Ila watu wa Kigoma ni wanajifanyaga wabishi.
Yakiwafika shingoni wanaomba samahan kwa magoti na machozi.
Reffer Kafulila na Mbatia
 
Namwomba Msando Albert aje hapa athibitishe au ZZK, au mpambe anayeaminika kutumwa na ZZK. Zaidi ya hapo kwasababu ZZK ana ID yake MoDs verify au futa huu uzi.

Msando ni Personal Assistant wa Zitto? au ni mwenzi wake?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom