Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

Swali zuri sana ilo mwanakijiji, nina hamu sana ya kujua nini kinachoendelea baada ya ziara ya kikwete na huu mkutano wa SADC maana wakati mwingine viongozi wa Kiafrica wako two faced, kwa kupenda kuridhisha wazungu wanaweza kugeuka wtv they decided behind closed doors(kama walikubaliana kumback Mugabe)
 
Chiluba alianguka au alimaliza term zake mbili kwa mujibu wa katiba ya Zambia?

Maana hata Mwanawasa pia anamnyanyasa Kaunda tena kuliko hata Chiluba?
 
ikiwa Mugabe ni weak, na un-popular, kama tunavyoelezwa kwanini chama chake kimemteua kugombea? hivi ZANU-PF hawana nia ya kushinda uchaguzi? au Mugabe ameiba mpaka kura za kamati kuu ya ZANU?

nadhani habari za vyombo vya magharibi zinatuaandaa kisaikolojia kutegemea matokeo fulani Zimbabwe. mfano, walishaanza kuspeculate majina ya watakao-replace Mugabe, na sisi wananchi tukaliamini hilo. sasa kamati kuu imempitisha tena Mugabe tunashangaa.
 
Strong point mzee Joka, na ndio maana nimesema huko nyuma kuwa Mugabe kukaa sana madarakani ni tatizo la wananchi wa Zimbabwe sio letu mataifa ya nje!
 
kuna exit mbili kwa mugabe kuondoka madarakani.

one,ni yeye mwenyewe kusema anang'atuka[jambo ambalo sitashangaa]kutokana na ushauri wa weusi wenzake,ndani na nje ya zimbabwe.

two,ni yeye kuondoshwa madarakani kwa mapinduzi chamani kwake au na baadhi ya watu kwenye admin yake.

upinzani hawawezi si kwa mtutu wala kura kumuondosha huyu "mzee wa watu".hali ndivyo inavyoonekana!

asije ondoka kwa aibu tu,aliifanyia mengi zimbabwe!
 
ikiwa Mugabe ni weak, na un-popular, kama tunavyoelezwa kwanini chama chake kimemteua kugombea? hivi ZANU-PF hawana nia ya kushinda uchaguzi? au Mugabe ameiba mpaka kura za kamati kuu ya ZANU?

nadhani habari za vyombo vya magharibi zinatuaandaa kisaikolojia kutegemea matokeo fulani Zimbabwe. mfano, walishaanza kuspeculate majina ya watakao-replace Mugabe, na sisi wananchi tukaliamini hilo. sasa kamati kuu imempitisha tena Mugabe tunashangaa.

Samahani Joka Kuu, lakini kama kutoka ndani ya moyo wako unaamini kuwa kuteuliwa kwa Mugabe kugombea tena kunaonyesha alivyo strong nina tatizo na your judgement.
Suala la kuteuliwa linahitaji wapambe wawili watatu ambao wananufaika na Mugabe kuwa madarakani. Kwani M7 alibadilisha vipi katiba? Obasanjo naye alikuwa anataka kufanya yale yale. Je ni kwa sababu watu hawa ni popular mno?
Kwa Afrika chama tawala chochote kushinda uchaguzi si suala la mgombea bali ni matumizi ya dola. Mugabe, au Grace au nani wakigombea as long as vuombo vya dola vinawaunga mkono ni wazi ZANU-Pf itapeta.
 
Tabasamu,
mimi siyo mkamilifu, na kuna uwezekano kwamba nina mushkeli katika judgement yangu. ni kwa msingi huo basi, nipo hapa kusahihishwa, kuelekezwa, na kusaidiwa.

ningependa Mugabe aondoke kwasababu naamini nchi nzima itapata ahueni. wazimbabwe pamoja na majirani zao ktk SADC watapumua. unajua Raisi wetu alisimamisha ziara yake ya kukagua maendeleo Arusha na kukumbilia Harare kuzungumza na Mugabe!

wakati kila mtu anafikiri kwamba Mugabe must go, kwanini kamati kuu ya ZANU-PF wanaendelea kumngangania?

nakubaliana na wewe kwamba vyama tawala hushirikiana na vyombo vya dola katika kuhujumu uchaguzi. lakini, uchaguzi na kura zinazonistaajabisha mimi ni za KAMATI KUU ya chama cha ZANU-PF.
 
