Zimamoto Updates

Zimamoto Updates

wapo fair kweli nawapa big up.

Unasema wako fair kwa sababu wewe umepata chance japo una mashaka nayo. Hebu jaribu kustudy majina ya waliofaulu interview kati ya yale majina yaliyotoka mwanzo ulinganishe na yale 206 yaliyotoka baadaye (yenye watoto wa vigogo wengi likiwemo na lako pia). Watanzania huwa ni wavivu wa kufuatilia mambo. Na kwa taarifa yako kuna baadhi ya walioitwa watapigwa chini na nafasi zao kuchukuliwa na majina ya watoto wa vigogo. NAWAIBIA SIRI TU.
 
how come mtu anaitwa kazini alafu baadae apigwe chini sio vizuri ivyo nchi yetu wote inakuwaje tunabaguana. bora sijaomba huko motoni
 
Unasema wako fair kwa sababu wewe umepata chance japo una mashaka nayo. Hebu jaribu kustudy majina ya waliofaulu interview kati ya yale majina yaliyotoka mwanzo ulinganishe na yale 206 yaliyotoka baadaye (yenye watoto wa vigogo wengi likiwemo na lako pia). Watanzania huwa ni wavivu wa kufuatilia mambo. Na kwa taarifa yako kuna baadhi ya walioitwa watapigwa chini na nafasi zao kuchukuliwa na majina ya watoto wa vigogo. NAWAIBIA SIRI TU.

unatutisha ama?
 
Watanzania wenzangu, it pain sana ila nadhani nasisi watanzania ni wajinga kwa kiasi kikubwa sana.
Jawabu la hili tatizo, ambayo iko kwa thread ya juu ni kuacha kuipigia ccm kura kabisa kwasababu imeshindwa kusimamia maisha na hata kazi kwa watanzania
 
Una sema wako fair usha enda kwenye interview au una ckilizaa story za raia then una paste kwetu...
 
Unasema wako fair kwa sababu wewe umepata chance japo una mashaka nayo. Hebu jaribu kustudy majina ya waliofaulu interview kati ya yale majina yaliyotoka mwanzo ulinganishe na yale 206 yaliyotoka baadaye (yenye watoto wa vigogo wengi likiwemo na lako pia). Watanzania huwa ni wavivu wa kufuatilia mambo. Na kwa taarifa yako kuna baadhi ya walioitwa watapigwa chini na nafasi zao kuchukuliwa na majina ya watoto wa vigogo. NAWAIBIA SIRI TU.

Yaan mm naona ile interview ilikuwa kusema watu wafanye tu,wa2 washakuwepo,haiwezekana m2 anatoka chumba cha interview halafu anamwambia maswali m2 mwingine,mm mwenyewe nilienda kufanya nlivyona ile hali,nikajua sis walala hoi ha2na chetu.waliopata ndio maana wanasema ilikuwa fair,washajua wao ni moja kwa moja wamepita.
 
kwa iyo walivyotoka nje ulikuwa usikii maswali wanaambizana ukajiandaa kujibu, mimi simo huko ila kama ningekuwepo lazima ningeuliza washikaji ndani unaulizwa nini. au kama uliingia bila kunyoa midevu nayo noma kwa askari
 
Wengine ni vigumu sana kunielewa but yawezekana mtanielewa hata mwakani.
Kuna mtu aliulizaa kwamba ''mbona hawajaweka kozi za hao waliofaulu usaili?'' watu walimponda kana kwamba kapotea njia but ukweli ni kwamba KUNA WATU WAMECHUKULIWA WALIOSOMA KOZI TOFAUTI NA ZILE ZILIZOTAKIWA, PIA KUNA KUNA WATU WAMECHUKULIWA WENGI SANA KULIKO KOZI ZINGINE NA KUNA KOZI AMBAZO ZILIORODHESHWA BUT HAKUCHUKULIWA MTU HATA MMOJA SABABU NI KWAMBA MSHIKA MKONO HAKUWEPO. NDUGU ZANGU,IACHENI TANZANIA IITWE TANZANIA.
 
Back
Top Bottom