Zimamoto Updates

Zimamoto Updates

bila shaka KISHINDO wewe ni mtoto wa kigogo wa wizara. Ebu tupe full information,

Hapana calyx. Mi ni mtoto wa mlala hoi na mla hoi-hata ukikutana na mimi huwezi amini. Kigogo wangu ni Mungu tu. Niko tu nahangaika na hivi vimaisha vya kuzinguana. Huwa sipendi kuona uonevu tu thats why huwa nafuatilia mambo kwa kina zaidi.
AMINI USIAMINI, YALE MAJINA YA AWAMU YA PILI (ya watoto wa vigogo) NDIYO YALIYOWAZIBIA NJIA WATOTO WA WALALAHOI BUT JIPENI MOYO, TAFAKARI NA AMINI KWAMBA MUNGU NDIYE AJUAYE UNAVYOHANGAIKA NA ENDELEA KUMTEGEMEA YEYE TU.
 
still the water to catch a fish. basi mkuu KISHINDO anataka kutukoroga tu aone tunafikilia nini au naye muzzuxx

Soma vizuri post zangu SIKAUKA. Mi huwa SIBAHATISHI japo naelewa unachokoza ili nifunguke zaidi but kama huamini subiri UHAMIAJI UONE ukweli wa mambo ulivyo coz WALEWALE WALIOKUWA KTK JOPO LA USAILI WA ZIMAMOTO NDO HAO HAO WATAKAOKUWA KTK JOPO LA UHAMIAJI.
Thanks kama utakuwa umenielewa.
N.B: KAMCHEZO KATAKUWA NI KALE KALE INGAWA UHAMIAJI KUTAKUWA NA SHIDA ZAIDI KULIKO ZIMAMIOYO.
 
Hujanielewa wewe. Hata hivyo ni wachache sana huwa wananielewa, so sikushangai na wewe. Kwa taarifa yako ni kwamba Hayo majina kabla hujayajua na kuyasikia yametoka mi nilikuwa nayo

huna lolote wewe hayo majina yote uliyosema wameitwa bila interview wakati ni kundi la pili la interview kama umekosa shukuru Mungu uangalie ustaarabu mwingine acha kuchafua wizara. Ndiyo maana kuna msemo unasema no research no right to speak. Unakaa kulalamika watu wameitwa bila interview wakati hayo majina yapo kwenye kundi la pili. Na kwa taarifa nafasi moja ilikuwa inagombaniwa na watu 5.
 
well said mkuu, kuna wengi wanajua kua waliofanya usaili ni 309
tu huku sio
 
Soma vizuri post zangu SIKAUKA. Mi huwa SIBAHATISHI japo naelewa unachokoza ili nifunguke zaidi but kama huamini subiri UHAMIAJI UONE ukweli wa mambo ulivyo coz WALEWALE WALIOKUWA KTK JOPO LA USAILI WA ZIMAMOTO NDO HAO HAO WATAKAOKUWA KTK JOPO LA UHAMIAJI.
Thanks kama utakuwa umenielewa.
N.B: KAMCHEZO KATAKUWA NI KALE KALE INGAWA UHAMIAJI KUTAKUWA NA SHIDA ZAIDI KULIKO ZIMAMIOYO.

shida yake ni kuwa kutakuwa na conflict of interest, ambapo watoto wao wameshakwenda zimamoto ivyo awezi kuacha na kuja uhamiaji na ukizingatia uhamiaji wanahitaji mashujaa sabini tu. Nashukuru sana sana walivyoanza kuchukua zimamoto. alafu pia zimamoto hakukuwa na mahitaji ya cheti cha la saba hapo dnipo vigogo walipata mdebwedo .
hii ni tafakali yangu tu sijui wengine wanaonaje hapa isipokuwa nawaomba watakaochaguliwa wajiandae kisaikologia kama vile hakuna kubebana
 
mkuu itakuwa hukuwa na taarifa, majina kwa ajili ya interview yalitoka mara mbili. kati ya hayo majina kuna ndugu yangu amepata kazi na hakuwa akimfahamu mtu yoyote ila yeye jina lake lilitoka awamu ya pili.

bro, prakat tafadhali nipm namba ya uyo ndugu yako nibadilishane naye mawazo kabla sijaenda intavyuu ya uhamiaji maana nasikia panel ni ile ile ya mambo ya ndani. please mimi ni raia wa kawida tu tena mnyalukolo wa mufindi sina hata kigogo anayenijua
 
Hapana calyx. Mi ni mtoto wa mlala hoi na mla hoi-hata ukikutana na mimi huwezi amini. Kigogo wangu ni Mungu tu. Niko tu nahangaika na hivi vimaisha vya kuzinguana. Huwa sipendi kuona uonevu tu thats why huwa nafuatilia mambo kwa kina zaidi.
AMINI USIAMINI, YALE MAJINA YA AWAMU YA PILI (ya watoto wa vigogo) NDIYO YALIYOWAZIBIA NJIA WATOTO WA WALALAHOI BUT JIPENI MOYO, TAFAKARI NA AMINI KWAMBA MUNGU NDIYE AJUAYE UNAVYOHANGAIKA NA ENDELEA KUMTEGEMEA YEYE TU.[/QUOTE

tumtegemee mungu hadi lini au ndio kama alivyosema mh.Rais kuwa ukitaka kula sharti nawe uliwe? je hawa watu humu jf wanaosema wamepata kazi lakini hawana ndugu kigogo aliyewabeba ni wazushi

Cc; Tmajuto, Prakatatumba
 
duh
 
mtwambie mapema sio tunaanzisha makundi ya msituni kama ile nchi yenye wasomi wengi lakini hawana kazi sasa wanateka watoto shule tu
 
Back
Top Bottom