Tabasamu,
mimi siyo mkamilifu, na kuna uwezekano kwamba nina mushkeli katika judgement yangu. ni kwa msingi huo basi, nipo hapa kusahihishwa, kuelekezwa, na kusaidiwa.

ningependa Mugabe aondoke kwasababu naamini nchi nzima itapata ahueni. wazimbabwe pamoja na majirani zao ktk SADC watapumua. unajua Raisi wetu alisimamisha ziara yake ya kukagua maendeleo Arusha na kukumbilia Harare kuzungumza na Mugabe!

wakati kila mtu anafikiri kwamba Mugabe must go, kwanini kamati kuu ya ZANU-PF wanaendelea kumngangania?

nakubaliana na wewe kwamba vyama tawala hushirikiana na vyombo vya dola katika kuhujumu uchaguzi. lakini, uchaguzi na kura zinazonistaajabisha mimi ni za KAMATI KUU ya chama cha ZANU-PF.
Who is mugabe in ZANU-PF?
Kwanini tuhangaike kujiuliza ZANU-PF Kukubali kumpitisha na tusihangaike kujiuliza hivi wazimbabwe Leo hii wakipewa nafasi huru ya kuulizwa wanamuhitaji Mugabe ni wangapi wanaweza kuja hapa kutueleza kwamba wazimbwabwe wote au zaidi ya Nusu WATASEMA BADO WANAMUHITAJI Mh.Huyu?Huyu Mh. Kama angekuwa na chembe ya Busara na Kuthamini Maisha ya Raia wake angeomba msamaha na kuamua hata kuomba Hifadhi Nchi yeyote jirani akamalizie maisha yake huko na kuwapa matumaini mapya wananchi wake!
 
Hivi karibuni nilikuwa nikipata busara za mzee wangu mmoja mwanazuoni mkubwa wa kiafrika, nikammuliza mawazo yake kuhusu suala la Mugabe na Zimbabwe. Nilimuuliza hivi nikijaribu kutofautisha tatizo la Zimbabwe na tatizo la Umugabe..

Kabla hajanipa jibu alinidokeza kidoko kuhus maongezi yake na Mugabe mwanzoni mwa sakata la kurudisha ardhi kwa wazimbabwe halisia (sipendi tumia neno wazalendo kirahisi) na jinsi gani alivyomtahdharisha mzee mwenzake kuhusu madhara ya njia iliyotumika na Mzee Mugabe akajitetea barabara.

Kuhusu suala la nini na nani wa kufanya kuwasaidia wazimbabwe katika changamoto (sipendi ita janga) waliyonayo, yeye anaamini ni Afrika ya Kusini tu ndio wanaweza kumshutisha Mugabe kwani ukitowa uhusiano wa maalumu na Tanzania, JK bado ni mdogo kidiplomasia na ni mapema mno kwake kujitwika jukumu hilo.

Hii ikanikumbusha kuwa JK aliwahi kusema kuwa dawa ya Mugabe na Zimbabwe anaijua. Na haya aliyasema hata kabla hajawa rais wetu.

Suala linakuja, dawa hiyo inaendana na uwezo wa kuchukua njia sahihi itakayoweza sio tu kuliondoa suala la Umugabe lakini pia kuwasaidia wazimbabwe wote kwa pamoja? Je Mzee wetu Mugabe ambaye kila siku zinavyokwenda anakuwa na jeuri na dharau ya ajabu kwa kila mtu isipokuwa mkewe mrembo Grace anaweza kumsikiliza bwanamdogo JK?

