Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,898
Nimepata habari hizi kwa masikitiko makubwa kwamba Kiongozi mkubwa sana wa Upinzani Zimbabwe kapigwa na kudhalilishwa kufikia sasa kutishia maisha yake kisa madaraka .
Nampa pole ni sana yeye na MDC na Familia yake . Hapa chini naomba msaada wetu tafadhali . Je ni nini mahusiano ya ZANU PF na CCM ama nini tofauti zao ikifikia wakati wa madaraka na kunyamazisha Wananchi ?
Last edited by a moderator: