Zimamoto Updates

Wengine ni vigumu sana kunielewa but yawezekana mtanielewa hata mwakani.
Kuna mtu aliulizaa kwamba ''mbona hawajaweka kozi za hao waliofaulu usaili?'' watu walimponda kana kwamba kapotea njia but ukweli ni kwamba KUNA WATU WAMECHUKULIWA WALIOSOMA KOZI TOFAUTI NA ZILE ZILIZOTAKIWA, PIA KUNA KUNA WATU WAMECHUKULIWA WENGI SANA KULIKO KOZI ZINGINE NA KUNA KOZI AMBAZO ZILIORODHESHWA BUT HAKUCHUKULIWA MTU HATA MMOJA SABABU NI KWAMBA MSHIKA MKONO HAKUWEPO. NDUGU ZANGU,IACHENI TANZANIA IITWE TANZANIA.

Kama haipo haipo tu,hata ungekuwa na refa nae ni mdogo kwa kamisaa.
 
hapana,sikua na refa wala simjui yeyote wizarani na nimesoma Baed na nimeitwa
 
THOMAS EMMANUEL ... wewe ungea ukweli mbona jina lako hatulioni kwenye orodha ya watu 309 walioitwa kufanya usaili kiongozi...hebu nipe maelezo kidogo hapo mkuu.
 
Hawa wamewatoa wapi?...mbona mimi siwaoni kwenye orodha ya watu 309 walioitwa kwenye usaili?...hahahaha hii TZ anyway nilihitaji tu kueaonyesha mambo yanavyoenda.
1.Alhaji kimaro
2.Alinanuswe mwaisaka
3.Belgina W. Ndomba
4.Boniphace adhiri
5.Clementina p. Kihenche
6.Condrada nyoni
7.Deusdedith juma
8.Donald maganga
9.Edward j. Kakwele
10.Elautery josephati mremi
11.Elias p. Bundara
12.Ezekia kasenge
13.Hamad said
14.Hanafi a. Mkilindi
15..Isack k. Njombe
16.Isakwisa a. Mwakasangula
17.Joel mwakanyasa
18.Joseph elias
19.Josephine joseph
20.Kibona emmanuel

Wapo weng...waliobaki 20 nitawaanika hapahapa saa tatu asubuhi...najaribu tu kuutenga uongo.
 
ila neno la aliye juu litasimama kwa wale wasio na mtetezi
 
Bado nijiuliza haya majina wameyatoa wapi?....ni mwendelezo wa majina yale 20 yanaendelea mpaka 40...TZ TZ nakupenda na udumu muungano.

21.Castory willa
22.Faustin F. Mtitu
23..Jane Mayemba
24.Livingstone Fute
25.Lusajo Mboli
26.Malumbo Ngata
27.Mary Zilahulula
28.Maulo D. Kigahe
29.Melania Nyabwinyo
30.Michael M. Maganga
31.Mohamed Koppi
32.Mwamini Yahya Rufumbo
33.Neema Leonard
34.Peter C. Mtui
35.Raphael M. Simon
36.Rashid K. Rashid
37.Revocatus Budeba
38.Rick Nyalusi
39.Sharifa J. Sagamba
40.Thomas Emmanuel

Na huyu mwingine namuongeza anakuwa wa 41. YUSUPH NANYAMBO.

Tanzania nakupenda sana na nitakulinda na kukutumikia kwa moyo wangu wote Kalamu ya chuma.. KISHINDO.. MAWAZO UJENZI.. Gogadi...mpo hapo?
 
Last edited by a moderator:
JANJAWIDI baada ya yale majina 309 kuna rafki yangu alinambia kuna mwendelezo wa majina yametolewa kwenye gazeti kwa interview...je uliyaona?,usikute ndio hao 41 walipotolewa hebu wadau mliofanya usaili fungukeni bz hata kama ni watu kuchomekwa wasingewekwa 41 karibia nusu ya nafasi...
Kama ukithibitisha kwa hao walioitwa mara ya 2 hao watu hawakuwepo .....
Nyie mliokosa au wewe JANJAWIDI nenda wizarani pale mwone kati ya Waziri, naibu wake au katibu mkuu, huwezi kukosa msada kati ya hao wote then mueleze malalamiko yako/yenu ukiwa na reference kama madai ni ya kweli Kazi UTAPATA NA UTAKUA UMESAIDIA WENZAKO...
inawezekana huu mchezo wamefanya INTERVIEW PANELS, BAADHI YA MAKAMISHNA AU VIGOGO WA WIZARA,....
fuata ushauri wangu na wenzako mliokosa kama mna uhakika na malalamiko yenu otherwise kulalamika hapa haisaidii
 
Hakuna haja afanye mengine inawezekana.
 
