Zitto aandika barua CHADEMA kuomba msamaha

Zitto aandika barua CHADEMA kuomba msamaha

Status
Not open for further replies.
Habari za tetesi zina 'bore' tunataka habari za uhakika. Mkuu jipange upya.
 
Zitto ni kiboko ya chadema.

Mkuu Ruttashobolwa jqna nimemuona na kumikia Heche kwenye Chanel moj ya tv kwenye taarifa ya habari akisema yeyote akikosea ndani ya chadema anafukuzwa tu,nilicheka sana!

Unajua ni kwa nini nilicheka?!

Mbowe anatuhuma ya kuhongwa pesa na Mkono n kisha akaenda kuikopesha chadema!

Mbowe anatuhuma ya kusafiri na kimada nje ya nchi,na hajakanusha hilo?!

Mbowe anatuhumiwa kupewa pesa kiasi ch shilingi milioni 100 kutoka ccm kwa ajili ya kampeni!

Mbowe anatuhumiwa na chadema kumsifia Kikwete kwamba ni rais mzuri amepel3ka barabara ya Lwmi na kusisitiza kwwmba hakun rais kama Kikwete wakati katibu wake Slaa msimamo wake na wa chama ni kutomatambua Kikwete kama rais!!!

Slaa anatuhumiwa kuib mke wamtu na kumuweka kimada na kisha kuzaa nae mtoto anayeitwa Junior hivi sasa!!

Slaa anatuhumiwakuchota fedha zachamq zaidi ya shilingi milioni 100 n kujikopesha na ksuhindwa kuzirudisha!

Mbona hawajachukuliwa hstua yoyote ikiwa ni pamoja na hata kuhojiwa tu?!
 
Last edited by a moderator:
wewe kisebengo Zitto sio wa kumwamini anaweza kukuuza anytime.hujapata somo kwa Mtela,Shonza nk

Mkuu unapata faida gan kujitungia hadthi zisizo na hata chembe ya ukweli?? Hapo chadema ni nan anaesema ukweli?

Chadema mnachezea hela zenu binafsi kwenda kupambana na kivuli cha zito mikoani, nawauliza tena mkipewa nchi mtazionea huruma hizo fedha za walipa kodi??

Hiki chama kinatumia nguvu kubwa na kinang'a ng'ania kuwa karibu na watu basi kina tatizo watu hawawapendi.
 
wafuasi wake wanasema. Zitto ni gogo la woodi haliishi harufu....
sasa akiomba msamaha wao watajisikieje? wataficha wapi sura?
CC : sixgates &co

Hata chadema nao ni wapuuzi, kimemuandikia Zitto makosa 11, siku zote mpaka linafika kosa la tatu wlikuwa wap?? Hatuwezi kusonga mbele kama tutaishi maisha ya kuviziana. Mbowe anataka kuwa Ayatola khoumen pale chadema but we are going to bring him down, this saga is soo bitter bt sweet in a way. Either sisi ama ninyi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unapata faida gan kujitungia hadthi zisizo na hata chembe ya ukweli?? Hapo chadema ni nan anaesema ukweli?

Chadema mnachezea hela zenu binafsi kwenda kupambana na kivuli cha zito mikoani, nawauliza tena mkipewa nchi mtazionea huruma hizo fedha za walipa kodi??

Hiki chama kinatumia nguvu kubwa na kinang'a ng'ania kuwa karibu na watu basi kina tatizo watu hawawapendi.

jibu swali,unajua kama Zitto alipata kuaminiwa na KAFULILA,MCHANGE,JULIANA,MTELA nk.wakaenda ye akabaki!Shauri yako
 
Wamemuomba aandike barua kunusuru chama. Hahahhahahahahahah
 
Bavicha wanahangaika sana aombe msamaha kwa kosa gani wakati kesi ipo mahakamani.
 
Mimi ni mmoja wa watu waliotaka Zito afukuzwe, lkn kama ameomba msamahani basi arudishwe kundini. Hapa Busara za Dr Slaa na historia yake ya upadre lazima ipimwe. Mtu akitubu anasemehewa hata km dhambi zake ni kubwa

Kwani kupimo cha msamaha ni kutofukuzwa tu?
 
Dah! Ni Zitto tena! Kivuli chake kinawatokea watu mara kwa mara! kwi! kwi! kwi!
 
Hizi tabia za kujitungia hadithi, haraka haraka mna-cast nameless characters wanaobeba dhima zenye lengo la kubrudisha jamvi lakini hazina hata chembe ya ukweli kila kukicha zinazidi. Hii ni alama ya obsession, ambayo inawasumbua vijana wengi wa chadema.

Mkuu tunashukuru kwa hekaya yako hii, Zitto sio mwepesi hivi, we ve pledge for allegiance kuwa vita iliyopo ni ya kudai haki, vita dhidi ya wanademocrasia na wahafidhina, itabakia hivyo.

Vifaranga kaeni at the back, then watch our move mna muda mfupi katika limelight, but our political future is soo bright.

Kwa majibu hay a tu haunishawishi kwamba una uelewa km mnavyojitamba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom