Mugerezi,
Mimi mtazamo wangu juu ya mkutano huo ni tofauti kidogo. Na hapa I am just reading between the lines. The fact kwamba Mbeki amechaguliwa azungumze na pande zote---upinzani na serikali ya Zimbabwe---ni dalili njema. Kumbuka zamani tulikuwa na kanuni (OAU) ya kutoingilia mambo ya ndani ya nchi mwenzako. Sasa hiyo kanuni imepitwa na wakati, and that is a good thing. Hatuwezi kukaa kimya tena wakati jirani anampiga mwanae au mkewe. Hatuwezi kukaa kimya wakati mawakala wa Mugabe wanaendesha mkong'oto dhidi ya wapinzani. And that is a good thing.Ukijumlisha maneno ya Mwanawasa na hatua ya kuteuliwa Mbeki, ni dhahiri kuwa Mugabe aliwekwa kiti moto, albeit diplomatically.