Mkuu hapa mimi silalamiki...nadhani ukinifatilia vzr utagundu kuwa silalamiki ila najaribu tu kuutenga uongo.

Na yawezekana kweli kama waliongeza majina basi hao 41 watometoka huko. mme wangu...nifuate vizuri maelezo yangu utanielewa tu kiongozi.
 
Last edited by a moderator:
ili kupata nafasi hiyo ilikuwa sharti kutoa hongo ya laki tano. Kuna rafiki yangu aliniandikia msj ya kuomba mchango wa kutoa hongo. Hiyo msj ninayo hadi sasa.
 
Mi nilifanya intavyuu siku ya kwanza (wale 309) nimetoswa but nimekubali matokeo tu coz kwenye competition yoyote inapaswa ujiandae kwa matokeo yoyote though sina hakika kama ilikuwa fair au la,rafiki yangu niliyesoma naye ye kapita,yupo kwenye hayo majina 40 hapo juu.Alipotoka kwenye intavyuu alinicall akawa analalamika maswali magumu na aliniambia mengi kashindwa kuyajibu sa sijui ndo alikuwa ananiinjoy lol
 
Janjawidi...umenifanya nichezeshe akili yangu zaidi na zaidi...kuna ukweli happ aisee.

Ila hii ndo Tanzania kijana wangu funika tulilinde,tulijenge na tulitetee Taifa letu.

Tanzania nakupenda.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapa mimi silalamiki...nadhani ukinifatilia vzr utagundu kuwa silalamiki ila najaribu tu kuutenga uongo.

Na yawezekana kweli kama waliongeza majina basi hao 41 watometoka huko. mme wangu...nifuate vizuri maelezo yangu utanielewa tu kiongozi.

poa mkuu janjawili unaweza kutafiti tu hayo majina ya mara ya pili ili kukomesha uovu huu NIWEKE KWENYE MAOMBI YAKO MKUU janjawili mimi nangoja Sajenti za vyuo nliona ni maji marefu japo nlikua na vigezo.,,
hello, hello tz, kua mzalendo sambaza upendo, tz at 50....,..
 
mme wangu, Tanzania yetu ndo hii nimependa huu mjadala nahakika utapata mkuu, omba Mungu maana ndo muweza wa yote kiongozi. Janjawidi...huwa ana mambo aisee, napenda vitu vyake vina uzito aisee.
 
Last edited by a moderator:
Hawa wamewatoa wapi?...mbona mimi siwaoni kwenye orodha ya watu 309 walioitwa kwenye usaili?...hahahaha hii TZ anyway nilihitaji tu kueaonyesha mambo yanavyoenda.
1.Alhaji kimaro
2.Alinanuswe mwaisaka
3.Belgina W. Ndomba
4.Boniphace adhiri
5.Clementina p. Kihenche
6.Condrada nyoni
7.Deusdedith juma
8.Donald maganga
9.Edward j. Kakwele
10.Elautery josephati mremi
11.Elias p. Bundara
12.Ezekia kasenge
13.Hamad said
14.Hanafi a. Mkilindi
15..Isack k. Njombe
16.Isakwisa a. Mwakasangula
17.Joel mwakanyasa
18.Joseph elias
19.Josephine joseph
20.Kibona emmanuel

Wapo weng...waliobaki 20 nitawaanika hapahapa saa tatu asubuhi...najaribu tu kuutenga uongo.

Mkuu itakuwa hukuwa na taarifa, majina kwa ajili ya interview yalitoka mara mbili. kati ya hayo majina kuna ndugu yangu amepata kazi na hakuwa akimfahamu mtu yoyote ila yeye jina lake lilitoka awamu ya pili.
 
THOMAS EMMANUEL ... wewe ungea ukweli mbona jina lako hatulioni kwenye orodha ya watu 309 walioitwa kufanya usaili kiongozi...hebu nipe maelezo kidogo hapo mkuu.

angalia majina ya waliofanya usauli trh 29 kijana
 
Back
Top Bottom