Zitto aandika barua CHADEMA kuomba msamaha

Zitto aandika barua CHADEMA kuomba msamaha

Status
Not open for further replies.
Isije akarudishwa akaanza kutamba tena kuwa yeye ni zaidi ya CHADEMA!Ila kwa hulka yake sidhani kama atafanya hivyo.Na wale washauri wake walikuwa wakimdanganya kuwa yeye ni zaidi ya CHADEMA wako wapi?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Naamini Zitto kwa akili yake ndogo(narrow, jinga) akirudishwa baada ya muda atakuja kusema yeye ni zaidi ya CDM.
Jiulize alitoka wapi na ni nini alichokuja kukifanya wakati chama hakijafikia hata 60% target iliyokusudiwa??
Hakafai haka katoto .
 
Last edited by a moderator:
mkuu ruttashobolwa jqna nimemuona na kumikia heche kwenye chanel moj ya tv kwenye taarifa ya habari akisema yeyote akikosea ndani ya chadema anafukuzwa tu,nilicheka sana!

Unajua ni kwa nini nilicheka?!

Mbowe anatuhuma ya kuhongwa pesa na mkono n kisha akaenda kuikopesha chadema!

Mbowe anatuhuma ya kusafiri na kimada nje ya nchi,na hajakanusha hilo?!

Mbowe anatuhumiwa kupewa pesa kiasi ch shilingi milioni 100 kutoka ccm kwa ajili ya kampeni!

Mbowe anatuhumiwa na chadema kumsifia kikwete kwamba ni rais mzuri amepel3ka barabara ya lwmi na kusisitiza kwwmba hakun rais kama kikwete wakati katibu wake slaa msimamo wake na wa chama ni kutomatambua kikwete kama rais!!!

Slaa anatuhumiwa kuib mke wamtu na kumuweka kimada na kisha kuzaa nae mtoto anayeitwa junior hivi sasa!!

Slaa anatuhumiwakuchota fedha zachamq zaidi ya shilingi milioni 100 n kujikopesha na ksuhindwa kuzirudisha!

Mbona hawajachukuliwa hstua yoyote ikiwa ni pamoja na hata kuhojiwa tu?!

mkuu mbowe na dr slaa wanaogopwa sana hawagusiki kabisa wao ni miungu ya chadema.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na kuwachafua viongozi wetu bado nguvu ya umma ipo nyuma yao. Amebaki ameduwaaa huyu mhaini.
Achana naye msaliti huyo hatumtaki amehujumu vya kutosha
 
naombeni wanademokrasia wote mupuuzie hii taarifa ni ya kutungwa, haina ukweli wowote.

mkuu hii ni taarifa ina lengo la kusahaurisha kuwa mbowe alikula pesa za mafisadi na ana piga nao madeal.
 
Wakuu kuna tetesi zimenifikia jioni hii toka kwa mtu wa karibu na Mh.Zitto,kuwa aliyekuwa Kamanda kabla ya kupokonywa vyeo,ameandika barua nzito kwnda kwa katibu wake akiomba msamaha.Mtonyaji huyo nikamuuliza kuhusu tetesi kuwa Zitto anajiandaa kufanya mikutano kinyume na zuio la chama,mtonyaji alijibu kifupi ni kipi alichowahi kufanya ZZK kikafika mwisho na kufanikiwa.Mods msituzibe midomo kuhusu ZZK

Ooh! Glory to God.

Kama jambo hili ni la kweli, basi litampa heshima Zitto na viongozi wa CDM pia. Bado Zitto ni kijana wao na anaweza kuwa kiongozi mzuri mbele ya safari. Only kwamba anahitaji mentor mzuri. Mtoto akijichafua humkati makalio, unamuosha, unampaka mafuta mazuri na kumpa nguo nyingine. Pia unamuelekeza namna ya kufanya siku nyingine.

Aidha viongozi wa CDM wana wajibu wa kurekebisha madhaifu yaliyojitokeza kwenye chama chao.

Mwisho Kama kweli Hilo litatokea basi ni vizuri WAPAMBE wote wawe wa Zito au CDM n.k WAPIGWE MARUFUKU KULIONGELEA JAMBO HILO.

Lizikwe rasmi KICHAMA. All the best.

Queen Esther
 
Mkuu unapata faida gan kujitungia hadthi zisizo na hata chembe ya ukweli?? Hapo chadema ni nan anaesema ukweli?

Chadema mnachezea hela zenu binafsi kwenda kupambana na kivuli cha zito mikoani, nawauliza tena mkipewa nchi mtazionea huruma hizo fedha za walipa kodi??

Hiki chama kinatumia nguvu kubwa na kinang'a ng'ania kuwa karibu na watu basi kina tatizo watu hawawapendi.

Mkuu sixgates ukitaka tu kujua kwamb huyu OKW BOBAN SUNZU hana akili kwanza angalia jina lake?!

Pili angalia mabandiko yake humu ndani!

Huyu jamaa ni tatizo kubwa sana mara nyingi hata kwenye jujwaa la spoti ni msumbusu,inaonekana akili yake ndogosana na nadhani atakuwa kijakazi wa mama Junior!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu kuna tetesi zimenifikia jioni hii toka kwa mtu wa karibu na Mh.Zitto,kuwa aliyekuwa Kamanda kabla ya kupokonywa vyeo,ameandika barua nzito kwnda kwa katibu wake akiomba msamaha.Mtonyaji huyo nikamuuliza kuhusu tetesi kuwa Zitto anajiandaa kufanya mikutano kinyume na zuio la chama,mtonyaji alijibu kifupi ni kipi alichowahi kufanya ZZK kikafika mwisho na kufanikiwa.Mods msituzibe midomo kuhusu ZZK

Hata shetani alipozidiwa alijifanya malaika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom