Kaka, ubaya wa Mugabe sasa hivi huko Zimbabwe hauhitaji kuhubiriwa na US au UK. Kila mzimbabwe anaujua isipokuwa aliye waziri wa serikali ya Mugabe na familia na ndugu zake wa karibu sana. Hebu jaribuni kuongea basi na hata wa Zimbabwe; piga simu kwa mtu yeyote ZImbabwe. Uzuri kupiga simu Zimbabwe ni very cheap.
Jamani, tutaacha lini kuwalaumu wazungu kwa matatizo yetu? Halafu hawa wazungu kwa nini wanakuwa wabaya tu pale wanapotukosoa lakini hatuachi kutega mikono yetu kwao? Haya mashamba aliyoyachukua Mugabe aliyapeleka wapi? Kwa nini uzalishaji ulishuka? Kwani hawa US na UK walienda huko wakawataza wananchi wasilime? Hawa US na UK ndio wamepeleka njaa Zimbabwe? Hivi, ni hawa US na UK wanaomwambia Mugabe awape waduasi wake tu mahindi na awanyime wale ambao wanampinga? Hivi ni US na UK waliowaambia wananchi wamchukie Mugabe? And, kwa nini ni Mugabe, ina maana hakuna mtu mwingine anayekubaliana na sera za chama chake na anayeweza kuzisimia zaidi yake? Kwa nini mtu mmoja aruhusiwe kuiharibu nchi nzima kwa kiasi kile kisa aliwanyang'anya wazungu mashamba? I mean, kwa nini hata sisi ambao tunafikiri ni kizazi kipya katika bara letu tunashindwa kukubali kuwajibika kwa kushindwa kwetu kutekeleza wajibu wetu?
Breaking news kutoka Zim zinasema BOB amepigwa chini ni vigumu hata kuiba kura, hata waziri wa ulinzi naye ameangushwa kwenye ubunge kuna uwezekano kuwa Tsavingirai akachukua ikulu. Kitila kama hii ni kweli naona Mungu atakuwa amesikia maombi!
Kaka, ubaya wa Mugabe sasa hivi huko Zimbabwe hauhitaji kuhubiriwa na US au UK. Kila mzimbabwe anaujua isipokuwa aliye waziri wa serikali ya Mugabe na familia na ndugu zake wa karibu sana. Hebu jaribuni kuongea basi na hata wa Zimbabwe; piga simu kwa mtu yeyote ZImbabwe. Uzuri kupiga simu Zimbabwe ni very cheap.
Jamani, tutaacha lini kuwalaumu wazungu kwa matatizo yetu? Halafu hawa wazungu kwa nini wanakuwa wabaya tu pale wanapotukosoa lakini hatuachi kutega mikono yetu kwao? Haya mashamba aliyoyachukua Mugabe aliyapeleka wapi? Kwa nini uzalishaji ulishuka? Kwani hawa US na UK walienda huko wakawataza wananchi wasilime? Hawa US na UK ndio wamepeleka njaa Zimbabwe? Hivi, ni hawa US na UK wanaomwambia Mugabe awape waduasi wake tu mahindi na awanyime wale ambao wanampinga? Hivi ni US na UK waliowaambia wananchi wamchukie Mugabe? And, kwa nini ni Mugabe, ina maana hakuna mtu mwingine anayekubaliana na sera za chama chake na anayeweza kuzisimia zaidi yake? Kwa nini mtu mmoja aruhusiwe kuiharibu nchi nzima kwa kiasi kile kisa aliwanyang'anya wazungu mashamba? I mean, kwa nini hata sisi ambao tunafikiri ni kizazi kipya katika bara letu tunashindwa kukubali kuwajibika kwa kushindwa kwetu kutekeleza wajibu wetu?
Lindie Whiz - New Zimbabwe said:
Last updated: 03/30/2008 13:05:37
A FACTION of Zimbabwes opposition Movement for Democratic Change (MDC) led by Arthur Mutambara appeared on the verge of ceding control of the second largest city of Bulawayo to a rival faction led by Morgan Tsvangirai, according to a New Zimbabwe.com projection from early election returns Sunday.
Only David Coltart (former Bulawayo South MP) appeared set to be returned to parliament as a senator for Khumalo, with most heavyweights such as Professor Welshman Ncube and Gibson Sibanda down. Counting in the 12 Bulawayo parliamentary constituencies and six senate seats was expected to be concluded by breakfast Sunday.
The MDC-Mutambaras losses, however, appeared to be mitigated by projected wins in rural Matabeleland North and Matabeleland South notably Tsholotsho North, Bulima, Gwanda North, Gwanda Central and Binga. But Ncube and Sibandas loss will devastate the camp in a shock turn-around from what was generally predicted before voting began Saturday. Tendai Biti, secretary general of the Tsvangirai faction of the MDC declared victory in the early hours of Sunday in a national ballot which saw Zimbabweans queue to cast their ballots in local government, senatorial, parliamentary and presidential elections.Officials results are expected through-out the day Sunday.
A senior official in the Mutambara faction, conceding defeat, said: We have been wiped out. We are all speechless, stunned.
The MDC split into two factions in October 2005, with Ncube and Sibanda leading a break-away which took half the MDCs parliamentary party. Efforts to unite the two factions have failed. Ncube, in particular, staked his political career on this election by moving from his previous constituency, Bulawayo North, to challenge Khupe in Makokoba. Khupe is Tsvangirai's deputy.
Huyo Mzee kuondoka Ikulu itakuwa tabu ngoja tusubiri!
Anachokiogopa BOB labda sio aibu, kwa sababu mishipa yake ya aibu imekatika, sasa hivi anachoogopa kufanyiwa ni kile alichowafanyia wengine, maana akiimagine naamini hawezi hata kulala. Alipotuma watu wakampige Tsvangrai alisema Morgan asked for it, sasa what will happen when Morgan will say "BOB has been looking for it and has seen it coming for years" Babu anaweza kufa kwa ugonjwa wa moyo!
I wonder kama Debengwa yuko hai!
Uzuri Morgan amesema hakutakuwa na ulipaji kisasai na hakuna kuangalia nyuma. Amekaririwa akisema Zimbabwe haina nafasi ya kupoteza kwa ku-deal na akina Mugabe bali kurudisha heshima ya nchi. Hope he walks in his words.
Tsvangirai candidates sweep Bulawayo
Huyo Mzee kuondoka Ikulu itakuwa tabu ngoja tusubiri!
Following the presidential and parliamentary elections in Zimbabwe yesterday, bloggers are reporting that the situation in Harare is tense, in Bulawayo MDC supporters are celebrating (MDC candidate, Morgan Tsvangirai, has claimed victory) and all over the country there are rumours that Robert Mugabe has left the country for Mozambique