prakatatumba
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 1,328
- 192
THOMAS EMMANUEL ... wewe ungea ukweli mbona jina lako hatulioni kwenye orodha ya watu 309 walioitwa kufanya usaili kiongozi...hebu nipe maelezo kidogo hapo mkuu.
mkuu itakuwa hukuwa na taarifa, majina kwa ajili ya interview yalitoka mara mbili. kati ya hayo majina kuna ndugu yangu amepata kazi na hakuwa akimfahamu mtu yoyote ila yeye jina lake lilitoka awamu ya pili.