Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,573
wakuu kuna tetesi zimenifikia jioni hii toka kwa mtu wa karibu na mh.zitto,kuwa aliyekuwa kamanda kabla ya kupokonywa vyeo,ameandika barua nzito kwnda kwa katibu wake akiomba msamaha.mtonyaji huyo nikamuuliza kuhusu tetesi kuwa zitto anajiandaa kufanya mikutano kinyume na zuio la chama,mtonyaji alijibu kifupi ni kipi alichowahi kufanya zzk kikafika mwisho na kufanikiwa.mods msituzibe midomo kuhusu zzk
nani kakudanganya kuwa una hitaji kibali cha chama kufanya mikutano?
Kibali cha mikutano kinaombwa polisi kwaajili ya usalama.
Hii nchi ni huru kabisa.
Bavicha ni kiwanda cha uongo.