Steang
JF-Expert Member
- Mar 3, 2012
- 394
- 42
Mkaguzi tu.
shukrani ndugu.
Mkaguzi tu.
Wengine ni vigumu sana kunielewa but yawezekana mtanielewa hata mwakani.
Kuna mtu aliulizaa kwamba ''mbona hawajaweka kozi za hao waliofaulu usaili?'' watu walimponda kana kwamba kapotea njia but ukweli ni kwamba KUNA WATU WAMECHUKULIWA WALIOSOMA KOZI TOFAUTI NA ZILE ZILIZOTAKIWA, PIA KUNA KUNA WATU WAMECHUKULIWA WENGI SANA KULIKO KOZI ZINGINE NA KUNA KOZI AMBAZO ZILIORODHESHWA BUT HAKUCHUKULIWA MTU HATA MMOJA SABABU NI KWAMBA MSHIKA MKONO HAKUWEPO. NDUGU ZANGU,IACHENI TANZANIA IITWE TANZANIA.
hapana,sikua na refa wala simjui yeyote wizarani na nimesoma Baed na nimeitwa
Hawa wamewatoa wapi?...mbona mimi siwaoni kwenye orodha ya watu 309 walioitwa kwenye usaili?...hahahaha hii TZ anyway nilihitaji tu kueaonyesha mambo yanavyoenda.
1.Alhaji kimaro
2.Alinanuswe mwaisaka
3.Belgina W. Ndomba
4.Boniphace adhiri
5.Clementina p. Kihenche
6.Condrada nyoni
7.Deusdedith juma
8.Donald maganga
9.Edward j. Kakwele
10.Elautery josephati mremi
11.Elias p. Bundara
12.Ezekia kasenge
13.Hamad said
14.Hanafi a. Mkilindi
15..Isack k. Njombe
16.Isakwisa a. Mwakasangula
17.Joel mwakanyasa
18.Joseph elias
19.Josephine joseph
20.Kibona emmanuel
Wapo weng...waliobaki 20 nitawaanika hapahapa saa tatu asubuhi...najaribu tu kuutenga uongo.
THOMAS EMMANUEL ... wewe ungea ukweli mbona jina lako hatulioni kwenye orodha ya watu 309 walioitwa kufanya usaili kiongozi...hebu nipe maelezo kidogo hapo mkuu.
hapana,sikua na refa wala simjui yeyote wizarani na nimesoma Baed na nimeitwa
ila neno la aliye juu litasimama kwa wale wasio na mtetezi
JANJAWIDI baada ya yale majina 309 kuna rafki yangu alinambia kuna mwendelezo wa majina yametolewa kwenye gazeti kwa interview...je uliyaona?,usikute ndio hao 41 walipotolewa hebu wadau mliofanya usaili fungukeni bz hata kama ni watu kuchomekwa wasingewekwa 41 karibia nusu ya nafasi...
Kama ukithibitisha kwa hao walioitwa mara ya 2 hao watu hawakuwepo .....
Nyie mliokosa au wewe JANJAWIDI nenda wizarani pale mwone kati ya Waziri, naibu wake au katibu mkuu, huwezi kukosa msada kati ya hao wote then mueleze malalamiko yako/yenu ukiwa na reference kama madai ni ya kweli Kazi UTAPATA NA UTAKUA UMESAIDIA WENZAKO...
inawezekana huu mchezo wamefanya INTERVIEW PANELS, BAADHI YA MAKAMISHNA AU VIGOGO WA WIZARA,....
fuata ushauri wangu na wenzako mliokosa kama mna uhakika na malalamiko yenu otherwise kulalamika hapa haisaidii

Mkuu hapa mimi silalamiki...nadhani ukinifatilia vzr utagundu kuwa silalamiki ila najaribu tu kuutenga uongo.
Na yawezekana kweli kama waliongeza majina basi hao 41 watometoka huko. mme wangu...nifuate vizuri maelezo yangu utanielewa tu kiongozi.
mme wangu, Tanzania yetu ndo hii nimependa huu mjadala nahakika utapata mkuu, omba Mungu maana ndo muweza wa yote kiongozi. Janjawidi...huwa ana mambo aisee, napenda vitu vyake vina uzito aisee.poa mkuu janjawili unaweza kutafiti tu hayo majina ya mara ya pili ili kukomesha uovu huu NIWEKE KWENYE MAOMBI YAKO MKUU janjawili mimi nangoja Sajenti za vyuo nliona ni maji marefu japo nlikua na vigezo.,,
hello, hello tz, kua mzalendo sambaza upendo, tz at 50....,..
Hawa wamewatoa wapi?...mbona mimi siwaoni kwenye orodha ya watu 309 walioitwa kwenye usaili?...hahahaha hii TZ anyway nilihitaji tu kueaonyesha mambo yanavyoenda.
1.Alhaji kimaro
2.Alinanuswe mwaisaka
3.Belgina W. Ndomba
4.Boniphace adhiri
5.Clementina p. Kihenche
6.Condrada nyoni
7.Deusdedith juma
8.Donald maganga
9.Edward j. Kakwele
10.Elautery josephati mremi
11.Elias p. Bundara
12.Ezekia kasenge
13.Hamad said
14.Hanafi a. Mkilindi
15..Isack k. Njombe
16.Isakwisa a. Mwakasangula
17.Joel mwakanyasa
18.Joseph elias
19.Josephine joseph
20.Kibona emmanuel
Wapo weng...waliobaki 20 nitawaanika hapahapa saa tatu asubuhi...najaribu tu kuutenga uongo.
THOMAS EMMANUEL ... wewe ungea ukweli mbona jina lako hatulioni kwenye orodha ya watu 309 walioitwa kufanya usaili kiongozi...hebu nipe maelezo kidogo hapo mkuu.
kwahiyo huku uhamiaji ukiitwa tunakuomba usije kabisa utajaza wingi