Na kama Tanzania ama rais wetu hana ubavu, Afrika kusini ya Mbeki inayothamini stability yake kiuchumi na inayokumbwa na tishio la U-Zuma anaweza kufumba macho na kumvaa Mugabe kama ambavyo wengi wanadhati ndio njia iliyobaki.

Na ni jinsi gani hawa wawili, Mbeki ama Jk wanaweza kumbana Mzee Mugabe bila ya wao kuonekana wanawakilisha maslahi ama maelekezo ya maadui wa maslahi ya Waafrika (USA na UK)?

Haya yote yanahitaji majibu ambayo hata mzee wangu msomi mkubwa nanihii hakuweza kunijubu kwa kweli. haya ni maswali ambayo wote hapa tujitahidi kuyajibu kama tunataka kuwasaidia ndugu zetu wa Zimbabwe ambao pia hatuna uhakika kama wanahitaji huwa msaada wetu.

Mimi nina njia ya mkato lakini sina uhakika itaibua changamoto gani nyingine endapo itatekelezwa. Kufanya yale ambayo tuna wataalamu wa kutosha kutekeleza....ondoa udhia....nadhani naeleweka.

Tanzanianjema
 
mzee mbeki ataiweza hiyo kazi [kwanza aliicha kiporo sijui!]. Siunajua kwamba until recently [sina data latest] ZIM walikuwa wakipata misaada ya kiuchumi [mafuta,chakula,n.k] toka ZA. sasa, hiyo ni moja ya fimbo au silaha ya mbeki.

jk kashafanya part yake na ukiniuliza nitakwambia kaifanya vizuri tu. sisi wabongo hatuna uwezo kama walionao ZA kumbana mugabe.
 
Vyama..vyote vya upinzani!!!!
nashangaa hata hamuonyeshi usirikiano!!!
hii Yote Inaonyesha ni jinsi gani Mlivyo kua hamna to fauti na vyama tawala!!kote Africa!!

Huu ndio ulikua wakati wa kumuunga mkono Changilai!!
Chadema- CUF UDP Nawengine wote!! sasa Hamueleweki!!.....
Na wakati wote Hua amueleweki...
Mtashidwa Mapaka Mtakoma!!...

Ni-vizuri Kua wananja wakati fulani!!
 
Tanzanianjema,
Hiyo dawa...ndiyo maana RO alienda nini? Sasa isije ikawa ni dawa ya kumkinga zaidi...duuh...
 
Police deploy for Zimbabwe strike
Security forces have been deployed in Zimbabwe as unions started a two-day strike in protest against the country's worsening economic crisis.
Police blocked roads into the capital, Harare, and military helicopters were seen patrolling the city.

But the strike has so far had a slow start. Many workers cannot afford to lose pay and are instead going to work.

The capital was slightly quieter than usual, but many shops and offices were open in the central business district.

'Only solution'

Zimbabwe's main trade union, the Congress of Trades Unions (ZCTU), says it called the general strike over the government's failure to respond to the economic meltdown and was pushing for wage rises.

More than 80% of Zimbabweans live in poverty and inflation is running at more than 1,700% - the highest in the world. .........................................

_42758333_tmap.jpg

Mr Mbeki said he would not cut power supplies to Zimbabwe

http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/6521359.stm


What a life?
 
Gigo,

Nimekusoma. Tunafanya kwenye cycle zetu za kimataifa. Wakati mwafaka ukifika tutatoa matamko kwenye media.

Lipumba alishasema msimamo wake- yeye alimshambulia mugabe moja kwa moja. Msimamo wa Mbowe nadhani umeusoma kwenye makala yake. Lakini la MDC per se, has a lot to be desired

JJ
 
Another day another anti-Mugabe propaganda...its stupid and it will backfire BACK to British government especially at times when the HOME OFFICE is overuling the FOREIGN OFFICE on ZIMBABWE...as well as Darfur
 
I have been following contribution from some JAMBO FORUM members and i have concluded there is a big problem ...which Brother MALCOLM X called SLAVE MENTALITY

Fact I know is that Robert Mugabe won the last election. As I've said before, I pay no attention to EU observers and MDC sour grapes bleating that election was rigged. Not because I am pro-Mugabe as some in here have suggested. I AM NOT. as far as I know there were other observers from the SADC communities who proclaimed the elections to be free and fair. The judgment of BLACK AFRICAN countries is good enough for me. I wish it were good enough for other people.

