Zimamoto Updates

Zimamoto Updates

Duh kweli nnagundu,yaani hadi huku nimetoka bilabila
 
Hata kweli website ya wizara ya mambo ya ndani majina yapo pia, kazi kwenu
 
Thomas emmanuellllllllllllllllll asante mungu
 
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa, walitoa majina na fani zao walizosoma. Lakini zimamoto hawajafanya hivyo, kwa nini? jeshi la polisi mwaka jana mwezi wa kumi na mbili walitoa majina na fani zao walizosoma, na kwenye tangazo lao la ajira walitoa fani mbalimbali au wamechukua watu wa fani zinazofanana, ndio maana hawajaweka fani? Jamani ebu watupe ufafanuzi, maana jamii inakuwa na wasiwasi kuwa kuna kubeba.
 
kila taasisi au shirika lina taratibu zake ktk kuajiri tofauti na taasisi au mashirika mengne
 
Mkafanye kazi sio tena mlete mbwembwe za kunyoa viduku na kuvaa milegezo kama baadhi yenu mlivyokuwa mnaanza kuzoea swaga za jobless kona
 
iv hizi nafasi waliitaa tayari ineyrview mwenye taarifa ya interview zake kama tangazo nataka kujua tu, nilikuwa chimbo kidogo
 
Si dhani kama ni sahihi kama wanaangalia professional! wanatakiwa waweke, jina la fani na idadi ya watu waliochukuliwa!
 
Wale mliokuwa mkisubiri kwa hamu, Zimamoto tayari leo hii. Majina yako ktk gazeti la Uhuru la leo May 5,2014. Litafuteni. Thanks sana kwa kunivumilia niwa_update. Jana niliwaambia this time tommorow, walionielewa walinielewa.

mkuu zimetoka nafasi ktk ngazi gani?
 
utakufa kwa wivu wewe,,,,huna ajira ,sawa,basi acha kijiba cha roho ndugu,,,,,,,,,unataka nini tena hapo,,,hujui kua hao wanatofautiana kiutendaji.
 
hebu tujuzeni mliofanya interview na watu waliowaita kazini inawezekana jamaa wapo fair bz hadi saivi sijaona malalamiko yoyote
 
Back
Top Bottom