Let me also say that there may be various reasons for people to express dissatisfaction with Mugabe. People are allowed to express dissatisfaction with their politicians. I wonder how many people want to see the back of BLAIR or BUSH? But this shouldn't detract from the real issue:

Zimbabwe's majority were land hungry due to colonial theft. Zimbabwean leader is in the process of addressing this issue. The issue is such that there is no way he can gain support from western countries. ANY 3rd world leader who tries to address poverty will come up against western countries/businesses who own/stole that wealth. Simple.

Other side salad arguments like Mugabe is killing his own peeps or ‘why is he doing it now' or ‘the way it's being done is wrong' etc are exactly that; side bar issues. Like the way the west wants us ALWAYS to focus on the ‘corruption' of our leaders as if that is the main and only thing keeping us poor. As if a leader giving land to reward ministers or soldiers is directly stopping the land hungry majority from getting land and as if they don't engage in such behavior themselves. How many ministers and soldiers are there in a country anyway to find that they have run out of land to give to the indigenous peeps? Unless of course they follow the white man model of land ‘reform' i.e being the minority in the country yet owning the majority of the land. If anyone has real evidence of this being practiced in Zim then please share it but I've not seen anything credible in this regard on UK TV or newspaper so maybe some of you intrepid reporters out there can unearth the truth.

In an ideal world we would be discussing different models of land reform, comparing Zim to India for example and discussing the sort of agricultural expertise required. If blair/bush had any long term strategy beyond holding Africa down then they would be exporting their own agricultural expertise/business to Zimbabwe like Asian countries (free of colonial hang up in Zimbabwe) are doing.

Like I said before I am not pro-Mugabe. I am pro-African and i thank MWALIMU for this (even though i disagreed with him on several issues) But it seems to me that in affairs such as this, the west holds sway to the extent that it is the African leader who needs to be defended. Which side is holding on to wealth it stole from Africa? Which side is trying to intervene in the affairs of another country? Which side reneged on the Lancaster House Agreement?

Finally, even IF Mugabe is guilty of some of the crimes he is accused of then it is a matter for the Zimbabwean people to sort out. Zimbabweans are not fools. I am not saying that no one should be allowed to comment on where they think a leader is going wrong but jamani, LOOK AT THE TIMING FOLKS. Who is in charge of this current agenda of MUGABE MUST GO? Who brought it up in the first place? Tell me seriously, if the western media had ignored the white farmer's ‘plight' would anyone be giving a monkeys about us poor Zimbabwens? Sometimes I think it's important not to jump on the bandwagon EVEN if your criticisms are fair or 100% accurate. The current hoo ha over Zim is not part of an agenda for improving the situation of African people so why even take part?

Guys we are talking about a Propaganda led by a country that has refused to apologise for Slavery that took part only 200 years ago but wont stop bombarding us on how the Holocaust was bad. A country that feels they are helping Tanzania by forcing us to embark on unwanted privatization,a country that thinks that we BLACK AFRICANS are a bunch of stupid people while they still holed up in the RULE BRITANIA hype
 
Multilateralism can be a prescription for paralysis and ineffectiveness, but unilateralism can create opposition that greatly increases the costs of action.
 
Dr WHO: why have you persistently refused to answer this simple question: How does the land redistribution programme justify the torture and killing of innocent people? Should we praise Mugabe for barring indpendent media, political rallies, changing the constitution so he stays further, beating his opponents, etc etc? Couldnt he have done what you say without at the same time killing democratic institutions and people? These are simple questions, are they not?
 
Back
Top Bottom